SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Utafiti wa kivita inaonyesha, ndege za kisasa za Iran walizonunua china kuwezo zinatosha kabisa kulinda anga la Iran thidi ya ndege za kisasa za US na Israel. Ila wamenunua chache 40 tu, inatakiwa angalau ziwe 200+.

Ikumbukwe Kuna fununu muda wowote wiki hii au ijayo Ayatollah atapigwa sana.
 
E bana vipi nyie kobazi, mnawashwawasha.
Kipigo kinaanza hapo leo usiku mpk juma3.
Siku 6 zimeisha za kuweka poo.
Nataarifu nikiwa hapo Buza kwa bonge
Kakae kwako kila cku uko kwa bonge
 
Aliekuambia ni nani?!
Unajua maana ya regime change?
Angalia nchi za kiarab zilipofanyiwa hicho.
Alaf angalia aliwekwa nani?

Hapo wanataka watoe mfumo wa ki ayatollah.
Sio mtu
Sasa hilo ndo haliwezekani kwa sababu wairani wote lao moja
 
Utafiti wa kivita inaonyesha, ndege za kisasa za Iran walizonunua china kuwezo zinatosha kabisa kulinda anga la Iran thidi ya ndege za kisasa za US na Israel. Ila wamenunua chache 40 tu, inatakiwa angalau ziwe 200+.

Ikumbukwe Kuna fununu muda wowote wiki hii au ijayo Ayatollah atapigwa sana.
Jana kulikua na mjadala mkubwa kwa wairan kuhusu hili, hili dili kukamilika sio rahisi kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo sera za China za kuuza fighter jetskulinganisha na wanayemuuzia na muda wa kuuza/peace time or wakati wa mgogoro

Option ambayo Iran wanaweza kwenda nayo ni kununua kutoka Pakistan, endapo Pakistan ataridhia.
Option namba mbili iliyozungumzwa ni Iran kuunda wenyewe fighter jets na kupata production support kutoka china, japo hii option inaonekana itachukua muda kutokana na matishio waliyonayo

Hii kitu imewasumbua Iran hata kwenye dili la kununua sukhoi jets kutoka Russia, na mwisho Russia hawakukamilisha hilo dili
 
💥
Iran na Marekani wamekubaliana kuanza mazungumzo kuhusu nuclear

Masharti ya Marekani yatakuwaje, je Iran itakubaliana nayo? Tusubiri
20250704_204149.jpg
 
💥💥
Video footage: Moto umesabisha moshi mkubwa eneo la Qeshm Dargahan, mamlaka hazijatoa taarifa nini kimetokea
 
Attachments

  • 2025-07-04_21-13-21_0.mp4
    1 MB
Jana kulikua na mjadala mkubwa kwa wairan kuhusu hili, hili dili kukamilika sio rahisi kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo sera za China za kuuza fighter jetskulinganisha na wanayemuuzia na muda wa kuuza/peace time or wakati wa mgogoro

Option ambayo Iran wanaweza kwenda nayo ni kununua kutoka Pakistan, endapo Pakistan ataridhia.
Option namba mbili iliyozungumzwa ni Iran kuunda wenyewe fighter jets na kupata production support kutoka china, japo hii option inaonekana itachukua muda kutokana na matishio waliyonayo

Hii kitu imewasumbua Iran hata kwenye dili la kununua sukhoi jets kutoka Russia, na mwisho Russia hawakukamilisha hilo dili
Nimeona taarifa sehemu nyingi kuwa tayari Iran amepokea j10C 40 kutoka China.
Vyombo vya habari vya chini chini vinasema hivyo.
Wacha tuone taarifa rasmi zitasemaje.
 
Utafiti wa kivita inaonyesha, ndege za kisasa za Iran walizonunua china kuwezo zinatosha kabisa kulinda anga la Iran thidi ya ndege za kisasa za US na Israel. Ila wamenunua chache 40 tu, inatakiwa angalau ziwe 200+.

Ikumbukwe Kuna fununu muda wowote wiki hii au ijayo Ayatollah atapigwa sana.
Utafiti umedanyika wapi na nani?
 
Nimeona taarifa sehemu nyingi kuwa tayari Iran amepokea j10C 40 kutoka China.
Vyombo vya habari vya chini chini vinasema hivyo.
Wacha tuone taarifa rasmi zitasemaje.
Mkuu si kweli. Bado hata negotiations hazijafanyika
Dili linaweza likafanikiwa japo kuna ugumu kama ambao iliwakuta kwenye dili lao na Russia
 
💥
Mkuu wa Mossad David Barnia na Netanyahu wamefanya kikao muda mchache uliopita, mkuu huyo ametoa taarifa kuwa bado wana operation kubwa ndani ya Iran na kumuabidi Netanyahu kuwa itaefanikiwa
Picha mpya ya uyo David ipo wapi !!!
 
💥💥
Video footage: leo imetoka video ikionyesha gari ambalo wale vijana wa jiji la Hamedan walishambuliwa
 
Attachments

  • 2025-07-05_14-56-36_0.mp4
    2.8 MB
💥💥
Jeshi la Iran limetoa orodha nyingine ya wanajeshi kamandi ya anga ambao wamefariki kutokana na vita yao dhidi ya Israel
20250705_151143.jpg
 
Back
Top Bottom