kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,389
- 4,935
Sawa tufanye ni kweli? Europe Ameacha kuagiza gesi ya russia? Kama hajaacha anailipiaje ikiwa Swift system imefungwa.? Je china ameacha kununua gesi urusi? Anailipaje?Tatizo lenu ni uelewa mdogo, Russia hajawahi kuwekewa vikwazo kama alivyowekewa sasa hata mwenyewe anakiri hilo sasa wewe wa Tandika kwa Mchambia Chupa ndio upinge.
Russia hawezi kufanya import/export trade kwa sababu hayuko kwenye SWIFT meaning his foreign exchange reserve of USD 640 billion is stuck and its gold worth over USD 100 billion is frozen by the US, sijui kama unaelewa chochote hapo.
Asilimia 90 ya ndege za abiria za Russia haziwezi kuruka na shirika la ndege la Russia limekuwa Insolvent na Moscow Stock Exchange ndio hiyo inachechemea.
Mbona wana muandama kafanyaje?Kamanda wa Ukraine azov batalion huko mauripol
Ndio maana Russia kasema nchi zilizoiwekea sanctions,zitanunua gas Kwa rubles!Hii ni hatua Moja wapo ya kuruka kihunzi hicho!Tatizo lenu ni uelewa mdogo, Russia hajawahi kuwekewa vikwazo kama alivyowekewa sasa hata mwenyewe anakiri hilo sasa wewe wa Tandika kwa Mchambia Chupa ndio upinge.
Russia hawezi kufanya import/export trade kwa sababu hayuko kwenye SWIFT meaning his foreign exchange reserve of USD 640 billion is stuck and its gold worth over USD 100 billion is frozen by the US, sijui kama unaelewa chochote hapo.
Asilimia 90 ya ndege za abiria za Russia haziwezi kuruka na shirika la ndege la Russia limekuwa Insolvent na Moscow Stock Exchange ndio hiyo inachechemea.
Inawezekana kabisa.Umeongea vyema..... Ila huenda Putin ameona njia hii itakua na impact kubwa zaidi kama tuonavyo sasa.. Urusi ikivuka salama kwenyehili kunamabadiliko makubwa sana yatatokea katika nyanja zote.
Huenda uelewa wetu ni mdogo sikatai, lakini ujuwe kuwa since 2014 Russia imekuwa blacklisted na system za SWIFT, walitakiwa kuondolewa kipindi hicho so walijua it'd happen.Tatizo lenu ni uelewa mdogo, Russia hajawahi kuwekewa vikwazo kama alivyowekewa sasa hata mwenyewe anakiri hilo sasa wewe wa Tandika kwa Mchambia Chupa ndio upinge.
Russia hawezi kufanya import/export trade kwa sababu hayuko kwenye SWIFT meaning his foreign exchange reserve of USD 640 billion is stuck and its gold worth over USD 100 billion is frozen by the US, sijui kama unaelewa chochote hapo.
Asilimia 90 ya ndege za abiria za Russia haziwezi kuruka na shirika la ndege la Russia limekuwa Insolvent na Moscow Stock Exchange ndio hiyo inachechemea.
Mashoga watanyooka tu.Russia will not supply free gas to Europe in case of refusal to pay in rubles - Peskov.
"The supply process, it is very complicated. This is not the purchase of some product in a store where you buy and pay at the checkout. Delivery, payment, and balancing is a process that stretches over time. Now all modalities are being worked out" , - he said.
But it is clear that we will not supply gas for free.
"Still, in our situation, it is hardly possible and hardly expedient to engage in pan-European charity."
Ni kweli kabisa si unaona cnn ..bbc ...tweeter..you tube .....watupa habari zinazowapendeza mabosi wao ..wakifanya kinyume nao marekani itakifungia hicho chombo ......UHURU WA HABARIMadikteta yana tabia zinazofanana hasa kubana uhuru wa habari.
We Mzee kwani Putin allikwambia anashida na poland .....aipige kwa sababu gani....hasa.....??Kwa nini mrusi haipigi mihypersonic missile Poland
Alihusika kuwazuia raia wa mauripol wasiodoke huko kwa kuwapiga risasiMbona wana muandama kafanyaje?
Waambie mdau,russia haina tofauti na north korea ,ukiuliza wakimbizi wanaotoka Africa kwenda kutafuta life europe kati ya 10 ,8 wanaenda nchi za magharibi,kiukweli udikteta mmbaya sana haufaiJomba ...tafuta hela wewe
tunaoshabikia west hatuna huo muda wa kupoteza na kutafuta info ya kukupinga sababu time is money.....especially hii vita......... WTF....
hapa ni social interaction....and fun.... hatuna huo muda wa kupoteza
na pia tumewezeshwa na mfumo wenye akili wa kiwest wa kutafuta hela au tunaishi hukohuko west.....
tulikuwa na muda wa kutafuta info wakati wa kuyapanga maisha tukiwa chuo kikuu kwenye research assignments lakini sio JF ili nionekane najua sana ......
Mfumo wa Russia ni takataka ya dunia, kama Third world na unaedeshwa na ma oligarch including putin(baba wa ma oligarch)
jiulize kwa nini wananchi wa russia wenyewe kila kukicha wanatafuta njia za kuja kuishi west...
Hebu kunywa kahawa vikombe kadhaa nitalipa.....
Halafu tafuta hela Jomba.......