Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Those who bombed Yugoslavia have no moral right to ask Serbia to impose sanctions against Russia and "destroy centuries of friendly relations."

This was stated by the Minister of Internal Affairs of Serbia Alexander Vulin.

He added that the conflict in Ukraine started a wave of Russophobia, which always ends in Serbophobia: “Everyone who hated Russia did not like Serbia either. Everything they do with Russian children today, they will do with Serbian children tomorrow.”
Galip SV Liwagu
 
Wazungu wanajielewa sana ingekuwa bongo
 
Slava Ukraini, 🇺🇦🇺🇦🇺🇦
mwaka huu urussi itaomba kuingia NATO😁😁

View attachment 2166677View attachment 2166678View attachment 2166679
Hivi una uhakika gani kwamba askari hawa ni wa Urusi.Naomba nikutaarifu kwamba askari wa Ukraine ni Nazis 100%,so ni waovu kupindukia.To them anything is possible.

Zipo taarifa za kuaminika kwamba wanaua civilians na ku-pretend kwamba Urusi ndio wanaowaua,ili wapate sympathy ya the West.Zipo taarifa pia kwamba wanaua wanajeshi wao ili ionekana kwamba wanazidiwa nguvu na Urusi na hivyo wapate silaha kutoka nchi za Magharibi.Nisemalo ni nini,usiamini kila taarifa unayopata kwenye vita hii,upo uongo mwingi sana,hasa from Ukraine.Taarifa za kuaminika ni za alternative media tu,sio mainstream media.Kumbuka kwamba Zelensky ni Opera Queen.
 
Sasa kama hapa utasema huyu anayeandika haya ana akili timamu kichwani?
 
Leo watu wameumbuka, kuna General wa Russia Ukraine walitangaza kumuua, leo ameonekana hadharani.

Ndio yaleyale wako busy wanasema wanashinda vita kumbe ni propaganda tu..
Hutawaona hapa wanatafuta vipicha vya tangu tar 15 huko wanavirudie rudie kupost we ngoja warusi wa nachingwea huku tufunge mahesabu
 

Ukrainian forces have retaken Irpin, local mayor says​

The mayor of Irpin says Ukrainian forces have seized back control of the town, which has been one of the main hotspots of fighting with Russian troops near the capital, Kyiv.

“We have good news today – Irpin has been liberated,” Oleksandr Markushyn said in a video post on Telegram. “We understand that there will be more attacks on our town and we will defend it courageously.”
 
🤣🤣🤣🤣🤣 🤣🤣

Bro umesoma Nini Shule??

Kuna haja ya kuanzisha darasa kwa ajili ya watu kama nyie...
 

Daaah 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…