Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukraine na Urusi wamesha kubaliana masharti 4 kati ya 6 ili kusitisha mapigano.

Masharti yaliyo fikiwa mwafaka ni pamoja na (1) Ukraine imekubali kutojiunga na NATO.
(2) Ukraine kuhakikishiwa usalama wake.
(3) kurudisha lugha ya kirusi kwenye mtaala wa elimu uliokuwa umeondolewa.
(4) Ukraine kukubali kupinguza jeshi lake.

Masharti ambayo bado hawajakubalia ni
(1)kuhusu uhuru wa mkoa wa Dombas
(1) kuhusu Cremea.
Haya ni kwa mujibu wa rais wa Uturuki bwana Edorgan.
 
Unafichaje habari za vifo vyote hivyo? ni wastani wa wanajeshi 300 wa Urusi wanafariki kila siku tangu vita ianze kwa idadi hiyo uliyosema, hii ingekuwa sherehe BBC na CNN.
Hao BBC, Aljezeera, Sky News, Fox News, CNN hawajawahi kutaja idadi ya Askari wa Ukraine waliokufa....yaaani wao ni kuonesha picha za kinachodaiwa ni majengo yaliyobomolewa sijui Mara hospitali yaaani mipicha ya siku hata siku tano inajirudiarudia...duh
 
Eti wataleban wanawasii pande mbili zinazopigana Ukreine na Rusia waweke silaha chini wazungumze yaishe.
wakati uo uyo kiongozi wa Taleban anaetoa ushauri huo kwenye kwapa ana chuma Ak 47 kifua kimejaa magazine.

Yaani[emoji28][emoji23]
 
Tofauti ya hizi Air Defence Systems ipo kwenye shooting range, wakati hizi shoulder carried air defence systems zina shooting range ya 3,000-4,500 M altitude, S-300 Air Defence System ina shooting range altitude of 12,000 M and above.

Hivyo kwa maana hiyo basi S-300 inafaa sana kukabiliana na ndege za kivita za Russia ambazo zinaruka kwenye altitude ya 10,000 M na zaidi. Hizo za kubeba kwenye mabega kama "Stinger" nk sana sana ni kwa chopa.

I think the main challenge facing the S-300 is that it's stationary and not mobile something that makes it vulnerable to attacks by the Russian ICBMs.
 
Mimi naona wakubali tu liwe jimbo la Urusi mambo yasiwe mengi.
 
poland ni member wa NATO ina maana kuna dalili kuwa urusi kufungua another front tena against NATO? mbn mambo yatakuwa complicated sana, sidhan km kuna nchi yeyote dunian iko interested na situation km hiyo ingawa inawezekana ikatokea
Russia is already overstretched, it cannot operate on two different front lines and if it tries, the result will be calamitous.
 
Hiyo namba 3 ya kurejesha lugha ya kirusi ni kwa yale majimbo mawili ya mashariki mwa Ukraine ya Donentsk na Luhanskh na sio Ukraine nzima.

Hilo la kupunguza jeshi sijaisikia kama wameliridhia ila wanasema makubaliano yoyote lazima yaridhiwe na wananchi kwa Referendum.
 
Sawasawa...yaani watoe za kweli watu waanze maandamano...
Kwenye vita hakuna taifa litakalo kubali kuweka takwimu sahihi ya vifo sahau iwe Urusi iwe Marekani iwe Uingeleza,hata Tanzania.
Ukraine ilitangaza kama siku 10 nyuma kwamba imepoteza wanajeshi 1300 lakini haziwezi kuwa takwimu sahihi.
 
Zelensky is a thug and a war criminal. Period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…