NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Porojo hizi sasaRussia kabakiza Kiev tu ili awe ameteka nchi kitu ambacho kitazua kelele ndio maana Putin aliagiza jeshi lisichukie Kiev kwanza ili kutoa nafasi ya mazungumzo na Ukraine ambapo imeshindikana,now katoa go ahead so subiri kisha utaona kama atafanikiwa au lah.Pili lazima ujue kuwa hata Ukraine wanapigana kama ambacho kila nchi ingepigana lkn wataangushwa tu pamoja na support yote wanayopewa.Na mwisho Russia anajaribu kuichukua Kiev bila mauaji mengi ya raia ya kawaida ambapo akiona kuna ugumu wa kukwepa hayo mauaji basi anaweza kuamua kufyeka wote.
Watu wajue yanayoendeleaKwahiyo mkuu wetu unatakaje yaani?
Mkuu babu Putin ana mbwembwe za kufa mtu ukisikiliza maneno yake wakati vita imeanza utadhani vita ingekuwa ya siku moja now mpaka muda huu kyeiv inamtoa jasho na Netherland Germany now wanawapelekea silaha Ukraine sasa Putin kama ana ubavu aguse hizo nchi. Huku benki mbli kubwa za china nazo zimeanza punguza biashara na Russia maana zinahofia US.Urusi inasemwa kuwa nchi yenye uwezo wa kupiga nchi zote za nato at the same time.
sasa kinachoendelea pale Ukraine tumeanza ku- question uwezo huo unahubiriwa kwenye social media
Nani anaeleta maradhi sasa.Nani boss wa waganga, wachawi,vibaka,makahabaPorojo za wafia dini. Biblia tu ametuambia kuwa kuelekea siku za mwisho yatazuka na maradhi yasiyotibika lkn wewe bado tu huamini na badala yake eti unaamini propaganda. Poor you.
yaan hawa jamaa!!! basi tu.😂😂Wafuasi wa Putin sasa hivi wamegeuka kuwa watu wa propaganda,wamesahau yale majigambo waliyokuwa wanayatoa hapa siku chache kabla ya vita,sasa hivi tunawakumbusha wanakuwa wakali 😁
wewe bado unaota ehhhh soma hiyoooooUjerumani haiwezi kuingilia huo mgogoro wa Ukraine. Hapo ni Habari uchwara tu changamsha genge za kujikosha.
Msimamo wa Ujerumani uko very clear. Russia ana haki ya kuprotect interest zake hapo Ukraine. Hata mkuu wa Navy wa Ujerumani alijikuta anaropoka na Press zilipo daka akajiuzulu fasta kama ni mawazo yake binafsi. Ila ukweli uko wazi Wajerumani nao ni watu wenye kiburi na maamuzi magumu when it comes their interest is at stake.
Hakuna nchi itakayo ingia physically kwenye hii vita. Ni matamko tu na Russia atajibebea points zote.
U supa pawa haupatikani kwa kujiongelesha mdomoni bali ni uchumi.Russia amejidai Ni super power kumbe hakuna kitu
Mpaka Sasa Ukraine imemshinda naona Sasa nato wamemuona Kama karagosi Sasa wameamua kuingia Vita keep msaidia Ukraine na baadaye kumfuata Russia kwake ndyo mwisho wa Russia
[emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]Wengine wanasutana wengine wanagombana wengine wanabishana. Mwisho na uzi umekuwa ukraine. Vagalanti.
Zitaishia kuwekwa Poland....Putin wala hatowagusa nchi za NATO......Afadhari kama ni kweli,simpendi Putin,natamani huu ndiyo uwe mwanzo wa mwisho wa utawala wake wa ki Dikteta.
Vita iko field ndugu.wewe bado unaota ehhhh soma hiyooooo
-Berlin to supply 1,000 anti-tank weapons and 500 missiles in U-turn from its policy of banning weapon exports to conflict zones.
