Mkuu hakuna jipya katika hilo maana kila mtu hujiona yuko sawa katika kile anacho kiamini.Ni kweli ..ila tu nashangazwa na baadhi ya members humu jukwaani ni kuwa kuna wakati Israel anashambulia Palestine au Syria kusababisha mauaji watu wanalaani the same people Katika mgogoro huu wanaunga mkono Russia( kwa vigezo vilevile vya Israel na US)
*Maajabu hayaishi duniani!
Mkorofi gani. Anafurahia vifo vya askari wa Umoja wa Mataifa. Je, anajua Watanzania wangapi wanahudumia kama walinzi wa mani wa UM?Hawa acha wafe tuuu
Acha wafe MKUUMkorofi gani. Anafurahia vifo vya askari wa Umoja wa Mataifa. Je, anajua Watanzania wangapi wanahudumia kama walinzi wa mani wa UM?
Hii mbona Kama kamba Mkuu,yaani Ukraine warundike vifaru Mia pamoja kwenye workshop badala ya kuvisambaza maeneo tofauti tofaut ili kuepuka kulipuliwa na cruise missile za Urusi!!!!!View attachment 2169636View attachment 2169638
T 72 AG NI VIFARU VIPYA VYA UKRAINE URUSI ILIVIFUMA KWENYE WORKSHOP ZAID YA 100
View attachment 2169639
Mpaka 26 hapa kati kati tutawapelekesha mpaka wajuteThe supply agreements are for a term of 20 years and first deliveries are expected to begin in 2026, the Dallas-based pipeline company added.
The companies did not disclose the purchase price, but said it is indexed to the Henry Hub benchmark plus a fixed liquefaction charge.
The number of US proposed LNG projects to reach final investment decision is expected to get a push following demand from Europe to replace Russian gas over the next few years.View attachment 2169642
Mkuu mbona mpaka sasa Marekani anauza Sana Gas yake Kwa ChinaMpaka 26 hapa kati kati tutawapelekesha mpaka wajute
Obi Wan Kenobi!Wewe ni shabiki wa Nani?!😁😂🤣toad Boris Johnson ?! Au Comefian Zelensky au Biden?!😀😀
Ni kwamba kingereza kimekupiga chenga au umejizima data usielewe maana ya " Europe to find creative way to pay Russian gas in Rubles" ...Kumbe maneno makubwa ya juzi yameshalainika! (nakumbuka mashabiki wa Putin jinsi walivyoshangilia hapa - mbona kimya sasa?)
Duuuh .... Hata kugugu tu umeshindwa. Na mnashupaza shingo huyo ni Waziri wa Kilimo na umeme wa Afghanistan.Huyu Pushilin ni nani?na ana maanisha nini kusema hivyo?
Wakitoa hivi pesa wabongo wanawaona kama wamarekani wana pesa chafuuu kulisha kila na kuhudumia kila taifa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilhali kwa sasa tu kwenye budget aliyotangaza Biden siku 2 zilizopita ina deficit ya zaidi ya Dollar Trillion 1.15 ambayo itabidi ikopwe [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847][emoji338] Biden told Zelensky that the United States plans to provide Ukraine with $500 million in direct budget assistance - White House
Wayukraine wa Wang'ing'ng'ombe ... Wanashupaza shingo wakati wenzao wanaconvert utajiri wao kwenda Rubles Ili wafanye Biashara na Urusi ..wameshupaza shingo kama wanauza matikiti .... Hawaoni impact ya Urusi Biashara zake kuamua ziwe Kwa Rubles. Hizo Mali walizozi confiscate watazichange Kwa Rubles na zitainflux Urusi kwenyewe. Wajinga ndio wali wao lakini tutawaomgezea na matembele pia yawe yao sio wali tu.