City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Round two Kila mmoja kajipanga vizurTunasubiri mzunguko wa pili
Nalog off
Itanoga sana,lazima ni bet πRound two Kila mmoja kajipanga vizur
TeheteheteheIran ime install mfumo wa kulinda anga wa S-400, mfumo huu unaweza kuona stealth aircrafts kama f-35 na B-2, hili limekuja baada ya mifumo ya ulinzi wa anga kufanyiwa sabotage na afghans(watu wenye asili ya Afghanistan) ambao walitumia drones za kamikaze na walipewa mafunzo maalumu jinsi ya kulipua ADs za Iran....
huyu jamaa amekomaa na milipuko mikubwa tu habari kama hizi humsikii...
Mkuu hii habari nimewahi kuileta, rudi nyuma utaiona. Kinachoendelea kilikua kimeshaanzaIran ime install mfumo wa kulinda anga wa S-400, mfumo huu unaweza kuona stealth aircrafts kama f-35 na B-2, hili limekuja baada ya mifumo ya ulinzi wa anga kufanyiwa sabotage na afghans(watu wenye asili ya Afghanistan) ambao walitumia drones za kamikaze na walipewa mafunzo maalumu jinsi ya kulipua ADs za Iran....
huyu jamaa amekomaa na milipuko mikubwa tu habari kama hizi humsikii...
π€£π€£π€£Round two inachukua mda xnaaUkimsikia Netanyahu anavo iongelea issue ya nyuklia ya Iran ni kama vile Iran imefikia level ya kila raia wa Iran mwenye umri wa miaka 18 anamiliki bomu moja la nyuklia.
Toka yupo kijana hadi sasa kazeeka anakuambia Iran ipo karibu sana kumiliki nyuklia... zaidi ya miaka 30...Ukimsikia Netanyahu anavo iongelea issue ya nyuklia ya Iran ni kama vile Iran imefikia level ya kila raia wa Iran mwenye umri wa miaka 18 anamiliki bomu moja la nyuklia.
Hao wanatakiwa kulambishwa mchanga harakaMjasusi wa Iran wafichua taarifa kamili za marubani na makamanda wa jeshi la anga la Israel waliohusika kwenye vita ya siku 12...
Vyombo vya habari vya Iran vimeripoti kuwa ujasusi wa Iran umefanikiwa kupata taarifa za kina kuhusu marubani, makamanda na waendeshaji wa droni wa jeshi la anga la Israel waliohusika katika mashambulizi dhidi ya Iran mwezi Juni. Taarifa hizo zinajumuisha majina, makazi, vikosi na nyendo zao.
Iran imesema hatua hii inawapa faida ya kimkakati kwa ajili ya kisasi chochote cha baadaye. Aidha, baadhi ya makazi ya wanajeshi hao tayari yalishalengwa katika mashambulizi ya kulipiza kisasi. Iran imedokeza kuwa huu ni mwanzo tu, na taarifa zaidi za siri zitaendelea kufichuliwa.
π₯π₯π₯π₯
Video footage: muda mchache uliopita Hossan Ghorab amekuwa assassinated huko baalbek Lebanon. Hossan Ghorab ni mshirika wa jeshi la Iran na Hezboullah.
Ni kiungo muhimu katika ya jeshi la Iran na Hezboullah
Mkuu Iran ni taifa kubwa na lenye nguvu, sio Syria hiyoVViungo muhim hawaishi tuh π