Sikirimimimasikini
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 2,940
- 15,665
Sikirimimimasikini dah unashambulia jukwaa sana. Hii kete alocheza kaka mkubwa Putin ikifanikiwa, wallah US na EU watapata tabu sana.Putin awaambia nchi za Ulaya, hatowapa gesi yake dezoo/bureee (bila kulipia).
Awapa deadline (siku ya mwisho) ya kuhudhurisha maombi yao ya kulipia gesi kwa ruble, kuwa ni kesho kutwa (tarehe 31 March)🤣😂😄😃
Asante sana Putin!
======
View attachment 2167353View attachment 2167354
Nikipata wasaa nawatandika vikali waMarekani wa Tandaleee....Sikirimimimasikini dah unashambulia jukwaa sana. Hii kete alocheza kaka mkubwa Putin ikifanikiwa, wallah US na EU watapata tabu sana.
Hizi blaah blaah za malkia sijui uingereza usituletee hapa ...[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] hapa tunaongelea russia na ukrain ....alafu urusi hana shida na ardhi ya ukrain .....kama ni ardhi anayo ardhi kubwa tu kuliko nchi yoyote dunian....na nature resource anazo nyingi tu na hayo makoloni / VICHAKA unayoyasema ....yanatakiwa yakae kwa kutulia sasa yaache kukaribisha vifutu na nyoka wengine wqkali......mfano zanzibar leo ikitaka kujitenga na bara alafu inaingiza silaha tena nzito nzito hatutakubali tutaiigonga mpaka keleweke .....Kama "Russia" ina tatizo ni kitu kimoja - kitu kingine ni habari kwamba Putin na idadi ya wafuasi wake wana tatizo na nchi kadhaa.
Hasa nchi zote zilizokuwa makoloni ya Urusi kabla ya ukomunisti na wakati wa ukomunisti. (= Ukraine, Byelorus, Uzbekistan, Kazakhstan, Georgia, Azerbaijan, Lithuania, Moldavia, Latvia, Kirghiztan,Tajikistan, Armenia, Turkmenistan, Estonia, pamoja na Siberia)
Hapo Putin alitangaza kwamba "kuvunjwa kwa Umoja wa Kisovyeti" kulikuwa balaa kubwa zaidi ya karne ya 20.
Vipi sasa mashabiki wa Putin hapa, mko tayari kulia pamoja naye kuhusu Urusi kupotea sehemu ya makaloni yake?
Labda mlilie pia hatma ya Malkia Elizabeth aliyepaswa kuachana pia na makoloni yake katika karne ya 20? (ingawa malkia hakujaribu kuvamia nchi huru tena).
Kaka tafadhaili ushuke kutoka wingu lako, fika duniani. Ukraine haina silaha kali. Hujui kwamba Ukraine, kwa hiari yake, ilikabidhi silaha zake za nyuklia zooote pamoja na roketi kubwa kwa Urusi kwenye mwaka 1994? Na Urusi iliahidi kuheshimu na kutunza mipaka ya Ukraine katika mkataba wa Budapest 1994??Hizi blaah blaah za malkia sijui uingereza usituletee hapa ...[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849] hapa tunaongelea russia na ukrain ....alafu urusi hana shida na ardhi ya ukrain .....kama ni ardhi anayo ardhi kubwa tu kuliko nchi yoyote dunian....na nature resource anazo nyingi tu na hayo makoloni / VICHAKA unayoyasema ....yanatakiwa yakae kwa kutulia sasa yaache kukaribisha vifutu na nyoka wengine wqkali......mfano zanzibar leo ikitaka kujitenga na bara alafu inaingiza silaha tena nzito nzito hatutakubali tutaiigonga mpaka keleweke .....
Bado nitakuelewesha tu. Hayo mabenki 7 yaliyo ondolewa kwenye mfumo wa SWIFT ndio yale mabenki makubwa yanayodili na miamala mikubwa na volume ya biashara inayofanya ni asilimia 75 ya biashara yote ya kimataifa inayoihusu Russia.Sasa kati ya sisi na wewe mwenye uelewa mdogo ni nani? EU imeondoa only seven Banks kwenye mfumo wa SWIFT we waja kutwambia Russia nzima kaondolewa kwenye mfumo wa SWIFT. Sasa tukuulize swali hapo hapo Russia kuna Bank 7 tu?
