LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kwani Urusi anatengeneza Silaha kwa ajili USA tu? Swali la kujiuliza Urusi ana muweza USA kijeshi? Hivi mnakumbuka USAR ilikuwa na nguvu zaidi duniani lkn unakumbuka nini kiliitokea mpaka ikasambaratika? Nani alihusika na kusambaratika kwa USSR? US walihusika kwa asimia [emoji817]. US hatujawahi kusambaratika tangu miaka hiyo, unafikiri nguvu walizonazo Hadi kwa sasa ikoje? Tukubali Marekani Wananguvu kubwa Kijeshi, kiuchumi na kiumoja wa taifa. Ni taifa lenye uzoefu mkubwa kwy mambo ya kivita kuliko taifa lolote duniani? Nitaifa lenye zaida miaka 200 katika miaka hiyo ni miaka 20 pekee tu ndio wajapigana lkn zaidi ya miaka 180 wanashiriki kwy vita mbalimbali duniani. Urusi ni taifa lenye mikwara mingi lkn hakuna kitu. US ndio taifa pekee duniani ambalo limetumia nuclear weapons live Nagasaki na Yeloshima miaka hiyo ya 1945 ambapo hakuna Nchi nyingine waliokuwa na Technojia hiyo, jiulize Hadi sasa wapo Advanced kiasi gani?
Kwenye nuclear urusi ni no 1
 
Kwenye historia yooote ya URUSI hakuna vita wamewahi shindwa? unazungumzi toka mwaka gani mpaka mwaka gani kwa mfano? kwa mfano hii vita inaitwa "first chechen war" alishinda au alishindwa? na hii "soviet-afghan war" urusi alishindwa au alishinda? na hii spanish civil war urusi alishindwa au alishinda?
Kuna kipi kinachukuonyesha kwamba alishinda Afghanistan.
 
Huoni hizo maiti za chini zinazoungua zina bendera za Ukraine za manjano?

Unahitaji nikuoneshe? Na lugha wanayozungumza hao askari ni kirusi.

Ukraine ndiyo wamechomeka hapo

View attachment 2132199
Hao waliyouliwa ni wanajeshi wa Ukraine. Kwanza upande wa kushoto kwenye kifua cha maiti inayopekuliwa ni bendera ya Ukraine.

Pili, kwenye hii vita wanajeshi wa Russia wamefunga kitambaa cheupe kwenye mikono yao. Kama huyo jamaa anayeipekua hiyo maiti. Ukraine wamejifunga kitambaa chekundu kama hiyo maiti ya chini inayopekuliwa.

Hao waliyochapika ni Ukraine.
View attachment 2132208
Upande wa kushoto begani mwa mwanajeshi aliyeuliwa na kupekuliwa umeiona manjano ya bendera ya Ukraine? Na amefunga kitambaa chekundu?

Hivyo mkiambia Ukraine wanapigika na kuchomeka kuungua muelewe. Na Zelensky anavyoomba misaada ana maanisha kweli wanajeshi wake wanateketea.
Eukraine mwenyewe haiwezi Urusi hilo lipo wazi. Ndio maana anahitaji dunia imsaidie, ndio maana raia wake wanaume 18-60 wanatakiwa wasiondoke wapigane.

Asiposaidiwa atapigwa kila mtu anajua hilo. Puttin anaua ndugu zake walio dhaifu kulinganisha na uwezo wake kivita.
 
Huoni hizo maiti za chini zinazoungua zina bendera za Ukraine za manjano?

Unahitaji nikuoneshe? Na lugha wanayozungumza hao askari ni kirusi.

Ukraine ndiyo wamechomeka hapo

View attachment 2132199
Hao waliyouliwa ni wanajeshi wa Ukraine. Kwanza upande wa kushoto kwenye kifua ni bendera ya Ukraine.

Pili, kwenye hii vita wanajeshi wa Russia wamefunga kitambaa cheupe kwenye mikono yao. Kama huyo jamaa anayeipekua hiyo maiti. Ukraine wamejifunga kitambaa chekundu.

Hao waliyochapika ni Ukraine.
View attachment 2132208
Upande wa kushoto begani mwa mwanajeshi aliyeuliwa umeiona manjano ya bendera ya Ukraine? Na amefunga kitambaa chekundu?

Hivyo mkiambia Ukraine wanapigika na kuchomeka kuungua muelewe. Na Zelensky anavyoomba misaada ana maanisha kweli wanajeshi wake wanateketea.




Usiwalishe watu matango pori...
Aliyekufa amevaa chekundu na huo mkono unaosachi umevaa nyekundu...
1645897048090.png

Hao waliochomwa ni wanajeshi wa russia, je ni kivip? fuatilia kinachoendelea...........


 
Tunapata mawigi na madera vipi wakati tunasimama na Hilda kuwananga wanaume wa bongo?

Kiswahili kimekuwia kigumu hivyo kuelewa?

Msema kweli ni mpeni wa Mungu - huu uzi bidada umechemka chemu!

