LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hilda Newton kama ni wewe kweli watake radhi wanaume na jamii nzima ya Watanzania

Kama mwanasiasa unayejinasibu umetukosea sana. Kwetu tulio waumini wa imani yake mwanaume ni heshma. Ukimdharau mwanaume umemdharau aliyempa mamlaka

Hilda unaweza kuwa sahihi kwa wanaume unaowajua wewe ila wengine ambao tuna wanaume wa shoka viongozi wetu, watoto wetu wa kiume, kaka zetu, waume zetu. baba zetu wakituhadithia walivyoenda vitani uganda umetukosea mno kuipigania nchi umetukosea sana

View attachment 2132164

MUNGU Ibariki Tanzania

Tofautisha wanaume na wanaume wa bongo
 
Yeye alimanisha wanaume wa darisalama siyo wa mikoani buana et mara mura
 
Mama D dunia inahangaika kumsogeza mwanamke katika level ya 50/ 50 kwenye decision making ila uko bize kupraise mfumo dume.

Wewe ni mama kweli?
 
Kwa hiyo anavyokaa gerezani anapata maslahi gani

Ccm wanaunganaje nae gerezani wakati wapo busy wanakula kwa urefu wa kamba zao

Anasuka mipango kama ya Nelson Mandela
Au anakosea!?
 
Wapi alipoweka hilo neno "baadhi"?
Umesoma ulichopost?
Screenshot_20220226-201347.jpg
 
Back
Top Bottom