SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mzee wa vichambo kama kawaida yake!

GuQOQYCXEAAsv60.jpg
 
Acha uongo mbona Nagasaki na Hiroshima watu wanaishi????
Nuke ile na ya sasa ni tofauti kwenye uboreshaji hii ya leo ni mara kumi ya kipindi kile kwa madhara

France alifanya majaribio kule algeria sijui libya lile eneo halifai tena kwa matumizi milele🙌🙌

Pale japan mpaka leo wanazaa vilema
 
Tena kama Kupatikana wamepatikana vizuri sana!!!!

Na walivyo wajinga na wapumbavu nasikia kwamba kutakuwa na Gwaride la Ushindi huko Tehran usiku wa leo.

Kwa ajili ya nini?

Hakuna nchi ambayo imedhalilishwa kiasi hiki kwa muda mfupi hivi kama Iran

Mpango wao wa nyuklia umeangamizwa wanasayansi 60+ wameangamizwa

Uongozi wao wa juu wa kijeshi Makamanda waandamizi 30+ wameangamizwa

Uongozi wao wa juu wa kiintelijensia Umeangamizwa.

Uongozi wa IRGC na askari wa miguu wengi wa IRGC na Basij wameangamizwa.

Vikosi vyao vya anga na mifumo ya ulinzi wa anga vimeangamizwa.

Mamluki wao waHezbollah, Hamas, Assad, na mlolongo wengine wa wakala umetoweka, hatimaye Lebanon na Syria zinaweza kuwa huru kutokana na upenyezaji wa mashia.

2/3 ya uwezo wao wa kurusha makombora imetoweka, pamoja na mamia mengi ya makombora yao

Ayatollah anaishi kwa sababu tu Trump anataka aishi.

Mossad iko kila mahali nchini Iran, hata uongozi wa juu zaidi wa kisiasa na kijeshi umepenyezwa kikamilifu.

Iran walipata nini?

Majengo 50 lililoporomoka nchini Israel, 3 kati yao ni misikiti ya sunni.

Watu 28 waliokufa, 11 kati yao ni Waarabu wa Kisunni.

Hakuna mwanajeshi mmoja wa Kiisraeli aliyekufa kutokana na vita vyao vya siku 12.

Walikuwa wakiomba kusitishwa kwa mapigano tangu siku nne sasa, kupitia njia 5 tofauti, lakini wana jeuri ya kudai ushindi wao pengine kwa fedheha kubwa tuliyoiona hivi karibuni?

IDF imewafanya wanyenyekevu zaidi na wanajifanya wasionekane wameshindwa vitani ndiyo maana wanajiandalia Sherehe ya ushindi fake!!!

Kama Iran ingekuwa nchi makini na kwa sababu wameshambuliwa wasingekubali huo usitishwaji wa Mapigano lakini kwa kuwa walikuwa wamelemewa pandę zote imebidi tu wakubali kusitisha mapigano kuliko kuendelea kupigwa kama watoto!!!!
Waisrael wa buza na namtumbo utawajua tu
 
Ji
Sasa post ambayo much know ulimjibu ulikuwa umezungumzia regime change au kumuua Ayatollah? Much Know yupo sahihi kutokana na hoja yako, lakini wewe ulichofanya hapo ni kusogeza magoli, na kuhama kutoka kumuua Ayatollah na kuja na stori za Regime Change! Kumuua Ayatollah hakuwezi kuleta regime change kwa sababu atateuliwa mwingine!
Danganye nadhani huwaelewi west vzr
 
Safari hii Mtanyooka tu!,
Nyie ndio mtanyooka,kuna usir mkubwa wa kuficha taarifa za maafa huko nchini kwenu israel

Baba yenu Trump umesikia kaumbuka huko,hakuna madhara makubwa yaliyo athir vinu vya nyuklia

Tusubir come back ya pili,tutawatafuta hata nyie waisrael wa buza na namtumbo si mnajifanya mna vina saba vya israel
 
Wewe endelea kubwabwaja tu Marekani si wajinga kama wewe warushe dege Toka Marekani mpaka Iran bila faida yoyote ile. Mtadanya weee lakini ukweli utabaki palepale tu. Heb msikilize Trump hapo chini
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    909.8 KB
Wewe endelea kubwabwaja tu Marekani si wajinga kama wewe warushe dege Toka Marekani mpaka Iran bila faida yoyote ile. Mtadanya weee lakini ukweli utabaki palepale tu. Heb msikilize Trump hapo chini
Kwahiyo marekani hashindwi kitu,yeye amekuwa Mungu?

Ebu acha ushabiki usio na maana
 
Wewe endelea kubwabwaja tu Marekani si wajinga kama wewe warushe dege Toka Marekani mpaka Iran bila faida yoyote ile. Mtadanya weee lakini ukweli utabaki palepale tu. Heb msikilize Trump hapo chini
Trump ndo mdudu gani kati yake na wataalam nani wa kumsikiliza
 
Attachments

  • Screenshot_20250625-075639.png
    Screenshot_20250625-075639.png
    1.5 MB · Views: 15
Back
Top Bottom