SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Mkuu video nimeangalia kabla, pia kuhusu tahadhali hasa ya gari ambalo linalipuka ni muhimu sababu si wote hupenda footage za aina hiyo. Kwenye gari kuna watu/mtu, sio wote huweza kuhimili kuona video ya hiyo
😂😂😂😂😂😂😂 Yani ile video haina kiashiria chochote cha kutisha mbaya zaid haieleweki
Ila asante kwa taarifa
 
😂😂😂😂😂😂😂 Yani ile video haina kiashiria chochote cha kutisha mbaya zaid haieleweki
Ila asante kwa taarifa
Mkuu gari lililokua linaendeshwa limelipuka ghafla kwa bomu, inasemekana ni Assassination ya mmoja wa makamanda wa Iran. Hapo bado kipi hakijaeleweka?
 
Iran Sasa inazikaribisha ndege za Israel F-35 baada ya kupokea mziko wa kwanza wa J10C fighter jets zenye rada ya kisasa AESA na PL 15 Missile. KWA ingizo la kwanza zinatakiwa 50. Hizi ni zile ambazo ziliiidungua ndege ya kisasa kabisa ya India waliyoinunua kutoka France wakati wa mnyukano wa India vs Pakistan.
 
Zimeshawasili hizo ndege!?
 
Morocco yapokea maiti za wanajeshi wake wawili waliouwawa na makombora ya Iran huko Israel. Naona na wenyewe walikuwa wanaongeza NGUVU.

Screenshot_20250703-213650.png
 
💥
Mkuu wa Mossad David Barnia na Netanyahu wamefanya kikao muda mchache uliopita, mkuu huyo ametoa taarifa kuwa bado wana operation kubwa ndani ya Iran na kumuabidi Netanyahu kuwa itaefanikiwa
 
💥💥
CCTV footage: assassination iliyofanyika, gari linaonekana likilipuka. Ni kamanda gani na ni nani bado taarifa kamili haijatoka. Tusubiri taarifa kamili
Video inaogofya.(chukua tahadhali wakati wa kuangalia)
💥
Kamanda Qassim Al Hussein ameuwawa kwenye shambulizi hili lililotokea leo
 
💥
Gazeti la Leo la Tehran Times limemnukuu msemaji wa jeshi la Iran akisema kuwa mashambulizi yatayofata dhidi ya Israel yatakua makali kuliko yaliyopita endapo Israel wataishambulia tena.
20250704_15232.jpg
 
Morocco yapokea maiti za wanajeshi wake wawili waliouwawa na makombora ya Iran huko Israel. Naona na wenyewe walikuwa wanaongeza NGUVU.

View attachment 3393066
Mkuu hii taarifa si ya kweli.
Hao ni wanajeshi waliokufa wakiwa kwenye doria huko Morocco kwenye jimbo la Zagora na ilikua ni mwezi wa tatu
Screenshot_20250704-013855_1.jpg

Screenshot_20250704-014327_1.jpg

Unaweza kusoma zaidi hapa.
 
E bana vipi nyie kobazi, mnawashwawasha.
Kipigo kinaanza hapo leo usiku mpk juma3.
Siku 6 zimeisha za kuweka poo.
Nataarifu nikiwa hapo Buza kwa bonge
 
Back
Top Bottom