poland ni member wa NATO ina maana kuna dalili kuwa urusi kufungua another front tena against NATO? mbn mambo yatakuwa complicated sana, sidhan km kuna nchi yeyote dunian iko interested na situation km hiyo ingawa inawezekana ikatokeaWakuu kuna uwekekano poland ikapigwa na urusi naona dalili
ukraine wanakuza ila pia russia na wao watakua wamedowngrade hawawez toa takwimu rahisi, kuna gazeti moja la moscow ambalo ni pro-kremlin lilichapisha idadi ya vifo 9000 za wanajeshi wa urusi wakinukuu wizara ya ulinzi but kesho yake wakadelete wakasema ni hackers waliweka hio habari, spies wamagharibi wanaamini ni around 10,000 but ni ngumu kupata data ambazo ni accurate ingawa vifo vitakuwa vingi lkn vitakuwa ni viachache kulinganisha na ukraine ambao hawana ht mda wa kuhesabuKwenye vita yoyote lazima kuwe na losses ila ukraine wanaikuza namba kuwafurahisha wafuasi wakeView attachment 2164139
Kwa hiyo kwa mtazamo wako hizo MANPADS zinaweza kuikinga Ukraine na:sijui ht km umeelewa nlichoandika, heavy system yeyote haina maana kwa ukraine maana russia atazitrack na kuziharibu, lazima watumie mobile systems, haimaanishi s-300 sio bora ila ukraine haziwasaidii, watu 300 wenye manpads ni bora maana wanachange locations mda wote wakiwa wamebeba manpads zao sa utawatrack vipi? ila s-300 haihamishiki kirahisi hivyo ni vulnerable
Naunga mkono hoja, hayo maumoja ya kijingajinga hayana maana...UN yenyewe imepoteza muelekeo itakuwa hiyo G20!
kaa kwa utulivuHilo wazo Putin mwenyewe hajawahi kuwaza sababu anajua balaa litakalompata.
mi sipo huko, nlikuwa tu nakujibu why ukraine wameamua kutumia manpads na kuachana na systems km S-300/S-250/S-200 Ni for tactical reasons na si technical km ww unavyoaminiKwa hiyo kwa mtazamo wako hizo MANPAD zinaweza kuikinga Ukraine na:
- makombora ya balistiki?
- makombora ya Kruizi?
- mashambulizi ndegevita (fighter jets)?
Acha maneno mengi, jibu maswali haya:mi sipo huko, nlikuwa tu nakujibu why ukraine wameamua kutumia manpads na kuachana na systems km S-300/S-250/S-200 Ni for tactical reasons na si technical km ww unavyoamini
ila kuhusu balistiki na kruiz zinatumika kulenga target kubwakubwa ambazo ukraine wanaziabandon sasa hivi na kutumia smaller mobile units so itafika kpnd hazitotumika sana,
Kuhoji kuwa manpad zinaweza kuzuia fighter jet hapo inashangaza kdg kwan manpads zimetengenezwa kwajili gani?? kumbuka urusi bado anatumia su-34 bombers, kikubwa hapo ni tactical kwan technically ukraine yupo nyuma
Wale wa takwimu za elfu 10 wako wapi?[emoji298]Unfortunately, during the special military operation there are losses among our comrades. To date, 1,351 servicemen have died and 3,825 have been injured.
The state will take over all decisions to support families, raising children up to higher education, full repayment of loans, solving the housing issue.
/Ministry of Defense of the Russian Federation/
NATO haina cha kupoteza Ukraine ikiungua huku Urusi akipigana na akapewa na vikwazo. Ukraine si mwanachama, akiweza kurefusha maisha ya vita basi ni faida kwa NATO, Hasara kwa Ukraine, Uchovu kwa Urusi sababu ya kupigana. NATO hana cha kupoteza hata kama itaendelea kwa muda mrefu. US hataki chemichal na Bio weapons zitumike sababu anajua hizo zitamaliza vita mapema.Mkuu, toka lini watu madhaifu na waoga wakaweza kutenda jambo la maana mbele ya mbabe!
Wanachoweza kutenda ni kuweka vikwazo kila siku dhidi ya Russia wakidhani hilo litamkosesha pesa ya ku-fund vita vya Ukraine huku wakimuacha solemba Zelensky, Ukraine iendelee kuungua na kugeuzwa majivu, maelfu ya raia wake waendelee kufa huku mamilioni ya raia wakienda kuishi kwa dhiki ukimbizini
View attachment 2163961
View attachment 2163964
Peleka moto mzee baba Hadi waombePowerful explosion near Kiev. Presumably, the oil depot is on fire.
View attachment 2164178
Mipango ambayo Putin wala Russia nzima hawajagundua, ila wewe Yohana umeijua?Nilichogundua hii vita NATO ni kama wanamzuga putini wanaonekana wajinga kumbe ,kumbe kuna mipango mingi wanaifanya kwa siri pasipo yeye kujua,alafu zelesky anatumia mbinu ya kulalamika hakuna sapoti
hizi ni takwimu rasmi za walizotoa wao wenyew, binafsi si za kweli km nisivyoamin zinazotolewa na waukraine, takwimu za kweli kila upande ni siri yao wenyeweWale wa takwimu za elfu 10 wako wapi?