Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Naona Urusi anahamia kwenye magendo
 
Sasa kati ya sisi na wewe mwenye uelewa mdogo ni nani? EU imeondoa only seven Banks kwenye mfumo wa SWIFT we waja kutwambia Russia nzima kaondolewa kwenye mfumo wa SWIFT. Sasa tukuulize swali hapo hapo Russia kuna Bank 7 tu?

Kwenye hiyo list kuna VTB Bank, Bank Otkritie, Novikombank, Promsvyazbank, Rossiya Bank, Sovcombank and VEB... Vipi kuna jina la Central Bank of Russia hapo? Tanzania hapo wakifungia Azania, DTB, Amana Exim kisha wakaicha CRDB, NMB na Central Bank kwenye system wanaathiri nini kwenye miamala ya Cross border?

Kama kweli unauelewa unaojisifia nao apa All G7 seven countries wame'freeze assets za Russia Central Bank zilizomo kwenye nchi zao. G7 Countries are Canada, Germany, France, Italy, Japan, US na UK... Mpaka nukta hii tofauti na US pekee aliyeban Oil and Gas y Russia wengine wote hao wanaendelea kuipokea Gas na Oil kutoka Russia... So unataka kutwambia malipo huwa wanafanya Tigo Pesa au?

Tukukumbushe tu ku'freeze assets ya mtu au taifa hakuna mahusiano na mfumo wa malipo. Unatutolea mfano wa ndege kutembea angani utafikir biashara kuu ya nchi hiyo ni usafiri wa anga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Na kuhusu Gold Assets za Russia uko US bdo hazjawa frozen... Ile ni ajenda ambayo iko mezani. Haijapitishwa na Congress, hii nayo inaonesha jinsi gani uelewa wako ulivo mduchu zaidi...
 
Hiki ulichokiandika umejisoma mzee wangu maana aibu naona mimi
 
Italy, whose economy has already been hit hard by the pandemic, is facing an energy crisis due to events in Ukraine.

Half of the energy in this country is generated by gas, and it is mainly imported from Russia, writes SVT.

Fuel prices are now skyrocketing, and the authorities will probably have to ration gas supplies. In practice, this will mean that in the summer Italians may have to do without air conditioning, and in winter they will have to heat their houses in extreme saving mode.

The authorities can also refuse to illuminate all architectural monuments like the Colosseum or St. Peter's Basilica in Rome. The closure of some factories and plants is also possible.
Galip SV Liwagu
 
The authorities of several German federal states have decided to ban the Z logo, which has become a symbol of a special operation in Ukraine.

According to Bild and Die Zeit, they include Lower Saxony, North Rhine-Westphalia, Bavaria and Berlin. In Baden-Württemberg, the issue is still being studied.

Berlin Senator for Domestic Policy Iris Sprangen said those who break the law can be fined or receive up to three years in prison.
Galip SV Liwagu
 
Umeeleza vyema jomba, na me niongezee apo machache... Kuna tofauti kati ya Union Pay network na hii Swift.

Union Pay/Master/Visa Networks hizi ni network ambazo hu'connects consumers, merchants, banks, and processors kurahisisha purchases of millions of consumer-facing products worldwide.

Baada ya Visa na Master kujitoa Russia apo mbadala wake ndio ukawa hizo unazozitaja. UnionPay ni ya Mchina na hyo MIR ni ya kwake Russia na hivi juzi kati nilisikia wanamazungumzo na Venezuela vile vile kuingia kwenye huo mfumo wa MIR.

llhali swift's interbank network yenyewe hu'connects banks, corporates, and other financial institutions to ease the flow of high-value, highly-secure international financial transactions.

Alternative ya hii ni kama hiyo ulioitaja apo juu CIPS (Cross-Border Interbak Payment System) ya wachina na yeye Russia alikuwa katengeneza yake SPFS ("Sistema peredachi finansovykh soobscheniy" yani System of Transfer Of Financial Message)

So tutaona SWIFT Imebase hasa kwenye Interbank transfers while hizo UnionPay Visa Master na hyo MIR ya Russia zipo upande huo tulioulezea awali.
 

Mkuu unapoambiwa wanya hivi ukakaidi utapigwa tu [emoji16]
 

Pro Russia tupo smart sana kama Putin mtu unapewa hoja mpaka unaridhika,
 
Pamoja na hayo kuna mengine pia yanajadiliwa mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…