Galip Veryl
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 2,147
- 13,463
Na hao ni XE huwa wana rate za ajab... Kwingineko uku iko 93Naona ruble inazidi kuwa strong against the US dollar, Jana ilikuwa 1$ = руб.101, leo naona [emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2166894
Acha uongo dogo,ndege za Israel zinashambulia Syria kutokea Lebanon haziingi anga ya Syria.Ndege za Israel zinaingia na kutoka Syria kama chooni. Zinapiga kambi za Iran Daily
Kwani hujui fani ya yule raisi, mbona baadae alionekana yupo Kyiv na wanajeshi wake bila shida yoyote?. Pia unasema mafanikio ya Urusi yanaelezwa kwa uchache, wewe upo eneo la tukio na unaona kinachoelezwa ni kidogo zaidi ya kinachotokea?Ukweli usemwe, ndani ya wiki 4 hizi kuchapo kimetembea, ni vile urusi hana media coverage kubwa kama west, Bbc, Cnn nk wanchukua sehemu ndogo ya ushindi wa ukraine, lakini wanaacha sehemu kubwa ya mafanikio ya urusi.
Ilifika wakati rais alilia hadharani na kusema "hii inaweza kua mara yangu ya mwisho kuniona" ahsante kwa nato kwa kuingiza mercenaries na silaha nyingi.
Pia pongezi kwa mbinu za kivita za Ukraine kujichanganya na raia, ndio maana wakapiga marufuku raia wote kuondoka, pia waliwatumia kama 'human shield'. Embu fikiria raia wangeondoka na wao kubaki peke yao wapambane
Nna uhakika 100% vita itaisha kwa makubaliano ya pande mbili. Baada ya vita kuisha watatuambia ukweli wa hasara pale Ukraine, tutaonyeshwa picha kamili.
NB dharau zitapungua, kuheshimiana kutarudi
Mambo yanaenda kasi sana... Russia sio mtu wa mchezo mchezo...Blue thief (s).
Japanese laws do not allow the confiscation of foreign exchange reserves of other countries held by the Bank of Japan. This also applies to the funds of the Central Bank of the Russian Federation, Finance Minister Shun'ichi Suzuki said in the Japanese Parliament.
However, Tokyo, as part of the "sanctions", previously suspended operations with the Central Bank of the Russian Federation, which in fact means a freeze of Russian reserves.
The assets of the Central Bank of the Russian Federation in Japanese yen are estimated at about $33 billion.
Maoni yangu ni kuwa Maslahi ya NATO ni kuidhoofisha Urusi. Ukraine anatumika tu na amejitahidi sana kuhold jambo ambalo NATO ni faida kwake.
Pia sikubaliani na Urusi kuivamia Ukraine kwa sababu ya NATO. Kwangu mm ilimpasa atumie diplomasia na ikishindikana atumie njia za kijasusi kubadili uongozi wa Ukraine.
Kumvamia Ukraine kunamfanya Puttin awe bully na apigane na vikwazo unnecessary. Pia ameweka Ulaya kwenye hatari ya Vita iwapo USA na NATO wataamua kuingilia anachofanya.
Tatizo lenu ni uelewa mdogo, Russia hajawahi kuwekewa vikwazo kama alivyowekewa sasa hata mwenyewe anakiri hilo sasa wewe wa Tandika kwa Mchambia Chupa ndio upinge.Unadhani Russia ni mgeni wa vikwazo? Wenzako wakipewa vikwazo they find a way out and come stronger than before, wewe na mimi tukipewa vikwazo tunabaki kulalama tu hadi tufe. Tangu 2008 alipoivamia Georgia, 2014 alipoivamia Crimea ni mwendo wa vikwazo tu, actually tangu kipindi cha Chechnya Russia anapigwa vikwazo tu...