Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,287
- 12,856
Ukraine wanajua propaganda na mmoja wa watu wao wa propaganda za mitandaoni kashakamatwa.Leo watu wameumbuka, kuna General wa Russia Ukraine walitangaza kumuua, leo ameonekana hadharani.
Ndio yaleyale wako busy wanasema wanashinda vita kumbe ni propaganda tu..
Kweli?? Siwezi kufurahia wala askari wa Syria wala wa Urusi wala wa Israeli wala wa Ukraine wakiuawa. Ila propaganda inatusaidia nini??Unaijua S 400 tangu syria walipopokea huo mzigo kwenye anga lao hajawahi katisha hata kunguru[emoji16]
kama hujui kitu kaakimya sio kuleta ushabiki maandazi hii ni Jf sio facebook
Mpendwa hata leo unaweza kufanya biashra kwa pesa zaidi ya 100 duniani - ukimpata mteja anayekubali. Maana kila biashara ni kwa mapatano, sivyo? Kwa hiyo shika rubel zako na utafute mwuzaji anayezipenda.Encouraging! Natamani dollar ianguke tu, kila mtu awe na uwezo wa ku-trade kwa currency anayotaka yeye! Hii superpower shyte ya kibabu inachosha!!
Na Mariupol ishaanguka huko. Wanaume wanapiga kazi kimya kimya hakuna keleleUkraine wanajua propaganda na mmoja wa watu wao wa propaganda za mitandaoni kashakamatwa.
Kama utakumbuka wakati vita inaanza kuna jamaa mmoja wa Ukraine alipata umaarufu sana mitandaoni wakati na mtu huyo hajulikani alipotelea wapi walimpa jina la the Ghost of kyiv wakaonyesha clips akiwa anadodge mashambulizi kutoka Russia kumbe ilikua ni video game sio realityView attachment 2167327View attachment 2167328
Asante, ila afadhali "tusiarifiwe" na wewe. Hekima hiyo kuhusu "Nazis 100%" umechota wapi, ewe mtaalamu mkubwa?Hivi una uhakika gani kwamba askari hawa ni wa Urusi.Naomba nikutaarifu kwamba askari wa Ukraine ni Nazis 100%,so ni waovu kupindukia.To them anything is possible.
Zipo taarifa za kuaminika kwamba wanaua civilians na ku-pretend kwamba Urusi ndio wanaowaua,ili wapate sympathy ya the West.Zipo taarifa pia kwamba wanaua wanajeshi wao ili ionekana kwamba wanazidiwa nguvu na Urusi na hivyo wapate silaha kutoka nchi za Magharibi.Nisemalo ni nini,usiamini kila taarifa unayopata kwenye vita hii,upo uongo mwingi sana,hasa from Ukraine.Taarifa za kuaminika ni za alternative media tu,sio mainstream media.Kumbuka kwamba Zelensky ni Opera Queen.
Urusi kanyanganywa mji mwingine tenaUkrainian forces have retaken Irpin, local mayor says
The mayor of Irpin says Ukrainian forces have seized back control of the town, which has been one of the main hotspots of fighting with Russian troops near the capital, Kyiv.
“We have good news today – Irpin has been liberated,” Oleksandr Markushyn said in a video post on Telegram. “We understand that there will be more attacks on our town and we will defend it courageously.”
Anzisha darasa mkuu!! Naweza kuwa mwanafunzi mzuri sana.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] [emoji1787][emoji1787]
Bro umesoma Nini Shule??
Kuna haja ya kuanzisha darasa kwa ajili ya watu kama nyie...
Eneo lenyeww hili hapa"Caliber" missiles destroyed large ammunition depots in the areas of the settlements of Ushomir and Veselovka, Zhytomyr Region - Russian Ministry of Defense.
Galip SV Liwagu View attachment 2167330
Unafahamu kwamba ukitumia hiyo payment system ya Russia huwezi tena kutumia SWIFT, sasa nani atafanya hiyo biashara kichaa. Russia uchumi lazima uporomoke tu hilo halina ubishi.Huenda uelewa wetu ni mdogo sikatai, lakini ujuwe kuwa since 2014 Russia imekuwa blacklisted na system za SWIFT, walitakiwa kuondolewa kipindi hicho so walijua it'd happen.
Kama unafatilia, China na Russia walishatengeneza mifumo yao, Russia walishaanzisha National Payment Card Systems (NPCS) Mir, kwa ajili ya domestic payments (they knew haya yatatokea), leo hii Russians wanaweza kutumia UnionPay ya China(japo haijasambaa duniani kote) kufanya international transactions.
Kumbuka pia wanaweza kutumia nchi za jirani kufanya international transactions bila matatizo, Turkey, Kazakhstan, Uzbekistan lakini pia kuna system mpya ya Chinese Cross-border Interbank Payment System (CIPS) ambayo bank za Russia kwa sasa zinatumia.
Lastly, western countries watanunua mafuta na gas kwa ruble, hivyo kuipa nguvu currency yao. Sisemi vikwazo haviwapi shida, Ila hawalii ovyo kama ingekuwa sisi.
Ukikua utaacha. PoleHabari za hivi punde Abromovich apata dalili za shambulio la kemikali
Endelea kujifarij ushaambiwa Russia siyo Zimbabwe Ile ni nchi inayotegemewa na nchi nyingi duniani sanctions saivi zinarudi kwenu mnabaki kijambajmba Tu nchi30 zimejiunha kwaajili ya nchi moja na bado zinaanyaa endelea Kula kande zko apo nyumbani uku ukisubiria bei ya ngano ipande maana soon hakutakuwa na mandazi ya shilingi 100 tnaUnafahamu kwamba ukitumia hiyo payment system ya Russia huwezi tena kutumia SWIFT, sasa nani atafanya hiyo biashara kichaa. Russia uchumi lazima uporomoke tu hilo halina ubishi.
Itakuwa ni ile hadithi ya sikio la kufa halisikii dawa.
Mkuu nina historia ya kina kuhusu aunzishwaji wa nchi ya Ukraine hata kabla ya Khazar Kings.Najua succession ya tribes mbalimbali zilivyoingia na kusambaratishwa Ukraine mpaka kuja kukaliwa tena na Khazars ambao walijigeuza wakajiita Ashkenazi Jews,ambao kiukweli sio Jews,akina Zelensky.Khazars walikuwa wamesambaratishwa na Urusi hapo zamani kwa sababu ya uovu wao usio vumilika.So hata kihistoria,watu wa Ukraine ni waovu sana.Asante, ila afadhali "tusiarifiwe" na wewe. Hekima hiyo kuhusu "Nazis 100%" umechota wapi, ewe mtaalamu mkubwa?