Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji632][emoji298]️France: food shortage struggle for sunflower oil.
Your browser is not able to display this video.


For clarification angalien hizo banners in the shop are in French zimeandikwa (SOLDES means SALE/PROMOTIONS)...

Holland(Uholanzi) nako mambo si mambo Around 12/13 euros per litre sawa na 30,000Tsh mpaka 33,000Tsh kwa lita.
 
Acha kuleta porojo zako, unadhani sote ni washamba wa S-300?

S-300 huwezi kuzifanabisha kwa ubora na ufanyaji kazi na hayo magobole ya MANPAD ambayo ndege ikiruka zaidi ya kilomita 10 hayana msaada. Na kuna functions nyingi tu S-300 inafanya hayo magobole hayawezi.

Zelensky mwenyewe pamoja na kupewa hayo magobole ya NATO ya MANPAD anaendelea kulilia pisi moja ya S-300 ili ajikinge na makombora ya balistiki na kruizi.

Acha kufananisha S-300 na vitu vya kijinga.



 
Nilichogundua hii vita NATO ni kama wanamzuga putini wanaonekana wajinga kumbe ,kumbe kuna mipango mingi wanaifanya kwa siri pasipo yeye kujua,alafu zelesky anatumia mbinu ya kulalamika hakuna sapoti
Zelensky anapewa maelekezo yote ili kumzuga Putin. Lakini mashabiki wake hapa wanakwambia Zelensky analialia sana hawajui kwamba yule professional yake ni comedy.
 
Russia atabakia tu maNuclear yake sababu ya Putin,Kila kitu kinapigwa ban🤔
 
Ukiwasikiliza propaganda zao unaweza kuamini next week Urusi itaanza kurusha mawe mana wamesema urusi wameishiwa silaha chakushangaza Ukraine inazid kuchakaa na miji yao kutawaliwa na majeshi ya urusi hahhaha
Ukiunganisha na hao wapiganaji wa kigeni namna wanavodakwa na kudunguliwa sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa sijui wanafikiri wapo Libya, Afghanistan au Iraq wanajisahau kama Russia ana Millitary satellite mchana anawazoom usiku anawadungua [emoji847][emoji847][emoji847] Asbuh wanahesab maiti.

Your browser is not able to display this video.
 
[emoji96]Turkey! Erdogan categorically stated that he would not transfer the Russian S-400 air defense system to Ukraine, as the Americans asked him to.

[emoji96]Uturuki! Erdogan amesema kimsingi kwamba hatapeleka Russian S-400 Air defense system zake Ukraine, kama Wamarekani walivyomtaka afanye.

Swali la msingi, kwani NATO hasa hasa huyu anayeagiza wenzie US hawana Equivalent system to S-400 za Russia...? Kwani wasipeleke wenyewe [emoji847][emoji847][emoji847]???
 
Upimbavu huu, nataka majibu.
 
Kaburi lenye miili ya watu zaidi ya 200 lagunduliwa huko Mariupol, Ukraine

Umoja wa Mataifa umegundua kaburi la pamoja kusini mwa mji wa Mariupol, Ukraine ambalo unasema linaweza kuwa na miili ya watu 200.
Matilda Bogner, mkuu wa ujumbe wa ufuatiliaji wa haki za binadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Ukraine, amesema timu yake inajaribu kutathmini kiwango halisi cha vifo vya raia.
"Kuna kaburi moja tumeweza kupata taarifa zake kwa satelaiti, na tunakadiria kuwa moja ya makaburi hayo ya pamoja yana watu 200," alisema.

Lakini "hiyo haimaanishi kuwa watu hao wote ni waliokufa ni raia", aliongeza - kwa kuwa idadi hiyo ya Umoja wa Mataifa haijumuishi vifo vya wanajeshi au wale wanaokufa kwa sababu nyingine wakati wa vita.

Takriban raia 1,035 wameuawa, alisema - ingawa Umoja wa Mataifa umekuwa ukisema mara kwa mara kuwa unaamini idadi ya vifo ni kubwa zaidi kuliko idadi rasmi inayotajwa, kutokana na ugumu wa kuthibitisha ripoti na kupata taarifa kutoka maeneo yaliyoathiriwa na vita.

Mapema wiki hii, makamanda wa eneo hilo walisema wanadhani idadi ya vifo vya Mariupol pekee inaweza kuwa zaidi ya watu 3,000. Miili mara nyingi huachwa mitaani kwa sababu ya hatari kuiokoa, na wengi wao baadaye huishia kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki.
 
Captured Ukrainian soldiers are kept in decent conditions, according to international standards, said Mikhail Mizintsev, head of the National Defense Control Center of the Russian Federation.

At the same time, he stated that the Ukrainian authorities grossly violate elementary humane norms, the requirements of the Geneva Conventions regarding the treatment of prisoners of war.
Galip SV Liwagu
 
sijui ht km umeelewa nlichoandika, heavy system yeyote haina maana kwa ukraine maana russia atazitrack na kuziharibu, lazima watumie mobile systems, haimaanishi s-300 sio bora ila ukraine haziwasaidii, watu 300 wenye manpads ni bora maana wanachange locations mda wote wakiwa wamebeba manpads zao sa utawatrack vipi? ila s-300 haihamishiki kirahisi hivyo ni vulnerable
 
Kwenye vita yoyote lazima kuwe na losses ila ukraine wanaikuza namba kuwafurahisha wafuasi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…