Google chrome
JF-Expert Member
- Nov 26, 2017
- 2,287
- 12,856
Baada ya mwez mmoja urudi hapa...!! Mna vichwa vigumu sana..
Unahangaika na Wayukraine wa Mapilinga wachoma mkaaa. Mara warusi wamsaliti Putin , mara wamekata hiki lakini vilio ni kwao tu ..wamesema wamepiga maeneo ya MIPAKA ya Urusi nimewaomba picha au video na jina la eneo wamekimbiana kama mbwa wa sokoni ... Labda bado zipo mbinguni wanasafisha negative watatuletea wakati wa ufufuo Yesu atakuja nazo Kwa sasa hawana.Na naongezea hapo hapo jomba hiyo nchi anayoiita maskini Kibabu Biden kinajua kua ni ya 11 kiuchumi duniani.
View attachment 2169889
Ye nani kuiita nchi masikin? Hawa Pro NATO na Pro USA tukiwaambia wana uwezo mdogo wa kufikiri wanasema tunawatukana.
Kauli za viongozi wa kimagharibi wanasema wanashambulia uchumi wa Russia kuudhoofisha...
Sasa kama nchi ni maskini kama anavodai, hao wanaokunjana mashati na Raia wao kuudhoofisha Uchumi wa Russia, wanadhoofisha uchumi upi kama kweli Russia Maskin?
Habari haina Kichwa Wala MiguuWanajeshi wa Urusi wamgeuzia kibao Putin,tatizo la ProPutin hamsadiki hii kitu 🤔
View attachment 2169893View attachment 2169908Войдите на Facebook
Войдите на Facebook, чтобы общаться с друзьями, родственниками и знакомыми.lm.facebook.com
Mercenaries wataisha warudi tu kwenye nchi zaoView attachment 2169943sniper mwingine kutoka jeshi la marekan ameuawa huko ukraine
Hii si radar ya S300 za Ukraine ambazo Ukraine alirithi baada ya USSR kuvunjika.
walidanganyika na wale warembo w ukraine waliovalia sare za jeshiMercenaries wataisha warudi tu kwenye nchi zaoView attachment 2169950
Sent using Jamii Forums mobile app
View attachment 2169968mabaki ya drone za tb2 hiz droni zilifanya vizure kwenye vita ya armenia na azerbaijan lakini kwenye vita hii zimekutan na upinzani wa aina yake
Ukikutana na mataifa makubwa ivyo vidude ni sawa na kupoteza tu ela
Na kwenye ukoo wako wamekupeleka shule wanakutegemea, mtaani kote wanakuita msomi. Eeeenhe Kweli hii ndio Tanzania.
Is California a country or a state within a country?
Sasa kama hujui kipi kinatakiwa kilinganishwe na kipi una hadhi kweli ya kujadiliana na mie?
Sorry, ila una akili za kitoto tena kitoto mno. Wa kulinganisha Yanga ukijua ni Club na Team ya Taifa flan ukijua ile ina Present Taifa.
California utaiweka vp kwenye Rank za Nchi kufanya comparison ilhal yenyewe sio nchi bali jiji ndani ya Nchi..., Ningekuona wa maana kama ungeleta mlinganyo wa Calfornia, Texas na majiji mengine kama Moscow, London, Berlin, Tokyo n.k
Na ulivo kiazi mbatata ukaenda kusearch [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti California wealth Vs Russia... Kwa upuuzi huo na mwenendo huo ni halali mlalamike Ajira hakuna.
Huyo Biden alipokuwa akisema Russia is the world largest 11th biggest Economy unafikiri hakuziona nchi 27 za ulaya, hakujua kama kuna California, alitumia rank ya jiji au Nchi?
Acha upuuzi dogo... Kama huna cha maana better ukae kimya tu msidhihirishe upumbavu mliouhifafhi kichwani.
View attachment 2169943sniper mwingine kutoka jeshi la marekan ameuawa huko ukraine
Mercenaries wataisha warudi tu kwenye nchi zaoView attachment 2169950
Sent using Jamii Forums mobile app
naona mnabonga kikorea humu mmenikumbusha jana nilikua naangalia youtube video moja ya jinsi wanandugu wanorth na wasouth korea waliotenganishwa navita ya korea walipokuwa wanakutanishwa karibu nampakani baada ya miaka 50+ kupita,iliinisikitisha xana kuiangalia hasa walipokuwa wanaoneshana picha zao zakitambo kile wakiwa wadogo kabisaKungeeeeekeeeeeeeaaaaaaa......
Akili mtu wangu, akili!Vifaa vingi vya Russia ambavyo ni advance vipo Kwenye majaribio kumbuka kutengeneza Ili viwe deployed Kwenye operation yahitaji fedha na Russia hana hizo Hela unazofikiri.
Nuclear zilizopo ni za tangu enzi za USSR!0