President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
70% popularity kwa dikteta ni ndogo sana, hio inamaana kuna 30% ya raia ambao hawamuungi mkono. Sasa Kama huoni shida hapo basi unamatatizo ya kunga'mua mambo.Imepanda kutoka 60%s kabla ya vita mpaka 70%s kama hiyo kwako inamaanisha kushuka basi mambo yanastaajabisha zaidi huko kwenye 'perspective' yako.
Russia chini ya VVP imeheshimika sana duniani. Kuanzia kumkingia kifua Assad huko syria, maduro Venezuela, Crimea, na sasa Zelensky. Si umewahi kusikia influence za Urusi kuwin host ya WC mpk kina Blatter wanajiuzulu. Umesahau operation Lakhta iliyoamriwa na VVP mwenyewe kuinterfere uchaguzi wa marekani na kumuweka raisi wanayemtaka hahaha.
Undisputed Putin [emoji91]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
These and are fake news from the mainstream media.Hivi mtu na akili zako unaamini taarifa kutoka the Daily Express kweli,hayo si magazeti yao,unategemea waandike nini?Wake up,umelala sana!Wanajeshi wa Urusi wamgeuzia kibao Putin 🤔View attachment 2169893
Wanahasira sana jamaa yao kapoteza influence ya kijeshi duniani. Zile enzi za Bush kutanganza every country and every reagion must choose, either you're with us zimeisha. Zamani ukimdindia mmarekani hutoboi anakupiga mchana kweupe. Sasa hivi kuna Urusi kwenye picha. Kila anapotia mguu na Urusi naye anatia mguu.Kimezungumzwa kingine unajibu kingine, anyway tukuulize kutoka apo hapo kwenye hayo maelezo yako... kama ziko underestimated na unasema ni masikini hawana hela em tujuze hizo ela za ziada zinatoka wapi...?
Mfano kwa data za 2019, Total millitary expenditure dunian kote ilikuwa about 1.9Trillion dollar, uku US pekee akiwa ana constitute karib 38% ya hyo Jumla.
Hapo utaona point yako ya pili inakinzana na Point yako ya tatu. Lengo la kusambaza majeshi kwenye nchi za wenzio ni nini?
Na hapo ka uko na mawazo huru utaona tofauti ya Ideology kati ya Western na Eastern. Utaona nani amekaa kimfumo wa kutaka kutawala na nan amekaa kimfumo wa kujilinda.
Na kingine swali la kizushi tu. Kuna haja gani ya kwenda kukopa Gari kubwa linalokufyonza gharama za kuliendesha kumtunishia misuli muendesha boda ambae hana habari kabisa na ww...
Kisha ajab unaiita nchi masikin [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ilhal expenditure yao ya Healthcare inalingana na pato lenu la taifa apo kenya.... Sasa kama wao ni masikini ninyi ni akina nani [emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
Very brilliant of Russia.👍👍👍View attachment 2170201
ALL Russian Exports Could Soon be in RUBLES
Kremlin spox Dmitry Peskov indicated Wednesday that all the nation's energy and commodity exports could be priced in rubles.
“This is an idea that should definitely be worked on,” the Kremlin spokesman said of the parliament speaker’s proposal.
Moscow has already demanded that gas exports to hostile countries should be paid for in the Russian currency.
Just wondering why sell gas to hostile countries- simply cut off the flow. Putin bwana,maji shingoni.View attachment 2170201
ALL Russian Exports Could Soon be in RUBLES
Kremlin spox Dmitry Peskov indicated Wednesday that all the nation's energy and commodity exports could be priced in rubles.
“This is an idea that should definitely be worked on,” the Kremlin spokesman said of the parliament speaker’s proposal.
Moscow has already demanded that gas exports to hostile countries should be paid for in the Russian currency.
Kutoka 60 mpaka 70 na kuendelea wewe unaona ni kushuka. Uoni/uelewa wako umekaa kisengere nyuma pengine. Mahaba yamekujaa mpaka mwisho wa siku unalazimisha nyeusi kuita nyeupe. Hautaweza!70% popularity kwa dikteta ni ndogo sana, hio inamaana kuna 30% ya raia ambao hawamuungi mkono. Sasa Kama huoni shida hapo basi unamatatizo ya kunga'mua mambo.
Huo ushuzi mwingine ulioandika siwezi jibu manake ni pumba tupu.
You won't shoot your own foot just to kill a fly, would you!?Just wondering why sell gas to hostile countries- simply cut off the flow. Putin bwana,maji shingoni.
Jamaa wanaakili sana hawa sio watu wa kupelekeshwa.
Hivi Ukraine ni kibaraka wa Nani vile?!?!Wale wale vibaraka wa Vladimir Putin wanaokwenda kinyume na matarajio na mategemeo ya wananchi.