SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

πŸ’₯
Katika kikao kilichoitishwa tena Leo kitachofanyika hapo baadae, inaelezwa kuwa Netanyahu ameona fursa na mpango wa kuishambulia zaidi Iran
Netanyahu anataka njia pekee itumike kama iliyotumika Libya ilo kuiangusha serikali ya Iran
Netanyahu anataka utumike nguvu zaidi hadi kuiangusha Iran(regime change)
 
Inaonesha netanyahu hajiamini kabisa anaogopa nini?
 
πŸ’₯πŸ’₯
Inaripotiwa kuwa Netanyahu hataki diplomasia yoyote na Iran, anachotaka ni kuiangusha serikali ya Sasa ya Iran
Netanyahu amepoinga mpango wa majadiliano wa Marekani na Iran
Netanyahu ameona fursa na mpango mzuri kwa Israel kuishambulia kwa nguvu zaidi Iran
 
πŸ’₯
Video footage: Trump ametoa shutuma kwa CNN na New York Times kwa kuripoti habari ya uongo kuhusu shambulizi lililofanyika kwenye nuclear site ya Fordow. CNN na New York Times waliandika kuwa shambulizi la Fordow halikua perfect, Trump anasema hawakuripoti ukweli, shambulizi lilikua perfect
Msikilize vizuri Trump
 

Attachments

  • 2025-07-08_19-45-16_0.mp4
    5.2 MB
πŸ’₯
Kikao Cha Netanyahu na Trump kimerudishwa muda nyuma, haitakua tena saa saba usiku kwa saa za huku, bali saa 5 usiku
 
Hii ni ishara Iran ni threat kwa Israel, kichapo alichopokea Israel hawezi kukaa kwa amani middle east..
 
πŸ’₯
Wakati akiingia kwenye kikao Netanyahu hajapitia mlango mkuu, badala yake kapitia mlango wa nyuma ambao anatumiaga Trump. Ilileta mshangao kwa maafisa wa ikulu
 
πŸ’₯
Saa nzima toka waanze kikao Netanyahu na Trump, hakuna update yoyote imetolewa.

Huenda mpaka wamalize ndio inaweza kuelezwa walichozungumza
 
πŸ’₯
Netanyahu na Trump wamemaliza kikao ambacho kimedumu kwa dakika 90, kikao ni Cha siri na inaelezwa hakutakua na press kuhusu nini walichojadili
 
Nje ya mada:
Correspondents wa Iraq, wanaweka kinachoendelea huko Iraq, ni hatari kubwa. Moto unawaka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…