SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Yeye anasema analeta anazozipata tu, sasa sijui kaweka kambi Tehran?
Mkuu hili nadhani hakieleweki vizuri. Habari za Israel ambazo zipo na naziona kila muda ni kuhusu kinachoendelea Gaza na Lebanon.

Mfano Jana kuna mwanajeshi wa Israel aliuliwa na Hamas
Jana Israel wameishambulia kambi ya Hezbullah huko Lebanon
Jana Israel wamemuua moja ya kamanda wa Hezbullah akiwa kwenye gari kwa drone.

Hizi habari zote sijaweka hapa sababu hazihusiani na huu uzi, huu uzi Ni mzozo wa Iran na Israel, naweka Yale yanayohusiana. Mwanzo nilitaka kuchanganya niwe naweka lakini naona itapoteza lengo la huu uzi.

Kinachoendelea Iran Ni kutokana na mzozo wake na Israel ndio maana naweka, hata Israel ikitokea habari inahusu mzoz na Iran nayo naiweka
 
Daaaa habari za Israel kunyukwa kazipa kisogo yeye kaweka kambi Iran kutafuta kila seem kwenye Moshi atujuze!!!!
Mkuu habari za ndani ya Israel kuhusu mgogoro wake na Iran nikipata naziweka, lakini kwa Sasa huko habari ni Israel na Hamas na Hezboullah. Hizo nikiweka naona nitakua napoteza lengo la huu uzi
 
💥
Seyyed Mohammed Hassan Ahadi Nejad Mmoja wa Askari ambae wamekufa na raia wa Iran walikua wanamchukia(sababu wanazo wenyewe), walikua wakisubiri uthibitisho wa jina, hatimaye wamepata uthibitisho.
20250705_153119.jpg
 
Uyo jamaaa David kavuta na wengine kibao tu. Ukweli utawekwa wazi.. son
 
Moto wa Israel kapokea sina hakika kama kutakuwa na vita mpya kwasasa zaid Israel ndio inaondoka GAZA kiujumla
 
Hiii picha hata mtoto wangu anatengeneza apo imefishwa date yake og!! na karatasi nyeupe ikawekwa maandishi tu ya prime minister adi mwisho apo GPO
Sijaelewa mkuu , kikao halikuwepo au picha imefanyaje? Hii ni habari ya juzi Wala si leo
Pitia hizi link utakutana nazo hizi picha na waliyojadili hiyo juzi



 
Sijui ila taarifa za chini chini inasemekana ameshapokea ndege.
Tusubiri taarifa rasmi,maana pafukapo moshi moto uwaja.
Mkuu taarifa rasmi bado hawajafanya negotiations. Sera za china kuuza fighter jets zina vipengele ambavyo hadi sasa vimekwisha negotiations,
2018 China walishindwa kuwauzia Iran jets, 2021 china tena wakashindwa kuwauzia Iran jets chengdu J-10C,

wapo ambao wanasema na kushauri Iran anunue kutoka Pakistan hii inawezekana lakini ugumu wake itategemea marekani wataingilia kwa kiasi gani

Option nyingine waliyonayo kwa meza ni kutengeneza wenyewe (japo itachukua miaka mingi kukamilika)

Russia wameifelisha Iran muda mrefu kwenye suala la fighter jets kwa sababu ya kushindwa kudeliver ndege hizo, ikiwa tayari walishakubaliana
 
Mkuu taarifa rasmi bado hawanafanya negotiations. Sera za china kuuza fighter jets zina vipengele ambavyo hadi sasa vimekwisha negotiations, wapo ambao wanasema na kushauri Iran anunue kutoka Pakistan, hii inawezekana lakini ugumu wake itategemea marekani wataingilia kwa kiasi gani

Option nyingine waliyonayo kwa meza ni kutengeneza wenyewe (japo itachukua miaka mingi kukamilika)

Russia wameifelisha Iran muda mrefu kwenye suala la fighter jets kwa sababu ya kushindwa kudeliver ndege hizo, ikiwa tayari walishakubaliana
Wacha tusubiri taarifa kamili.
 
💥
Khamenei muda mchache uliopita for ashura night mourning ceremony
View attachment 3395343
Ndio tatizo uko Iran Wanajambo la kidini lkn linaisha jumapili ya leo Baada ya apo chochote Binadam anaweza kutabili kutokea !!
Waisrael wamepumua kwa %100 wakijua Iran awezi kipindi ichi kuliamsha dude lkn icho kipindi ndio kina gota leo
kwanzia kesho J3 maisha yakawaida yanaanza upya Iran.
Wamemaliza muharamu...
 
💥
Balozi wa Marakani nchini Israel Mike Huckabee ameungana na Netanyahu kwenye ziara yake ya nchini marekani ambapo kutakua na mkutano Kati ya Netanyahu na Trump, moja ya ajenda kubwa ni kuhusu Iran
20250706_211018.jpg
 
💥
Netanyahu amemkaimisha madaraka kwa muda waziri wa ulinzi Yisrael Katz, kwa kipindi atachokua marekani. Inasemwa mara ya mwisho kufanyika hivi ndio shambulio la kumuua kiongozi wa Hezbullah Hassan Nasrallah lilitokea

Pia waziri wa sheria Yariu Lavin ndio ataendesha baraza Kama mwakilishi wa Netanyahu
20250706_142534.jpg
 
Back
Top Bottom