Kikapuu
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 1,202
- 1,754
Huyu baba wamnyang'anye simu sasa
Jamaa LIONGO hili yaani wewe ambae hujui kuunda hata njiti ya kibiriti unasema Iran imeisha?? hivi sisi Tanganyika tuna roketi yetu ya kurusha hata mpaka Bunju A ya kwetu wenyewe ya kuunda hapa?? mtu anaunda Balistic Missile inasafiri KM 2000 Kwa dakika 5 unasema mjinga yaani watz nyie!!!!Tena kama Kupatikana wamepatikana vizuri sana!!!!
Na walivyo wajinga na wapumbavu nasikia kwamba kutakuwa na Gwaride la Ushindi huko Tehran usiku wa leo.
Kwa ajili ya nini?
Hakuna nchi ambayo imedhalilishwa kiasi hiki kwa muda mfupi hivi kama Iran
Mpango wao wa nyuklia umeangamizwa wanasayansi 60+ wameangamizwa
Uongozi wao wa juu wa kijeshi Makamanda waandamizi 30+ wameangamizwa
Uongozi wao wa juu wa kiintelijensia Umeangamizwa.
Uongozi wa IRGC na askari wa miguu wengi wa IRGC na Basij wameangamizwa.
Vikosi vyao vya anga na mifumo ya ulinzi wa anga vimeangamizwa.
Mamluki wao waHezbollah, Hamas, Assad, na mlolongo wengine wa wakala umetoweka, hatimaye Lebanon na Syria zinaweza kuwa huru kutokana na upenyezaji wa mashia.
2/3 ya uwezo wao wa kurusha makombora imetoweka, pamoja na mamia mengi ya makombora yao
Ayatollah anaishi kwa sababu tu Trump anataka aishi.
Mossad iko kila mahali nchini Iran, hata uongozi wa juu zaidi wa kisiasa na kijeshi umepenyezwa kikamilifu.
Iran walipata nini?
Majengo 50 lililoporomoka nchini Israel, 3 kati yao ni misikiti ya sunni.
Watu 28 waliokufa, 11 kati yao ni Waarabu wa Kisunni.
Hakuna mwanajeshi mmoja wa Kiisraeli aliyekufa kutokana na vita vyao vya siku 12.
Walikuwa wakiomba kusitishwa kwa mapigano tangu siku nne sasa, kupitia njia 5 tofauti, lakini wana jeuri ya kudai ushindi wao pengine kwa fedheha kubwa tuliyoiona hivi karibuni?
IDF imewafanya wanyenyekevu zaidi na wanajifanya wasionekane wameshindwa vitani ndiyo maana wanajiandalia Sherehe ya ushindi fake!!!
Kama Iran ingekuwa nchi makini na kwa sababu wameshambuliwa wasingekubali huo usitishwaji wa Mapigano lakini kwa kuwa walikuwa wamelemewa pandę zote imebidi tu wakubali kusitisha mapigano kuliko kuendelea kupigwa kama watoto!!!!
Mara no reforms no election 😂😂Ila huu Mtanange jamani ulitupa raha sana mana ulikua ukiamka unasikia kimewake usiku kucha Israel na mauongo yao unayaangalia unabalance story kwingine kwa kweli utamu wa 12 days ulikuepo sana ..sasa turudi mashenzini mara mtu katekwa mara sijui Yanga imegoma mara Simba ujinga ujinga
wewe..!Ndoto za Mwendawazimu hizo!!! Netanyahu huko Israel ni Shujaa kila anapopita mitaani anashangiliwa mno na watu!! Wafuga Midevu na Majini endeleeni tu kujipa moyo na kujifariji baada ya Iran kupigwa.
Angalia hapa chini Mwamba Benjamin Netanyahu anavyopokelewa kwa bash Asha na raia wa Israel. Watu wote wanajua kuwa silaha yenu kubwa ni Uongo na Upotoshaji
Na vipi kuhusu IsraelTena kama Kupatikana wamepatikana vizuri sana!!!!
Na walivyo wajinga na wapumbavu nasikia kwamba kutakuwa na Gwaride la Ushindi huko Tehran usiku wa leo.
Kwa ajili ya nini?
Hakuna nchi ambayo imedhalilishwa kiasi hiki kwa muda mfupi hivi kama Iran
Mpango wao wa nyuklia umeangamizwa wanasayansi 60+ wameangamizwa
Uongozi wao wa juu wa kijeshi Makamanda waandamizi 30+ wameangamizwa
Uongozi wao wa juu wa kiintelijensia Umeangamizwa.
Uongozi wa IRGC na askari wa miguu wengi wa IRGC na Basij wameangamizwa.
Vikosi vyao vya anga na mifumo ya ulinzi wa anga vimeangamizwa.
Mamluki wao waHezbollah, Hamas, Assad, na mlolongo wengine wa wakala umetoweka, hatimaye Lebanon na Syria zinaweza kuwa huru kutokana na upenyezaji wa mashia.
2/3 ya uwezo wao wa kurusha makombora imetoweka, pamoja na mamia mengi ya makombora yao
Ayatollah anaishi kwa sababu tu Trump anataka aishi.
Mossad iko kila mahali nchini Iran, hata uongozi wa juu zaidi wa kisiasa na kijeshi umepenyezwa kikamilifu.
Iran walipata nini?
