LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Huwezi sema atapoteza yeye lengo lake ni kuprotect mipaka yake, na sio uchumi wake.atapoteza kama lengo lake lilikuwa Ku protect uchumi wake basi asinge ivamia Ukraine.
 
Kwahiyo unataka tumvishe kaka freeman wig na dera, na mnyika na baba chanja wangu. Hii kauli kutolewa na mwanasiasa sio kabisa. Hili ni tusi

Kwako wewe sio kwa wanaume wote

freeman na mnyika kwako wewe ndio wanaume pekee safi sana, kwaiyo wakina nape makonda makamba, lizi unawaweka kundi gani bibie?
 
Huu mzozo ukileta ushabiki unalishwa taarifa nyingi zisizo na uhalisia.

Kwa sasa naona kila mtu mwandishi wa habari kwenye hii vita.
 
Putin will win the battle but he will loose the war at the end. He will cripple Ukraine but he will never rule it. People are agitating, taking matter on their own hand. The start of his demise and that of his empire start in winning Kiev. Ukraine has such a wonderful President. In the face of danger against him, he has decided to stay and fight unlike the Afghanistan president. Also German and Nato will pay for being a bystander. It is such hopeless that they dont want to ban Russia from SWITF transactions medium. He need to feel the full blunt of his decision to sign the decree to invade. I pray that Kiev hold on for a month just enough for the Russian populace to feel the blunt of the sanctions and start asking question. It is easy to contain a well fed dog than an hangry one. Russians need to feel the pinch of the war from their own pocket.
 
Kuna wakati wabunge wasiopita JKT walitakiwa kwenda kwa mafunzo ya wiki sita.

Nakumbuka alienda Mwigullu Nchemba, Halima Mdee, Bulaya na Nassari kama sijakosea, the rest walinyuti hadi bunge linavunjwa.

Nimekupa mfano tu!

Halafu wakiteuliwa na kuapishwa watu wanalalamika
Kwanini watu sio waelewa!?
 
Inabidi awe amejipanga haswa maana kuna uwezekano vita halisi ikaanza baada ya vita ya mabunduki na mabomu kuisha.
Hata kama kajipanga uharibifu wa kiuchumi hawezi epuka na shida ya vikwazo hivi vitapelekea maisha ya warusi kuzidi kuwa magumu na automatically italeta utawala wake kuchukiwa na watu sasa aombe wanaomchukia wawe kidogo wakiwa wengi na kwa propaganda nzito za us na nduguze ndo mwanzo wa maandamano na yatampa shida. Shida nyingine ni hao wafanyabishara wakubwa na familia zao wanapozidi kuona wanapoteza mali zao kwa ajili ya mtu mmoja je wataendelea kusimama naye kwa 100% au mahaba kwa putin yataanza kupoa!!!!
 
Kwahiyo unataka tumvishe kaka freeman wig na dera, na mnyika na baba chanja wangu. Hii kauli kutolewa na mwanasiasa sio kabisa. Hili ni tusi

Kwako wewe sio kwa wanaume wote
Kama mtu kudai katiba mpya kidogo tu, wapuuzi wamekimbilia kumuita gaidi. Unadhani wanaweza kua na ujasiri wa kwenda vitani?
 
Huwezi sema atapoteza yeye lengo lake ni kuprotect mipaka yake, na sio uchumi wake.atapoteza kama lengo lake lilikuwa Ku protect uchumi wake basi asinge ivamia Ukraine.
Atapoteza kama vita ya uchumi juu yake itakuwa kubwa kuliko alivyotarajia.

Wakati mwingine mahala fulani mamno huenda tofauti na matarajio na unajikuta umepoteza.
 
(Hebu pitia humu kidogo)
 
Naambiwa aliomba radhi kwa wafanyabiashara wake. Sijaconfirm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…