LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mpaka sasa vita ya uchumi na mahusiano mazuri kati ya Russia na wana wa dunia hii Russia anapoteza.

Kama jamii ya Russia haioni umuhimu wa hii vita ila Puttin kalazimisha basi lawama nyingi zitakuwa juu yake.
 
Emergency.....
Sio sawa na maisha ya kawaida mkuu, inawezekana kusafirisha ila inagharama.
Watakao pata hizo gharama ni raia wa kawaida wa Ulaya, asa watakuwa wapumbavu kukubali gharama zote hizo ili tu, Ukraine aingie NATO.
 
Russia amejidai Ni super power kumbe hakuna kitu
Mpaka Sasa Ukraine imemshinda naona Sasa nato wamemuona Kama karagosi Sasa wameamua kuingia Vita keep msaidia Ukraine na baadaye kumfuata Russia kwake ndyo mwisho wa Russia
 
Mpaka sasa vita ya uchumi na mahusiano mazuri kati ya Russia na wana wa dunia hii Russia anapoteza.

Kama jamii ya Russia haioni umuhimu wa hii vita ila Puttin kalazimisha basi lawama nyingi zitakuwa juu yake.
Hata mchina rafikiye wa kufa na kuzikana ashaanza kumgeuka benki zake mbili kubwa zimeaanza i.e.Chinese banks limit financing for Russian purchases. . Putin hata akishinda ila kiuchumi atakuwa kapoteza vingi na hapo ndipo ninapoona kweli US baba lao kapigana vita haramu nyingi tu but si urusi wala china waliomwekea vikwazo vya biashara maana walijua wanaihitaji sana US na rafikize aisee kweli bosi anuniwi!
 
Hitler alivyo pigana na Russia akawakuta Russia wamejiandaa .Mpaka Sasa Hivi Russia wanahangaika kuchukia ukraine. It means Russian wali underestimate ukraine .Russians wao ndio wakuamua kumtoa madarakani na jeshi kuchukua nchi that will be nice
Kwani Mkuu mlikaa kikao na Urusi mkakubaliana by 3 days muwe mmchukua Ukraine yote au Putin aliwahi kueleza kwamba ndani ya siku 3 atakuwa ameimaliza Ukraine???,Au wewe utalaamu wako wa mambo ya vita yanataka within 3 days uwe tayari umeteka Nchi nzima??.
 
Wanaume wa Dar wanakimbia kimbia hovyo hata panya Road kwao hawajiwezi.
Namuunga mkono Hilda, wanaume wa bongo leo tungejisiliba mahipsi ya matambara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…