Majengo 50 lililoporomoka nchini Israel, 3 kati yao ni misikiti ya sunni.
Watu 28 waliokufa, 11 kati yao ni Waarabu wa Kisunni.
Hakuna mwanajeshi mmoja wa Kiisraeli aliyekufa kutokana na vita vyao vya siku 12.
Walikuwa wakiomba kusitishwa kwa mapigano tangu siku nne sasa, kupitia njia 5 tofauti, lakini wana jeuri ya kudai ushindi wao pengine kwa fedheha kubwa tuliyoiona hivi karibuni?
IDF imewafanya wanyenyekevu zaidi na wanajifanya wasionekane wameshindwa vitani ndiyo maana wanajiandalia Sherehe ya ushindi fake!!!
Kama Iran ingekuwa nchi makini na kwa sababu wameshambuliwa wasingekubali huo usitishwaji wa Mapigano lakini kwa kuwa walikuwa wamelemewa pandę zote imebidi tu wakubali kusitisha mapigano kuliko kuendelea kupigwa kama watoto!!!!
Naona unaendelea kusogeza magoli! Sasa suala la kujidanganya linatoka wapi hapo?Ji
Danganye nadhani huwaelewi west vzr
Wewe ndiyo unasema hivyo lakini ukweli utabaki palepale Marekani si wajinga wa kurusha dege kutoka marekani mpaka Iran bila maana yoyote!!Kwahiyo marekani hashindwi kitu,yeye amekuwa Mungu?
Ebu acha ushabiki usio na maana
Kuliko wataalam😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇Wewe ndiyo unasema hivyo lakini ukweli utabaki palepale Marekani si wajinga wa kurusha dege kutoka marekani mpaka Iran bila maana yoyote!!
Iran wenyewe wanajua maiki wake na ndiyo maana wanasema uongo ili kificha aibu yao wasichekwe na dunia!!! Wamesahau kuwa kwa dunia ya leo huwezi kuficha kitu maana kila kitu kiko wazi hata kama utafanya sherehe fake kufanganya watu umeshindwa watu wanaelewa sana kuliko unavyojua wewe!!!
Wewe endelea kubwabwaja tu unalalamika tu bila kufafanua unalalamikia nini!!!Jamaa LIONGO hili yaani wewe ambae hujui kuunda hata njiti ya kibiriti unasema Iran imeisha?? hivi sisi Tanganyika tuna roketi yetu ya kurusha hata mpaka Bunju A ya kwetu wenyewe ya kuunda hapa?? mtu anaunda Balistic Missile inasafiri KM 2000 Kwa dakika 5 unasema mjinga yaani watz nyie!!!!
Israel kama wao wanajiweza kwanini wasijisimamie wenyewe?? unapokua unamtukana au kumdhalili mtu jiangalie na wewe kwanza anzia kwako ikitokea leo Marekani inataka kutupiga sisi Tanganyika tunaweza kusimama hata saa 5??? maana hakuna Vita Israel itaenda bila kusaidiwa na US na wote mnajua US ni habari nyingine kijeshi na uchumi!! acheni kujifanya mnajua sana kusema uongo!! utajuaje watu waliokufa israel wakati Walizuia media kureport?? nani alikuambia ni Sunni ndio uchonganishi wenyewe ili ionekane waliouwawa ni wasuni tu..Huwezi kusema Balistic MISSILE iangushe kituo cha utafiti cha sayansi eti kilikua na Sunni!! shame,,,Msuni gani ni mwanasayansi israel???
Acha kulialia weh mzee!!!Wewe endelea kubwabwaja tu unalalamika tu bila kufafanua unalalamikia nini!!!
Kwa ujinga ulionao wewe unafikiri Ballistic missile zote hizo alitengeneza Iran peke yake bila msaada wowote kutoka nchi zingine???
Kwa akili yako hata viwanda hivyo vya nuclear anatengeneza peke yake hahitaji msaada kutoka nchi zingine??
Kama unaamini hivyo basi inabidi ukapimwe mkojo maana utakuwa zuzu wa kutupwa na ambaye hujitambui kwa lolote!!!!
Kama Russia supapawa anaweza kusaidiwa na nchi zingine kijeshi leo aje awe Iran yeye hasaidiwi nakushangaa sana. Na kama Russia anasaidiwa na China,Korea ya kiduku,South Afrika na nchi nyingine nyingi tu iweje kosa Israel kusaidiwa na Marekani? Au kwa sababu Marekani kwenu ni kama mungu wenu maana kila kitu lazima mlalamike Marekani!!!!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Humu tu ukisimama nchale ukikaa unawekwaTatizo huelewi kuharibu majengo 50 ikiwemo hospitali ndiyo “Very hard”?. Endeleeni kujipa moyo na kujifariji kwa kunywa Panadol !!!
View: https://x.com/Osint613/status/1937834749881413977
Iran ni watu wa ndimi mbili now wanasema vinu vyao vimeharibiwa vibaya sana
Kama hujui Trump hapo yuko kazini kuwapa dawa ya kupunguza maumivu baada ya kipigo cha mbwa-koko!!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Humu tu ukisimama nchale ukikaa unawekwa
😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣 Mjuvi wa mambo kutoka uyoleKama hujui Trump hapo yuko kazini kuwapa dawa ya kupunguza maumivu baada ya kipigo cha mbwa-koko!!!!