LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Hilda Newton kama ni wewe kweli watake radhi wanaume na jamii nzima ya Watanzania

Kama mwanasiasa unayejinasibu umetukosea sana. Kwetu tulio waumini wa imani yake mwanaume ni heshma. Ukimdharau mwanaume umemdharau aliyempa mamlaka

Hilda unaweza kuwa sahihi kwa wanaume unaowajua wewe ila wengine ambao tuna wanaume wa shoka viongozi wetu, watoto wetu wa kiume, kaka zetu, waume zetu. baba zetu wakituhadithia walivyoenda vitani uganda umetukosea mno kuipigania nchi umetukosea sana

View attachment 2132164


MUNGU Ibariki Tanzania
Yuko sahihi .
Hawa kwetu wakiona hata defender ni vigumu kuwaona mitaani .
 
Mara baada ya watu kuanza kuishitukia janga la kimchongo la UVIKO-19 na kuanza maandamano duniani, imebidi itafutwe njia ya kuondoa fikra za watu kwenye reli.

Mataifa yameshapiga hela, watu wamechomwa chanjo ambayo hata haiwazuii kupata wala kuisambaza korona lakini inaitwa chanjo.

Sasa hivi hakuna hata mmoja anayezungumzia tishio tena, WHO haina muda tena wa kutoa miongozo, picha za chanjo kutumwa kutoka kwa mataifa’wahisani’ na kupokelewa na watembeza vibakuli hazina maana tena.

Dunia haiko fair kabisa aisee. Yaani ndo hivyo tumechezewa kindezi tu!

Kila mtu sasa hivi ni Ukraine tukitoka hapo utashangaa mataifa mengi yamelegeza kama siyo kufuta kabisa vikwazo dhidi ya UVIKO-19.

Fear is the best tool and weapon through which you can control the whole world.

Ukishawajaza watu hofu, ni rahisi sana kuwatawala!
 
Screenshot_20220226-202142.png
 
Hizi mbuzi nyingine tunazipuuzia tu, ndio akili yake ilipoishia.

Wanaume wenzangu popote mnapokamata wandani wenu, wapelekeeni moto effectively, hizi kauli ni dhahiri huyu mlima Kilimanjaro anasikia kwa jirani, nina wasiwasi hata kitonga hajakwea.
 
Hii ni vita ya kikabila. Wa-ukraine ni kabila tofauti na Warusi. Wa-ukraine kama kabila ni taifa pia, japo kuna Warusi asilimia chache ambao ndiyo chanzo cha vita. Watanzania kama taifa ni wa makabila tofauti tofauti, kwahiyo umoja wa kitaifa siyo wa nguvu kiasi hicho kama Tanzania ingekuwa na asilimia kubwa ya watu wa kabila moja.
 
"HICHO UNACHOSEMA SIO SAHIHI"

Ni Wapi imeandikwa kwamba silaha za nyuklia zipo kwa ajili ya kutishia (deterrence)??--- na hata kama zipo kwa ajili ya kutishana je huko kutishiana kutadumu kwa muda gani??, ---je hao viongozi wanaotishana watadumu madarakani milele ili waendelee kutishana na hizo nyuklia bombs??!-au kuna mikataba wameandikiana kwamba silaha hizo ni kwa ajili ya kutishana tu au hayo ni mawazo yako unayotaka tuamini hivyo??!-- Muamerika alipopiga atomic bomb/nuclear bomb kule Japan alikuwa kamtishia??!!, angalia usitake kutuaminisha hizo conspiracy theories zako hapa.

Russia wanajua kwamba wakati wowote USA anaweza kutumia Nuclear bomb dhidi yake kama jinsi alivyotumia huko Japan au jinsi alivyotupa mabomu ya sumu huko Vietnam kwa jinsi hiyo Russia amedevelop advance shielding systems (S 400 nk,) ili kujikinga na mashambulizi ya silaha za angani ikiwa ni pamoja na makombora ya nuclear, isitoshe ame develop secret weapons zenye speed more than 5 mach (hypersonic speed) nk, hii yote ni kupambana na USA kama vita vya nuclear vitatokea.

