Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Yaani wewe sijui nikuitaje wallah.Djibouti na urusi wapi na wapi mzee! Akiuliwa mrusi mmoja ujuwe jibuti wameshauliwa 200 mzee.
Nimetolea tu mfano hata Urusi angeivamia Djibouti tu ambayo ni nchi ndogo isiyo na jeshi imara lazima wanajeshi wa Urusi nao wangekufa hata kama wangewaua wa Djibouti kiasi gani.
Halafu eti warusi wasife kwenye vita ya Ukraine ambayo wana silaha na zana za kisasa za kijeshi ingawaje sio kama za Urusi.
Wote wanakufa ila pengine idadi ikatofautiana.