SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Maelezo mazuri sana tatizo umeleta kwa Lugha ya kiingereza ungeweza ungeleta kwa kiswahili naamini Wafuga Midevu na Majini wengi wangelichangia mada hii lakini kwa sasa umewanyima uhuru wa Kuchangia!!!!
 
Embu twanbie ww ni Mchungajj gani unaemwamin zaid TZ???
 
Iran's Ayatollah Makarem Shirazi issues fatwa, calling Muslims around the world to kill Trump and Netanyahu, declaring them "enemies of God."
 
Kipi kinaendelea Tehran? Nitakujuza.

Bado Israel wameiweka busy Tehran kwa namna nyingine kabisa baada ya ceasefire, huku Iran inashindwa kuiweka busy Tel Aviv. Israel kwa makusudi bado wanafanya mashambulizi kupitia infiltrators wao walio Tehran.

Iran hawapaswi kulala tena bali wanapswa kurudi kwa kishindo Tel Aviv. Israel huwa hawana lugha nyingine wanayoielewa zaidi ya Vita, Iran wasilale la sivyo kila siku itakua ni matukio huko Tehran

Nifakua natoa updates kinachoendelea. Na huenda siku si nyingi vita ikarudi tena tena kwa ukubwa kuliko ilivyokua mwanzo
 
💥
Usiku kulikua na kikao cha maafisa wa jeshi la Iran, drone ikatumwa kwenda kushambulia, inasemekana wapo maafisa wa jeshi waliofariki kutokana na shambulio Hilo
Video footage:
 

Attachments

  • 2025-07-01_03-06-23_0.mp4
    826 KB
💥
Usiku kulikua na kikao cha maafisa wa jeshi la Iran, drone ikatumwa kwenda kushambulia, inasemekana wapo maafisa wa jeshi waliofariki kutokana na shambulio Hilo
Video footage:
Makamanda hawa hapo chini waliuwawa kwenye shambulio hilo!!!!
 

Attachments

  • IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 23
Makamanda hawa hapo chini waliuwawa kwenye shambulio hilo!!!!
Nimeona hiyo taarifa.
Hao waliouwawa ni general Hassan Kansari, general Soheil Rastamian, general Sirous Morad, General.Saeed Aslani, kanari mohswn barkani, kanari majid zarei, kanari Mohamed javad, wengine ni Ali Abbas na Soheil Loftizadeh
 
💥
Kwa sasa Iran ukiwa hueleweki movements zako na ukakutwa eneo ambalo pia lipo nje ya mji basi jiandae kuuliwa. Iran wanasafisha kila watayemhisi anafanya upelelezi wa kutumiwa na Israel
Muda mchache uliopita vijana wawili katika mji wa Hamedan, Mehdi Abaei na Alireza Karbasi waliuliwa baada ya kusimamishwa na Askari kisha kushukiwa kuwa huenda wanafanya upelelezi. Walipigwa risasi hapohapo hadharani

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…