SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

Kinachosikitisha ni kuona waafrika (ngozi ya tako tu) kwa mujibu wa Iran na Waisrael mko tayari kutoana macho na huo mgogoro.

Hivyo vita ukielewa msingi wake ideologically (from historical) perspective sisi wa Africa havituhusukabisa.

Na upuuzi wa hali wa juu kuwa na upande.

Just shallowness ukisoma comments humu, watu wengi hawajui tu Jews ni watu wa aina gani.
 
Kwa siku ya leo ADS ya muiran imejitahidi kulinda anga lao tofauti na jana.

Kwa leo asilimia kubwa mashambulizi ya Israel yamepunguzwa nguvu. Wameshambulia sehemu chache.


Ubaya anga la Israel nimegundua lipo uchi sana. Iran akipiga siku 5 mfululizo Israel itakuwa hoi ukizingatia na udogo wao wa nchi.
 
Israel analilia marekani aingilie
 
Aliyetabiri Civid 19 mwezi Jana alishasema this June WWIII inaanza. British prime minister pia atajiuzulu na nafasi kuchukuliwa na mwanamke. Ikumbukwe pia Nostradamus Karne ya 16 alitabiri WWIII itakuwa 2025 na itaanzia Iran ya Sasa
Utabiri wake ulikuwa ni may 2025. Ngoja tusubirie
 
Ni kweli baada ya shambulizi la Ijumaa walitumia masaa kadhaa kurestore air defences zao inasemekana Pakistan wana mkono pia kwenye kuisapoti Iran katika kuactivate air defenses
 
Binafsi nipo Tel Aviv hapa nakusanya picha, ushahidi na video mbali mbali kuhusu mashambulizi ya Iran hapa Israel.

Kwa hali hii kama vita vikiendelea, kuna uwezekano mkubwa wa shetaninyau akaenda kuomba ukimbizi Marekani.
 
Mbona unaripoti hatari za upande mmoja???
Huna habari kuwa Tehran inashambuliwa???
Balance habari
 
Tulia,kuna wateule feki wanapekuliwa tuone nyeti
 
Sisi Iran hiyo Israel tunaipiga siku 10 mfululizo baada ya hapo tunawaacha mkazoe majivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…