Driver proffesional
JF-Expert Member
- Feb 18, 2022
- 1,264
- 2,910
Hii habari uliiona? Mzee wa update za upande ulee💥
Netanyahu amemkaimisha madaraka kwa muda waziri wa ulinzi Yisrael Katz, kwa kipindi atachokua marekani. Inasemwa mara ya mwisho kufanyika hivi ndio shambulio la kumuua kiongozi wa Hezbullah Hassan Nasrallah lilitokea
Pia waziri wa sheria Yariu Lavin ndio ataendesha baraza Kama mwakilishi wa Netanyahu
View attachment 3396621