Huoni hizo maiti za chini zinazoungua zina bendera za Ukraine za manjano?
Unahitaji nikuoneshe? Na lugha wanayozungumza hao askari ni kirusi.
Ukraine ndiyo wamechomeka hapo
View attachment 2132199
Hao waliyouliwa ni wanajeshi wa Ukraine. Kwanza upande wa kushoto kwenye kifua cha maiti inayopekuliwa ni bendera ya Ukraine.
Pili, kwenye hii vita wanajeshi wa Russia wamefunga kitambaa cheupe kwenye mikono yao. Kama huyo jamaa anayeipekua hiyo maiti. Ukraine wamejifunga kitambaa chekundu kama hiyo maiti ya chini inayopekuliwa.
Hao waliyochapika ni Ukraine.
View attachment 2132208
Upande wa kushoto begani mwa mwanajeshi aliyeuliwa na kupekuliwa umeiona manjano ya bendera ya Ukraine? Na amefunga kitambaa chekundu?
Hivyo mkiambia Ukraine wanapigika na kuchomeka kuungua muelewe. Na Zelensky anavyoomba misaada ana maanisha kweli wanajeshi wake wanateketea.