Germany will supply Ukraine with 1,000 anti-tank weapons and 500 Stinger surface-to-air missiles from Bundeswehr stocks so it can defend itself against Russia, German Chancellor Olaf Scholz said on Saturday. It’s a major shift from Berlin’s longstanding policy of banning weapon exports to conflicts zone.
Netherlands to supply anti-tank weapons to Ukraine
The Netherlands will send anti-tank weapons to Ukraine, the country’s defence ministry says.
The Dutch government will supply 50 Panzerfaust-3 anti-tank weapons and 400 rockets, the ministry said in a letter to parliament.
Urusi hataki Ukraine ajiunge na NATO maana yuko karibu sana na urusi, akijiunga NATO ataweka makombora yake ambayo yatakuwa karibu sana na Urusi,Kwa mtu yeyote anaeweza kunisaidia nn chanzo cha vita inayoendelea kati ya Ukraine na Russia, chimbuko lake hasa limeanzia wapi?
Mzee niko neutral ukija unachekacheka haisaidii, ukisoma mchango wangu popote tangu nijiunge JF sijawahi onesha dalili za kuwa upande wowote acha kukurupuka. Mimi natoa mtazamo wangu, ukitazama wale wanajeshi wanaokamatwa na Ukraine ndio wanajeshi wazoefu? Basi hamna troops paleHa haaa mnachekesha washabiki wa urusi , kwamba hao ameokota Tu kitaa , so they are poor and inexperienced , katika jeshi ambalo linatuaminisha lipo imara kuliko US? ... Si walituambia ni full scale military invasion au walikuwa wanatania ?? Anyway kama wanabip Acha wenzao wawapigie
Mkuu babu Putin ana mbwembwe za kufa mtu ukisikiliza maneno yake wakati vita imeanza utadhani vita ingekuwa ya siku moja now mpaka muda huu kyeiv inamtoa jasho na Netherland Germany now wanawapelekea silaha Ukraine sasa Putin kama ana ubavu aguse hizo nchi. Huku benki mbli kubwa za china nazo zimeanza punguza biashara na Russia maana zinahofia US.
Wakomunisti huwa na mbwembwe sana ni waongo sana na mikwara miiiingi ndiyo maana hata Tz ina viongozi waongowaongo na wenye mikwara mikwara si unamkumbuka marehemu jiwe
Umekosea, Ukraine hajajiunga NATO, anaonesha nia ya kutaka ila hayupo badoChanzo ni Ukraine kukubali kujiunga na NATO lakini sio hilo tu kingine ni kukubali marekani na NATO kuingiza silaha zao ndani ya nchi ya Ukraine
Kama unavyojua Russia na Ukraine ni majirani na hawezi kukubali kuona silaha za maadui zake NATO na marekani zinakuja karibu
Huko ni kuhatarisha usalama wake
So anajilinda ndio maana anamwambia Ukraine ajiondoe NATO na asiruhusu silaha kuingia Ukraine.
Kingine ni watu wenye asili ya urusi wa majimbo ya Donetsk na luhanski waliopo ndani ya Ukraine wanaotaka kujitenga na Ukraine na kujiunga na Russia
maneno mepesi ehhhh haya NATO ndo wamenza vitendo sasa . Kama Russia ana ubavu awapige basi hao Germany, Netherland, USA, France maana wanamsaidia Ukraine kwa sasa.Vita iko field ndugu.
Kwa mikwara na ahadi alizopewa Ukraine ulitegemea VoVa angeamsha jeshi kusogea Ukraine? Hayo ni maneno mepesi tu ya kawaida like kusema.. Tuko pamoja mkuu..
Mwenyewe Rais wa Ukraine kasanda na kuanza kulalamika yuko mwenyewe. Wale waliokuwa wamampa support hawaonekani.
Kumbuka korona iliharibu uchumi wa Dunia. Shughuli nyingi zilisimama. MA stock ya vitu yako ndani.. Wacha uchonganishi utokee watu wauze vitu waamshe uchumi uliodidimizwa Kwa covid. Sio kuendelea kujimaliza kiuchumi Kwa kupigana vita za kipuuzi.