City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
💥💥
Mahitaji makubwa mawili ya Netanyahu ambayo ameyaweka mezani kwa Trump ni
1) Israel kuzima kabisa urutubushaji wa uranium nchini Iran
2) Israel iwe na Uhuru muda wowote wa kuchukua hatua/kushambulia Iran kama wanavyofanya nchini Lebanon