LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Yuko sahihi .
Hawa kwetu wakiona hata defender ni vigumu kuwaona mitaani .
 
Mara baada ya watu kuanza kuishitukia janga la kimchongo la UVIKO-19 na kuanza maandamano duniani, imebidi itafutwe njia ya kuondoa fikra za watu kwenye reli.

Mataifa yameshapiga hela, watu wamechomwa chanjo ambayo hata haiwazuii kupata wala kuisambaza korona lakini inaitwa chanjo.

Sasa hivi hakuna hata mmoja anayezungumzia tishio tena, WHO haina muda tena wa kutoa miongozo, picha za chanjo kutumwa kutoka kwa mataifa’wahisani’ na kupokelewa na watembeza vibakuli hazina maana tena.

Dunia haiko fair kabisa aisee. Yaani ndo hivyo tumechezewa kindezi tu!

Kila mtu sasa hivi ni Ukraine tukitoka hapo utashangaa mataifa mengi yamelegeza kama siyo kufuta kabisa vikwazo dhidi ya UVIKO-19.

Fear is the best tool and weapon through which you can control the whole world.

Ukishawajaza watu hofu, ni rahisi sana kuwatawala!
 
Hizi mbuzi nyingine tunazipuuzia tu, ndio akili yake ilipoishia.

Wanaume wenzangu popote mnapokamata wandani wenu, wapelekeeni moto effectively, hizi kauli ni dhahiri huyu mlima Kilimanjaro anasikia kwa jirani, nina wasiwasi hata kitonga hajakwea.
 
Hii ni vita ya kikabila. Wa-ukraine ni kabila tofauti na Warusi. Wa-ukraine kama kabila ni taifa pia, japo kuna Warusi asilimia chache ambao ndiyo chanzo cha vita. Watanzania kama taifa ni wa makabila tofauti tofauti, kwahiyo umoja wa kitaifa siyo wa nguvu kiasi hicho kama Tanzania ingekuwa na asilimia kubwa ya watu wa kabila moja.
 
Kwani Urusi anatengeneza Silaha kwa ajili USA tu? Swali la kujiuliza Urusi ana muweza USA kijeshi? Hivi mnakumbuka USAR ilikuwa na nguvu zaidi duniani lkn unakumbuka nini kiliitokea mpaka ikasambaratika? Nani alihusika na kusambaratika kwa USSR? US walihusika kwa asimia 💯. US hatujawahi kusambaratika tangu miaka hiyo, unafikiri nguvu walizonazo Hadi kwa sasa ikoje? Tukubali Marekani Wananguvu kubwa Kijeshi, kiuchumi na kiumoja wa taifa. Ni taifa lenye uzoefu mkubwa kwy mambo ya kivita kuliko taifa lolote duniani? Nitaifa lenye zaida miaka 200 katika miaka hiyo ni miaka 20 pekee tu ndio wajapigana lkn zaidi ya miaka 180 wanashiriki kwy vita mbalimbali duniani. Urusi ni taifa lenye mikwara mingi lkn hakuna kitu. US ndio taifa pekee duniani ambalo limetumia nuclear weapons live Nagasaki na Yeloshima miaka hiyo ya 1945 ambapo hakuna Nchi nyingine waliokuwa na Technojia hiyo, jiulize Hadi sasa wapo Advanced kiasi gani?
 
Tena kwa wingi wa kura CCM ilizopata Dar, hii mianamume mioga yote ni mataga.
Au unamuinaje katibu mwenezi wa kijani? Mtoto laini, Mtoto cake
Jiji hili 2015-2020 lilikuwa CHINI ya bavicha na kina mwita na kubenea hakula lolote walijaa wapuuzi tu

USSR
 
Hii vita imemvua nguo Putin na kuidhalilisha Urusi....

Hii Vita itaiachia Urusi historia mbaya.....Putin amechafua jina la nchi yake.
 
Urusi harudishagi maiti za Askali wake. Maiti za Wanajeshi wa Urusi zimezagaa Kiev mpaka Rais wa Ukraine amewaomba shirika la Msalaba Mwekundu kwenda Kuziondoa.
 
Sababu mnapata mawigi na madera

Tunapata mawigi na madera vipi wakati tunasimama na Hilda kuwananga wanaume wa bongo?

Kiswahili kimekuwia kigumu hivyo kuelewa?

Msema kweli ni mpeni wa Mungu - huu uzi bidada umechemka chemu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…