Yaani mnapambania kumvisha Sugu wigi na dera🤣🤣🤣
Nyie hatari sana

Mtaji wa mwanasiasa ni watu na working capital yake ni maneno yaani kauli zake

Kwa kauli kama hizi za kuwaambia baba zenu wavae madera vijana mnatakiwa kupelekwa darasa la siasa
 
Germany naona kama yupo kwenye Process...

Berlin discussing export of RPGs to Ukraine via third country

Germany’s government is in talks over the approval of the delivery of 400 rocket-propelled grenades to Ukraine by a third country but no decision has been taken, the country’s defence ministry says.

If carried through, the move would signal a major policy shift after Berlin faced criticism for refusing to send weapons to Kyiv, unlike other Western allies.

Source AJ English
Still we shall miss Angela Merkel. Olaf is no match to that woman. At the moment Germany risk being a pariah state because it has been refusing to put sanctions on energy sector because one third of its energy it use is delivered from Russia. Also its car industry is so dependent on Russia raw materials and market s. This is something that Deutsche should have learn not to depend on one country for your major export or import. Putin prepared for this war since 2007. When he went after Georgia he was testing his army redness and he went further and annexed Crimea Europe valued its Business instead of refusing. Merkel with her flaws she had nerves to tell any man no. This coward of a chancellor..no!. Also USA should do more to counter that man. He will now go after Finns, Swedes, Polish, Hungary, Moldova and Romania. All use to be a sphere of influence within the USSR.
Olaf needed to send those weapons in January when things were escalating but he vetoed it when it was brought up in Brussels. He is relenting now because the pressure is intense at the moment.
 
Imeidhalilisha kivipi Kwanza watashinda.
Watashinda kwa gharama kubwa ya vifaa, uhai wa askari wait na vikwazo vikali vya kiuchumi.

Huenda hii Vita ikawa mwanzo wa anguko la Putin kwenye siasa za Urusi.......ikionekana hii Vita inachukua muda mrefu na gharama kubwa huku vikwazo vya kiuchumi zikiilenga nchi huenda raia wa Urusi wakaingia mitaani kumpinga dictator.
 
Hilda Newton kama ni wewe kweli watake radhi wanaume na jamii nzima ya Watanzania

Kama mwanasiasa unayejinasibu umetukosea sana. Kwetu tulio waumini wa imani yake mwanaume ni heshma. Ukimdharau mwanaume umemdharau aliyempa mamlaka

Hilda unaweza kuwa sahihi kwa wanaume unaowajua wewe ila wengine ambao tuna wanaume wa shoka viongozi wetu, watoto wetu wa kiume, kaka zetu, waume zetu. baba zetu wakituhadithia walivyoenda vitani uganda umetukosea mno kuipigania nchi umetukosea sana

View attachment 2132164


MUNGU Ibariki Tanzania
Kakosea wapi ?
 
Hii Vita wameileta makusudi ili kunigombanisha na mke wangu mama mwanyilu, maana jana nilirudi usiku nikamwambia nilikuwa nasaidia Vita Ukraine yeye haelewi ameomba talaka..!
 
Sio muda mrefu miaka kadhaa iliyopita mwanzoni mwa 2000, bongo walijaa makahaba wa kirussia kutokana na hali mgumu ya maisha Russia.
Baadae hali ikawa shwari Russia ilivyoaanza kuuza gesi na mafuta na tukaanza kuona watalii wa Russia badala makahaba.
Sasa watarudi tena ndio ujue mabeberu wameikamata dunia.....
Mkuu hiyo russia interms of GDP kapitwa na South Korea na hata india. Russia wengi wanatamani watoke waende Western countires maana huko russia hamna maisha kama ya nchi za west. Watalii wa kirusi wakija bongo hata spending huwezi linganisha na za western countries. Compare hata waliosoma Russia na UK US na utaona tofauti ya kipato pindi wanapokuwa wametoka masomoni. Angalia hata wafanyabiashara wawili ngozi nyeusi waliokufa Mengi na Mufuruki walisoma Scotland na Germany sasa angalia product za Russia i.e. akina Dr Shika!!! waliosoma Russia wengi huwa wana frustation fulani hivi.
 
Hii Vita wameileta makusudi ili kunigombanisha na mke wangu mama mwanyilu, maana jana nilirudi usiku nikamwambia nilikuwa nasaidia Vita Ukraine yeye haelewi ameomba talaka..!
Mkuu kama unaijua njia ya kwenda ukraine nifahamishe nimechoka nchi ya wazurulaji




Ova.
 
Watashinda kwa gharama kubwa ya vifaa, uhai wa askari wait na vikwazo vikali vya kiuchumi.

Huenda hii Vita ikawa mwanzo wa anguko la Putin kwenye siasa za Urusi.......ikionekana hii Vita inachukua muda mrefu na gharama kubwa huku vikwazo vya kiuchumi zikiilenga nchi huenda raia wa Urusi wakaingia mitaani kumpinga dictator.
Sahau Hilo we unafikiri wenyewe kabla ya vita hawakupiga mahesabu?hao wanaplan zao.
 
Back
Top Bottom