LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Sio muda mrefu miaka kadhaa iliyopita mwanzoni mwa 2000, bongo walijaa makahaba wa kirussia kutokana na hali mgumu ya maisha Russia.
Baadae hali ikawa shwari Russia ilivyoaanza kuuza gesi na mafuta na tukaanza kuona watalii wa Russia badala makahaba.
Sasa watarudi tena ndio ujue mabeberu wameikamata dunia.....
 
Mwulize huyo ndezi US alipigana miaka mingap Afghanstan
 
Kama mtu kudai katiba mpya kidogo tu, wapuuzi wamekimbilia kumuita gaidi. Unadhani wanaweza kua na ujasiri wa kwenda vitani?

Kwahiyo sababu yeye yuko gerezani ndio wanaume wote wavae mawig na madera!?
 
Hehee
 
Germany naona kama yupo kwenye Process...

Berlin discussing export of RPGs to Ukraine via third country

Germany’s government is in talks over the approval of the delivery of 400 rocket-propelled grenades to Ukraine by a third country but no decision has been taken, the country’s defence ministry says.

If carried through, the move would signal a major policy shift after Berlin faced criticism for refusing to send weapons to Kyiv, unlike other Western allies.

Source AJ English
 
China anaangalia namna jamii ya kimataifa itakavyolichukulia hili jambo. Xi Jinping ana hamu ya kuichukua Taiwan anayoiona kama part ya China. Hata hivyo anaogopa mataifa jirani yataingilia kuipinga. Hivyo hayupo tayari kumsapoti Mrusi asilimia zote maana atamuondolea credibility ikifika atakapotaka kuichukua Taiwan. Halafu bado anaviogopa vikwazo vya wamarekani maana wana biashara zinazofikia trillion moja usd kwa mwaka. Uchumi wa China unaitegemea dunia yenye nembo za kimarekani kama SWIFT, masoko ya mitaji na wanunuzi wa kimarekani na technologia ya kimarekani. Kwenye semiconductors marekani bado ana hodhi technologia ya kuzitengeneza na akizizuia viwanda vingi vya China vitalala maana bado wanategemea technologia ya marekani na Ulaya kuendesha biashara yao
 
Tusidanganyane Russia kashindwa ingia Kyiv
View attachment 2132163
Mji Mkuu wa Ukraine wamechakazwa hasa, labda watumie drone
Huoni hizo maiti za chini zinazoungua zina bendera za Ukraine za manjano?

Unahitaji nikuoneshe? Na lugha wanayozungumza hao askari ni kirusi.

Ukraine ndiyo wamechomeka hapo


Hao waliyouliwa ni wanajeshi wa Ukraine. Kwanza upande wa kushoto kwenye kifua cha maiti inayopekuliwa ni bendera ya Ukraine.

Pili, kwenye hii vita wanajeshi wa Russia wamefunga kitambaa cheupe kwenye mikono yao. Kama huyo jamaa anayeipekua hiyo maiti. Ukraine wamejifunga kitambaa chekundu kama hiyo maiti ya chini inayopekuliwa.

Hao waliyochapika ni Ukraine.

Upande wa kushoto begani mwa mwanajeshi aliyeuliwa na kupekuliwa umeiona manjano ya bendera ya Ukraine? Na amefunga kitambaa chekundu?

Hivyo mkiambia Ukraine wanapigika na kuchomeka kuungua muelewe. Na Zelensky anavyoomba misaada ana maanisha kweli wanajeshi wake wanateketea.
 
Huyu bint naut zimekatikaga long tu naona baada ya kukosa dili la kuwa covid 19 amekuwa mropokaji

Wanamdanganya kumsupport kwa kauli kama hizi akiwa mwanasiasa anayeendelea na siasa
 
Amekosea wapi?
Hasa wanaume wa ccm.
 
Mimi na kubali huwezi kulinganisha uchumi wa N Korea na Japan au S. Korea lkn kusema TZ wamewazidi hiyo hapana nakataa kabisa! Nakubaliana na wewe kwamba wasingekuwa na Sera walizonazo sasa wangekuja mbali Sana ebu fuatilia documentary neutral za maisha yao ndio utakapoona yanayosemwa dhidi yao mengi ni propaganda yaani hawako vibaya kulinganisha na nchi zetu nyingi za kiafrika. Nchi inayoweza kutengeneza nuke na kuzi maintains, pia inaweza kuunda silaha zake yenyewe sio Kununua pia ku maintains jeshi kubwa zaidi haiwezi kuwa na uchumi wa hovyo kama tunavyoaminishwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…