LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Mume wako ndiye angekuwa wa kwanza kuingia uvunguni mwa kitanda.
 
Kwahiyo mkuu unaamin hadi sasa warusi hawajauliwa wao ni robots? hakuna vita isiyo na madhara pande zote japo kwa sasa taarifa ni nyingi sana wewe amin unacho kiamini ila jua hata hao warusi unao waamini wapo walio marehemu kwa sasa.
 
Sema wanaume unaowajua wewe ndio waligeuzwa wanawake

Maana Wanaume wengine wamebaki kuwa wanaume jana leo na milele

Hawajageuzwa
 
Mbna hujaanza kumtaja shaba wako
Kwahiyo unataka tumvishe kaka freeman wig na dera, na mnyika na baba chanja wangu. Hii kauli kutolewa na mwanasiasa sio kabisa. Hili ni tusi

Kwako wewe sio kwa wanaume wote
 
Mume wako ndiye angekuwa wa kwanza kuingia uvunguni mwa kitanda.

Ungekua mwanaume ningekushauri
Ila sasa nikujibu tuu kwamba utaingia uvunguni wewe na sio yeye
 
Unadhani vita ni kuoneshana maiti tu siyo?

Kwenye medani za kivita kuna siri nyingi sio kila kitu uwekewe hadharani kama mapato na matumizi ya kijijini kwenu.

Urusi imekiri kupata hasara ya vifaa vya kijeshi kwenye mashambulizi yake ila anashindwa kuweka wazi idadi ya wanajeshi wake waliouawa na Ukraine.

Anasema tu "bado hatujatangaza vifo wala majeruhi kwa wanajeshi wetu" hadi hapo unapata picha kwamba kuna vifo na majeruhi kibao.

Kwa akili ya kawaida tu unadhani hakuna mwanajeshi hata mmoja wa Urusi aliyeuawa kwenye vita hivi?
 
Kwahiyo mkuu unaamin hadi sasa warusi hawajauliwa wao ni robots? hakuna vita isiyo na madhara pande zote japo kwa sasa taarifa ni nyingi sana wewe amin unacho kiamini ila jua hata hao warusi unao waamini wapo walio marehemu kwa sasa.
Hoja yangu si kwamba Warusi hawafi! Wanakufa vizuri tu. Idadi ya Warusi waliyokufa iliyotangazwa na wao ni 30 na kitu. Tuseme wamepunguza namba. Hata tuseme hata 100 nitakubaliana nayo.

Ila Ukraine wanasema 3500, ndani ya siku 2 wameua idadi hiyo ya wanajeshi ya Warusi, huu ni uongo wa wazi kabisa! Hata Urusi ingepigana na Tanzania kwa siku 2 wasingeua idadi hiyo ya wanajeshi. Hata kama ukitumia drones idadi hiyo hauifikii.
 
...Russia haijawahi kuitawala Africa kwa Mabavu, hawajawahi kuiba rasilimali zetu, kutesa babu zetu na pia hawajawahi kuivamia Africa kwa vifaru na Mabomu kama NATO na Mataifa ya Ulaya. Napenda Demokrasia ila sipendi Demokrasia inayoenezwa kwa Mtutu wa Bunduki.

Sent from my SM-A022F using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo mkuu unaamin hadi sasa warusi hawajauliwa wao ni robots? hakuna vita isiyo na madhara pande zote japo kwa sasa taarifa ni nyingi sana wewe amin unacho kiamini ila jua hata hao warusi unao waamini wapo walio marehemu kwa sasa.
Nimeona mwanajeshi wa Russia anapigwa risasi juu ya gari akaanguka akamaliziwa chini aisee
 
...Russia haijawahi kuitawala Africa kwa Mabavu, hawajawahi kuiba rasilimali zetu, kutesa babu zetu na pia hawajawahi kuivamia Africa kwa vifaru na Mabomu kama NATO na Mataifa ya Ulaya. Napenda Demokrasia ila sipendi Demokrasia inayoenezwa kwa Mtutu wa Bunduki.
 
Kujitoa ufahamu ni kipaji wakiita rare profession:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…