LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Djibouti na urusi wapi na wapi mzee! Akiuliwa mrusi mmoja ujuwe jibuti wameshauliwa 200 mzee.
Yaani wewe sijui nikuitaje wallah.

Nimetolea tu mfano hata Urusi angeivamia Djibouti tu ambayo ni nchi ndogo isiyo na jeshi imara lazima wanajeshi wa Urusi nao wangekufa hata kama wangewaua wa Djibouti kiasi gani.

Halafu eti warusi wasife kwenye vita ya Ukraine ambayo wana silaha na zana za kisasa za kijeshi ingawaje sio kama za Urusi.

Wote wanakufa ila pengine idadi ikatofautiana.
 
Russia amejidai Ni super power kumbe hakuna kitu
Mpaka Sasa Ukraine imemshinda naona Sasa nato wamemuona Kama karagosi Sasa wameamua kuingia Vita keep msaidia Ukraine na baadaye kumfuata Russia kwake ndyo mwisho wa Russia
JF imekua ya ovyo nowdays
 
Urusi inaonekana haijatumia wanajeshi wazoefu imeleta wengine ni drafted
...mhh!...yaani askari wote zaidi ya 100,000 sio wazoefu?...sidhani.

Huenda wengi wa askari wa Urusi wameshiriki harakati za kijeshi huko Syria na kupata uzoefu.

Putin amefanya mis- calculation na huenda ndio mwanzo wa anguko lake kwenye siasa za Urusi.
 
Russia amejidai Ni super power kumbe hakuna kitu
Mpaka Sasa Ukraine imemshinda naona Sasa nato wamemuona Kama karagosi Sasa wameamua kuingia Vita keep msaidia Ukraine na baadaye kumfuata Russia kwake ndyo mwisho wa Russia

Unateseka ukiwa wapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…