LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hilda Newton kama ni wewe kweli watake radhi wanaume na jamii nzima ya Watanzania

Kama mwanasiasa unayejinasibu umetukosea sana. Kwetu tulio waumini wa imani yake mwanaume ni heshma. Ukimdharau mwanaume umemdharau aliyempa mamlaka

Hilda unaweza kuwa sahihi kwa wanaume unaowajua wewe ila wengine ambao tuna wanaume wa shoka viongozi wetu, watoto wetu wa kiume, kaka zetu, waume zetu. baba zetu wakituhadithia walivyoenda vitani uganda umetukosea mno kuipigania nchi umetukosea sana

View attachment 2132164

MUNGU Ibariki Tanzania
Yupo sahihi, tu waoga!
 
Kwahiyo unataka tumvishe kaka freeman wig na dera, na mnyika na baba chanja wangu. Hii kauli kutolewa na mwanasiasa sio kabisa. Hili ni tusi

Kwako wewe sio kwa wanaume wote
Kuna mwanaume wa ccm anaweza kukubali kupitia mateso ambayo ameshapitia Freeman mpaka sasa? Nape alipiga mahoti kwa mkwara mdogo tu

Freeman amefilisiwa, ametukanwa, amefungwa, amepokonywa kila kitu lakini bado amesimama kwenye ukweli

Wanaume wa ccm wao wanaabudu tu, kila uoande inapoelekea bendera nao wamo, vita wataiwezea wapi, bungeni penyewe wameingizwa kwa kutumia polisi

Wewe mama ni muumini wa Musa mwacha hebu jishuhudie ndani ya moyo wako atlist once usimame kwenye ukweli
 
Russia amejidai Ni super power kumbe hakuna kitu
Mpaka Sasa Ukraine imemshinda naona Sasa nato wamemuona Kama karagosi Sasa wameamua kuingia Vita keep msaidia Ukraine na baadaye kumfuata Russia kwake ndyo mwisho wa Russia
Ume-argue kitoto sana. Kama sio mtoto basi una akili za kitoto sana.

Nani alikwambia kuwa, ukiwa Super Power basi ukiingia vitani unashinda kwa dakika moja vita hiyo?
 
Huu ukweli unaweza kuwa unawahusu bavicha kwa mkataba wao na mbowe na sio wanaume wote wa Tanzania
Kuna wakati wabunge wasiopita JKT walitakiwa kwenda kwa mafunzo ya wiki sita.

Nakumbuka alienda Mwigullu Nchemba, Zitto Kabwe, Halima Mdee, Bulaya na Nassari kama sijakosea, the rest walinyuti hadi bunge linavunjwa.

Nimekupa mfano tu!
 
Hilda Newton kama ni wewe kweli watake radhi wanaume na jamii nzima ya Watanzania

Kama mwanasiasa unayejinasibu umetukosea sana. Kwetu tulio waumini wa imani yake mwanaume ni heshma. Ukimdharau mwanaume umemdharau aliyempa mamlaka

Hilda unaweza kuwa sahihi kwa wanaume unaowajua wewe ila wengine ambao tuna wanaume wa shoka viongozi wetu, watoto wetu wa kiume, kaka zetu, waume zetu. baba zetu wakituhadithia walivyoenda vitani uganda umetukosea mno kuipigania nchi umetukosea sana

View attachment 2132164

MUNGU Ibariki Tanzania
Bavicha hakuna mwenye akili

USSR
 
Hata mchina rafikiye wa kufa na kuzikana ashaanza kumgeuka benki zake mbili kubwa zimeaanza i.e.Chinese banks limit financing for Russian purchases. . Putin hata akishinda ila kiuchumi atakuwa kapoteza vingi na hapo ndipo ninapoona kweli US baba lao kapigana vita haramu nyingi tu but si urusi wala china waliomwekea vikwazo vya biashara maana walijua wanaihitaji sana US na rafikize aisee kweli bosi anuniwi!
Inabidi awe amejipanga haswa maana kuna uwezekano vita halisi ikaanza baada ya vita ya mabunduki na mabomu kuisha.
 
Kuna mwanaume wa ccm anaweza kukubali kupitia mateso ambayo ameshapitia Freeman mpaka sasa? Nape alipiga mahoti kwa mkwara mdogo tu

Freeman amefilisiwa, ametukanwa, amefungwa, amepokonywa kila kitu lakini bado amesimama kwenye ukweli

Wanaume wa ccm wao wanaabudu tu, kila uoande inapoelekea bendera nao wamo, vita wataiwezea wapi, bungeni penyewe wameingizwa kwa kutumia polisi

Wewe mama ni muumini wa Musa mwacha hebu jishuhudie ndani ya moyo wako atlist once usimame kwenye ukweli

Kila anayetetea maslahi yake atafanya kama mbowe anavyofanya

Au unataka kutuambia anapitia hayo pasi maslahi au ulitaka ccm waungane nae huko gerezani
 
Usicho kielewa!
mrusi alitaka ku-balance ile vita kwa kuwauzia Uganda ndege vita na kutuuzia sisi unti aircraft misile!
Tuliishiwa heat seaking misile!; ndege za Uganda zikawa zinatamba hadi mchana Mwanza!
Kumwendea Mrusi atupe hizo silaha akadai hard cash au tuingie mikataba migumu!
Kukosa Hekima ya Nyerere kuiomba Algeria na Msumbiji na wakatupa Steller misile!; ile vita ingekuwa ya muda mrefu na kutuweka kwenye hali mbaya!
Nyerere amesababishi hii Nchi hasara sana,alipaswa afungwe kabisa gerezani.Kitendo alichokifanya cha kumuhifadhi rafiki take Obote huku akijua mpinzani wa Obote-Idd amin yupo pia na mdomo ilikuwa ni upimbavu.
Hata wewe ungekuwa IDD amin lazima unge react kwa kitendo alichokifanya Nyerere.
 
Back
Top Bottom