Sasa usitake kutuaminisha kwamba silaha za nyuklia walizolundika ni kwa ajili ya kutishana tu, je wewe umeingia ndani ya vichwa vyao na kujua hilo au wewe umeingia ndani ya vichwa za viongozi wajao wa nchi hizo kujua kwamba katika zama zao hizo silaha za nyuklia zitakuwa ni kwa ajili ya kutishiana nyau tu ??!!🤣🤣

Think broadly na acha conspiracy theories.
Kwani Urusi anatengeneza Silaha kwa ajili USA tu? Swali la kujiuliza Urusi ana muweza USA kijeshi? Hivi mnakumbuka USAR ilikuwa na nguvu zaidi duniani lkn unakumbuka nini kiliitokea mpaka ikasambaratika? Nani alihusika na kusambaratika kwa USSR? US walihusika kwa asimia 💯. US hatujawahi kusambaratika tangu miaka hiyo, unafikiri nguvu walizonazo Hadi kwa sasa ikoje? Tukubali Marekani Wananguvu kubwa Kijeshi, kiuchumi na kiumoja wa taifa. Ni taifa lenye uzoefu mkubwa kwy mambo ya kivita kuliko taifa lolote duniani? Nitaifa lenye zaida miaka 200 katika miaka hiyo ni miaka 20 pekee tu ndio wajapigana lkn zaidi ya miaka 180 wanashiriki kwy vita mbalimbali duniani. Urusi ni taifa lenye mikwara mingi lkn hakuna kitu. US ndio taifa pekee duniani ambalo limetumia nuclear weapons live Nagasaki na Yeloshima miaka hiyo ya 1945 ambapo hakuna Nchi nyingine waliokuwa na Technojia hiyo, jiulize Hadi sasa wapo Advanced kiasi gani?
 
Tena kwa wingi wa kura CCM ilizopata Dar, hii mianamume mioga yote ni mataga.
Au unamuinaje katibu mwenezi wa kijani? Mtoto laini, Mtoto cake
Jiji hili 2015-2020 lilikuwa CHINI ya bavicha na kina mwita na kubenea hakula lolote walijaa wapuuzi tu

USSR
 
Hii vita imemvua nguo Putin na kuidhalilisha Urusi....

Hii Vita itaiachia Urusi historia mbaya.....Putin amechafua jina la nchi yake.
 
Hivi vita kwa sasa bado ila pale warusi watakapoingia kwenye jiji kama Kiev na wanajeshi wa Ukraine kuvua magwanda na kuvaa kiraia ndio warusi wataimba kikwao.

Kule nyumbani Russia wananchi wataanzisha maandamano nchi nzima kudai askari wao warudi nyumbani baada ya kuanza kuona mifuko ya plastiki zenye maiti za wanajeshi wao zikirejeshwa nyumbani.

Huo muda unakuja na hauko mbali na tena itakuwa ni mbaya kuliko ile ya wamarekani kule Iraq.

My Take: Inaonekana huu ndio mwisho wa utawala wa mbabe Putin na atakuwa ni Hitler mwingine sidhani kama mwaka 2023 Russia itakuwa tena na Putin kama rais wao.

Ninachoona, baada ya Putin kuondoka "Post Putin Russia", nchi hiyo itabadilika sana na itakuwa kama Japan au Ujerumani kwani wataachana kabisa na mambo ya vita "Belligerency" na watajikita zaidi kwenye mambo ya maendeleo ambapo baada ya miongo kadhaa watakuja kuwa na uchumi wa pili kwa ukubwa duniani.
Urusi harudishagi maiti za Askali wake. Maiti za Wanajeshi wa Urusi zimezagaa Kiev mpaka Rais wa Ukraine amewaomba shirika la Msalaba Mwekundu kwenda Kuziondoa.
 
Sababu mnapata mawigi na madera

Tunapata mawigi na madera vipi wakati tunasimama na Hilda kuwananga wanaume wa bongo?

Kiswahili kimekuwia kigumu hivyo kuelewa?

Msema kweli ni mpeni wa Mungu - huu uzi bidada umechemka chemu!
 
Back
Top Bottom