Kwenye hiyo list kuna VTB Bank, Bank Otkritie, Novikombank, Promsvyazbank, Rossiya Bank, Sovcombank and VEB... Vipi kuna jina la Central Bank of Russia hapo? Tanzania hapo wakifungia Azania, DTB, Amana Exim kisha wakaicha CRDB, NMB na Central Bank kwenye system wanaathiri nini kwenye miamala ya Cross border?
Kama kweli unauelewa unaojisifia nao apa All G7 seven countries wame'freeze assets za Russia Central Bank zilizomo kwenye nchi zao. G7 Countries are Canada, Germany, France, Italy, Japan, US na UK... Mpaka nukta hii tofauti na US pekee aliyeban Oil and Gas y Russia wengine wote hao wanaendelea kuipokea Gas na Oil kutoka Russia... So unataka kutwambia malipo huwa wanafanya Tigo Pesa au?
Tukukumbushe tu ku'freeze assets ya mtu au taifa hakuna mahusiano na mfumo wa malipo. Unatutolea mfano wa ndege kutembea angani utafikir biashara kuu ya nchi hiyo ni usafiri wa anga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Na kuhusu Gold Assets za Russia uko US bdo hazjawa frozen... Ile ni ajenda ambayo iko mezani. Haijapitishwa na Congress, hii nayo inaonesha jinsi gani uelewa wako ulivo mduchu zaidi...
Hizo sijui mnazoita Ruble za kununulia hayo mafuta watazitoa wapi?Ndio maana Russia kasema nchi zilizoiwekea sanctions,zitanunua gas Kwa rubles!Hii ni hatua Moja wapo ya kuruka kihunzi hicho!
Hapo naskia mvua imegoma US kwenye mashamba makibwaThe US is expected to increase the cost of food and energy in the coming year due to the situation in Ukraine - Chairman of the Council of Economic Advisers at the White House Cecilia Rose.
Galip SV Liwagu View attachment 2167404
Maana yake wataexchange us dollar ambazo ni reserve ya Russia Kwenda Rubles ndio transaction zitafanyika!Hii itaboost value ya ruble Ili kufidia gap ya sanctionsHizo sijui mnazoita Ruble za kununulia hayo mafuta watazitoa wapi?
acha wakufe tu MKUUNa hii video Ina wiki ngapi mkuuu.... Tunakiwashaaaa Lyiv
hawa wakunyongwa WOTEleo jamaa wamesarenda wenyeweView attachment 2166666View attachment 2166667
kama issue ni kuexchange tu na kulipa hakuna ambae angekataa, haiwork hvyo ndo maana hawatakiMaana yake wataexchange us dollar ambazo ni reserve ya Russia Kwenda Rubles ndio transaction zitafanyika!Hii itaboost value ya ruble Ili kufidia gap ya sanctions
Ila wajukuu wa Putin hamuwezagi kuongea lugha njema,mnapenda lugha za mikimiki tu yaani!Mwambie baba yako pale wizara ya Elimu aanze na kichwa chako hicho kama zombie
HawaelewiKaka tafadhaili ushuke kutoka wingu lako, fika duniani. Ukraine haina silaha kali. Hujui kwamba Ukraine, kwa hiari yake, ilikabishi silaha zake za nyuklia zooote pamoja na roketi kubwa kwa Urusi kwenye mwaka 1994? Na Urusi iliahidi kuheshimu na kutunza mipaka ya Ukraine katika mkataba wa Budapest 1994??
Ukraine haina silaha zinazofaa kwa mashambulio - hapa siri ya kwamba inaangamiza vifaru na helikopta kibao lakini haijarusha chochote katika eneo la Urusi. Si kwa sababu wanaogopa. hawana silaha hizo. Wamapata sasa silaha nyingi kutoka majirani zinazofaa kujitetea. Za kushambulia hawana.
Putin anasikitika kwamba koloni ya zamani imechagua kufuata mwelekeo tofauti na yake. Na kwamba walianza kufaulu.