SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Telaviv kuna ofisi za kijeshi na haifa kuna kambi nyingi za anga za kijeshi
Acha uongo Tel Aviv ilivyojazana hivyo kambi za kijeshi utaweka wapi? Kambi za kijeshi ziko nje kabisa ya mji. Tatizo jukwaa hili limevamiwa na Wafuga Midevu na Majini kila mtu analeta uongo wake. Tukikuuliza ziko sehemu gani utaanza kung’ang’a macho tu!!!!
 
kwa kutumia akili za darasa la kwanza; ukianzisha ugomvi wa mtu ukipigana akaja rafiki yako nae akakusaidia mkampiga baada ya hapo huyo mtu akaamua kujitoa unyonge akawadunda vilivyo mpaka mkaomba po. hapo ni nani anakuwa kipondo kimemuingia sawasawa. kumbuka mko wawili mshmashambuluia najibu mnaamua kuomba po.

naomba majibu kwa kutumia akili za darasa la kwanza shule za kata tafadhali
 
View attachment 3385599
 
ila muajemi kawavua nguo hadharani. kama hizo data ni kweli kuomba ceasefire ilikuwa ni lazima. Hivita imeingia katika historia yaani ndani ya siku kumi na moja USA na wazayuni wamenyanyua mikono.

Muajemi katusibitishia kuwa biblia ni uzushi mtupu. watu tumelishwa sana matango pori kwenye kitabu cha Ezekiel 38 na Jeremia.
 
Wala si akili ya darasa la kwanza bali kwa akili ya kawaida kabisa Iran kapigika ndiyo maana amekubali kusitishwa kwa mapigano!!

Israel halikuwa na cha kupoteza kwa sababu kwa siku zote 12 hakuna ndege yake hata moja iliyoangushwa na hakuna askari yeyote wa IDF aliyekufa. Tukija upande wa Iran wao wamepoteza askari na vifaa na anga Lao lote lilikuwa linamilikiwa na majeshi ya anga ya Israel hivyo kukubali kusitishwa mapigano kwa Iran walikuwa wako sawa maana walikuwa wanapigika sana!!!
 
sasa kama Israel hakuwa na chakupoteza poo kaomba ya nini?
 
IDF Summarizes War Against Iran - Operation "Rising Lion": "The Most Complex Operation in IDF History"

The IDF states that the operation fully achieved its objectives, yielding the following results:

1. Iran’s Nuclear Program Significantly Damaged: Iran currently lacks the capability to enrich uranium to 90%, which has been neutralized for an extended period. The regime’s ability to produce the core of a nuclear weapon was eliminated. Thousands of centrifuges were destroyed, exceeding the original plan.

2. Iran’s Missile Production Capabilities Severely Impaired: Iran will be unable to produce thousands of missiles as planned in the coming years, with its missile production capacity currently neutralized. A significant reduction in missile production is expected, and rebuilding capabilities will require a lengthy process. Approximately 200 missile launchers, about 50% of Iran’s arsenal, were destroyed.

3. IDF Achieved Air Superiority Over Iran: 80% of Iran’s air defense systems in the operational areas were destroyed, equating to roughly 80 out of 100 air defense batteries. Additionally, about 70 Iranian radars were destroyed. In the opening strike, 60% of Iran’s strategic air defense batteries were eliminated, a key enabler for the operation’s continuation.

Additional Data:

- Interception Rates: 86% of Iranian ballistic missiles and 99% of drones were intercepted by air defense systems.

- Air Force Operations: The Israeli Air Force conducted over 1,500 sorties, striking more than 900 targets across Iran.

- Tehran Strikes: In the final 24 hours of the operation, widespread attacks on Revolutionary Guard Corps headquarters in Tehran resulted in an estimated 200–300 Revolutionary Guards and Basij fighters killed.

- Limited Involvement of Pro-Iranian Militias: Shiite militias in Iraq participated minimally, launching about 40 drones toward Israel. The Iranian axis did not fully engage—Hezbollah did not fire at all, and Houthi attacks were limited to 2–3 missiles.

- Disruption of Iranian Missile Launches: The IDF estimates Iran launched only 60% of the planned missile barrages, meaning 40% of the missiles intended for Israel were not fired.

- Damage to Israeli Home Front: 2,305 apartments in 240 buildings were damaged, leaving 13,197 Israelis homeless.

The IDF concludes that while the Iranian threat persists and Iran will not disappear, Israel is now entering a phase of force buildup, prepared for future confrontations.

The IDF is ready to approach the next round of conflict with Iran better equipped and more prepared.
 
KWANI VITA IMEISHA? HIYO NI RECESS
 
sasa kama Israel hakuwa na chakupoteza poo kaomba ya nini?
Israel haijaomba hiyo ceasefire wao walishasema Wiki mbili watakamilisha malengo yao. Iran ndiye kaomba maana kapigika sana na laiti kama angekuwa na nguvu asingekubali kusitisha mapigano bali angeendelea kutaka kupigana ili tu alipize kisasi cha kupoteza makamanda wake 30+ waliouwawa kizembe na majeshi ya Israel. Lakini kwa kuwa alikuwa kalemewa akawa hana jinsi inabidi tu akubali ili kipigo kisiendelee
 
Aisee kweli wewe kichaa imefikia wakati unabishana na ukweli
Kwa hiyo vyombo vyote vya habari havijui kuliko wewe
 
Acha ujinga weka hapa wapi Israel iliomba usitishwaji wa Mapigano acha kubwabwaja ovyo ovyo kwa maneno ya kukaririshwa kama kasuku!!
We kichaa weka hapa wapi Iran kasema Tunaomba kusitishwa vita usipo weka jipige kifua kua umejikubali wewe ni kichaa humu,
Unaropoka hovyo mpaka unakua mwehu
Ushasahu bwana wake neta jinsi alivyoomba vita visimamishwe na kamtaka netanya pusi asirudishe kipigo cha mwisho cha Iran kilicho ua watu
Kenge wewe
 
Endelea kufurahia mizoga hiyo hapo chini ya askari wa Iran waliokufa kizembe!!!
 

Attachments

  • IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 18
  • IMG_3422.jpeg
    124.7 KB · Views: 16
Msamehe ndugu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…