SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

💥💥
Assassination attempt imefanyika kwenye moja ya apartment kwenye moja ya maghorofa marefu ndani ya Tehran. Haijajulikana hadi sasa ni nani mlengwa. Taarifa kamili zitakujia
 
20250701_195645.jpg

US State Department has approved the sale of $510 million worth of ammunition to Israel:

3,845 JDAM guidance kits for use with BLU-109 bombs, which are 2,000-pound bunker-busting bombs.

3,280 JDAM guidance kits for MK 82 bombs, which are 500-pound general purpose bombs.
 
💥
Jioni ya leo moshi na mlipuko umesikika kusini mashariki mwa Tehran karibu na eneo la Moshirieh
20250701_221655.jpg

20250701_221652.jpg
 
Iran isipochukua tahadhar ya kushughulika na ndege za Israel bhc kazi itakua nzito
 
Hapa inabid wajieke sawa wakiskia ndege zimepaa tuh nao watume ballistic kama zote vitu vipishane angani
Na sio kusubir mpk washambuliwe na wao ndio waanze kushambulia
 
Tatizo kubwa la WaTanzania wenzangu ni kutafsiri mambo au kudadavua matukio
Nasema ivi kwa mbinu izi inazotumia Taifa la Israel ni wazi Israel imegeuka na kuwa Taifa la Kigaid !!

Tangu mwanzo uko Iran ni Ugaidi ndio unauwa Makamanda wa Iran kwakutumia drone ndogo zenye milipuko

Kwa hali jinsi ilivo kwasasa niwazi Israel kweli imekutana na mkubwa uku yeye akitenda matendo yakuonesha udogo wake !!

Israel uko nyuma ilikuwa kwenye KUJAM System yako kisha inakutwanga !!

leo imepeleka Mossod kibao au mataga ni wazii ni Ugaid au Uzaifu wa kumuogopa adui yako uwezo wake

Awa Magaid wa mossad uko Iran wamejenga viwanda vyakuunda Drone na milipuko yote ni kuzitumia Drone kwenda kupiga mifumo ya ulinzi chinichini kwenye Battery paaa walifanya ivyo seem zote ilipo mifumo ya ulinzi

Iran kazi kubwa ilikuwa kutoa mifumo mpya uku wanapambana na Magaid awa wanao tengua mifumo!!!

nawakumbusha njia hii majuzi ilitumika kupiga ndege muimu sana Russia aina ya tupolev - 160 na aina nyengine ndege 40+ ziliteketea Uwanjani !!

uku mifumo ya ulinzi ipo tatizo lilelile Magaid walipeleka Drone kalibu na kambi zikaendeshwa chini chini ikawa kilio Urusi .

Nq Israel kwa Iran kawa Gaidi tu ndiomana yake baada ya ujuma ya Kigaidi kwenye Ulinzi nayeye IDF + USA ndio Wanapeleka ndege daaa aibu eti ndege za Israel zinatawaka Anga la Iran !!

Afu eti unasifia ndege zako na Tramp nayeye anadai Marakani ina Technology kubwa uku kwetu Kama kawa Walokole Shangwe kubwa tunamiliki Anga la Iran !!

Uyu mzee Tramp anadhani Dunia yasasa ndio ile ya Wajinga wajinga mbona Iran yupo ndani ya nchi yake !!!

Mwamba ajatoka popote mfano kupeleka mataga wakaujum kwa Drone zile Iron dome Thaad na David's Sling + ndugu yao Arrow !!

IRAN yupo zake home uko 2000+k.m anakwambia washa kabisa na mitambo yako yote nataka niikute ipo ON

Lkn miji ya ISRAEL imechakaa na iyo mifumo ya ulinzi imeonekana yenyewe ikiitwanga miji ya Israel kama Beki anajifunga mwenyewe mbaya zaid sio mara moja inajipiga yenyewe au beki anakaba wkt goli lishafungwa Iran shikamoo !!!

kwa hali hiii Bado yupo shabiki wa Israel anaamini KITECHNOLOGY Iran kuna wakumfikia apo Mashariki ya kati ?!!!

Israel imeaibika Vibaya sana kwenye hiii Vita tuache Ukobaz Ulokole tuseme kweli Iran ni Baba wa Technology au mnataka afanyeje ili tumpe heshima yake???
 
Mkuu kumbuka vita NI mbinu na hakuna kanuni inayoongoza jinsi ya kumshinda adui
 
Punguza mahaba ya kijinga. Utakuja kuliwa na Wazayuni. shauri yako!.
Akili za kijinga kabisa kila wakati unafikiri kufirwa tu wala hufikirii vitu vingine!!! Uko bizÄ™ kujadili Pet issues za ushoga tu wala huna akili ya kujadili vitu vya msingi!!!
 
Punguza mahaba ya kijinga. Utakuja kuliwa na Wazayuni. shauri yako!.
Huyo jamaa ni psychopath mkuu yani huna haja ya kusumbuana naye.
Huyo niliwahi kumletea habari toka chanzo cha Israel Times of Israel na akaikataa akidai kuwa sio credible source.
Watu wengi washampuuza maana ni mbishani sio mtu wa kujadiliana kwa facts.
 
Endeleeni kujitia ujinga mkifikiri kuleta habari za uongo kutawasaidia kitu!!
 
Back
Top Bottom