SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

💥
Waziri wa ulinzi wa Israel, Yisrael Katz anasema kuwa Khameni amesaini hati ya kifo cha serikali ya Iran. Anasema kuwa safari hii Netanyahu atafanya jambo kubwa zaidi
20250707_132413.jpg
 
💥💥
Mchambuzi wa masuala ya kijeshi China, ametoa ushuri kwa Iran kuhusu kununua ndege Vita aina ya J10-C.
China wanasema ndege za J10-C hazitakua na maan kubwa kwa Iran sababu jeshi la anga la Israel linaendana na jeshi la anga la marekani.

Anasema kuwa J10-C zina uwezo wa kupambana na ndege Vita aina ya F-16, lakini ni ngumu kupambana na F-35. Hivyo ili Iran waweze kupambana na F-35 na kuweza kuziangusha, wanahitaji kununua anti-stealth rarar, KJ1000 AWACS aircraft, na pia kupata access ya beidou satellites data.
View attachment 3397244
Kama mazungumzo yamefikia hapo basi Iran silaha atapata kutoka China.
 
Iran ameshafungia GPS kufanya kazi nchini kwake, sasa wanatumia beidou ya China..
 
💥
Netanyahu amemkaimisha madaraka kwa muda waziri wa ulinzi Yisrael Katz, kwa kipindi atachokua marekani. Inasemwa mara ya mwisho kufanyika hivi ndio shambulio la kumuua kiongozi wa Hezbullah Hassan Nasrallah lilitokea

Pia waziri wa sheria Yariu Lavin ndio ataendesha baraza Kama mwakilishi wa Netanyahu
View attachment 3396621
Pengine makombora ya jana kutoka Yemen yamepitq nae Netanyahu mbona kizaaa kinene uko Israel..
 
20250707_163356.jpg

Ziaaldin Akagjanpour, the representative of Supreme Leader Khamenei in the Defense Ministry, made two notable statements today:

1. If the US and Israel attack Iran again, "our response will be stronger and more decisive to ensure Truth 3, and we will destroy Haifa and Tel Aviv to their foundations."

2. The missile barrage on the US base in Qatar led to "Trump's pleas for a ceasefire."

(Iran News)
 
💥💥
Police nchini Iran imetoa updates ya list ya baadhi ya makamanda wake waliouwawa
20250707_163521.jpg
 
💥💥
Mchambuzi wa masuala ya kijeshi China, ametoa ushuri kwa Iran kuhusu kununua ndege Vita aina ya J10-C.
China wanasema ndege za J10-C hazitakua na maan kubwa kwa Iran sababu jeshi la anga la Israel linaendana na jeshi la anga la marekani.

Anasema kuwa J10-C zina uwezo wa kupambana na ndege Vita aina ya F-16, lakini ni ngumu kupambana na F-35. Hivyo ili Iran waweze kupambana na F-35 na kuweza kuziangusha, wanahitaji kununua anti-stealth rarar, KJ1000 AWACS aircraft, na pia kupata access ya beidou satellites data.
View attachment 3397244
Iran anataka ndege ili akatengeneze zake lengo sio kuzitumia kivita !!

ni kuona kunann umo hadi wamezishusha ndege Chapa Rafale. Sio zaid
 
Kama mazungumzo yamefikia hapo basi Iran silaha atapata kutoka China.
Inawezekana dili kukamilika, maana Leo mijadala mbalimbali nchi Iran ni kuhusu Russia kushindwa kuwauzia Iran zile ndege Vita za Sukhoi 35, alafu hapo hapo wanakamilisha dili la kuwauzia India ndege Vita ambapo ni za kisasa zaidi za S-57E na advanced Su-35M
 
Urusi na Iran hawana urafiki kamili kihivyo,naona bora hata China anaweza akatimiza kuliko Iran.
Nikichukulia mfano wa 1980 Iran-Iraq war China alimsaidia Iran kiintelijensia na silaha,hivyo sidhani kama hapa atashindwa kumuuzia silaha nzuri.
Pia naskia wameacha kutumia satellite za western sasa hivi wanatumia beidoui ya China.
 
Ni kweli, walizima GPS na wanatumia beidou ya china.
 
Back
Top Bottom