LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Wengine wanasutana wengine wanagombana wengine wanabishana. Mwisho na uzi umekuwa ukraine. Vagalanti.
 
Russia kabakiza Kiev tu ili awe ameteka nchi kitu ambacho kitazua kelele ndio maana Putin aliagiza jeshi lisichukie Kiev kwanza ili kutoa nafasi ya mazungumzo na Ukraine ambapo imeshindikana,now katoa go ahead so subiri kisha utaona kama atafanikiwa au lah.Pili lazima ujue kuwa hata Ukraine wanapigana kama ambacho kila nchi ingepigana lkn wataangushwa tu pamoja na support yote wanayopewa.Na mwisho Russia anajaribu kuichukua Kiev bila mauaji mengi ya raia ya kawaida ambapo akiona kuna ugumu wa kukwepa hayo mauaji basi anaweza kuamua kufyeka wote.
Porojo hizi sasa
 
Urusi inasemwa kuwa nchi yenye uwezo wa kupiga nchi zote za nato at the same time.
sasa kinachoendelea pale Ukraine tumeanza ku- question uwezo huo unahubiriwa kwenye social media
Mkuu babu Putin ana mbwembwe za kufa mtu ukisikiliza maneno yake wakati vita imeanza utadhani vita ingekuwa ya siku moja now mpaka muda huu kyeiv inamtoa jasho na Netherland Germany now wanawapelekea silaha Ukraine sasa Putin kama ana ubavu aguse hizo nchi. Huku benki mbli kubwa za china nazo zimeanza punguza biashara na Russia maana zinahofia US.

Wakomunisti huwa na mbwembwe sana ni waongo sana na mikwara miiiingi ndiyo maana hata Tz ina viongozi waongowaongo na wenye mikwara mikwara si unamkumbuka marehemu jiwe
 
Porojo za wafia dini. Biblia tu ametuambia kuwa kuelekea siku za mwisho yatazuka na maradhi yasiyotibika lkn wewe bado tu huamini na badala yake eti unaamini propaganda. Poor you.
Nani anaeleta maradhi sasa.Nani boss wa waganga, wachawi,vibaka,makahaba
 
❗️Booming battle in Kiev: Unverified video shows a barrage of military fire in both directions, and what appears to be an explosion on the horizon.

Another video captures automatic gunfire ringing out near a major road junction.

RT
 
Threats, Attacks & Protests Aimed at Russian Diplomatic Missions

In Poland the Russian embassy had its windows smashed, while facing multiple threats. In Estonia there have been incidents of vandalism, while in Ireland a diplomatic car was damaged.

It comes as protests are staged in parts of Europe against Russia's operation in Ukraine.

RT
 
Russian Defense Ministry releases footage of troops crossing in Ukraine, military hardware now having "V" signs painted.

The MoD says the offensive continues with the forces of the Donetsk and Lugansk Republics, supported by the Russian army.

RT
 
Ujerumani haiwezi kuingilia huo mgogoro wa Ukraine. Hapo ni Habari uchwara tu changamsha genge za kujikosha.

Msimamo wa Ujerumani uko very clear. Russia ana haki ya kuprotect interest zake hapo Ukraine. Hata mkuu wa Navy wa Ujerumani alijikuta anaropoka na Press zilipo daka akajiuzulu fasta kama ni mawazo yake binafsi. Ila ukweli uko wazi Wajerumani nao ni watu wenye kiburi na maamuzi magumu when it comes their interest is at stake.

Hakuna nchi itakayo ingia physically kwenye hii vita. Ni matamko tu na Russia atajibebea points zote.
wewe bado unaota ehhhh soma hiyooooo

-Berlin to supply 1,000 anti-tank weapons and 500 missiles in U-turn from its policy of banning weapon exports to conflict zones.
Germany will supply Ukraine with 1,000 anti-tank weapons and 500 Stinger surface-to-air missiles from Bundeswehr stocks so it can defend itself against Russia, German Chancellor Olaf Scholz said on Saturday. It’s a major shift from Berlin’s longstanding policy of banning weapon exports to conflicts zone.

Netherlands to supply anti-tank weapons to Ukraine​

The Netherlands will send anti-tank weapons to Ukraine, the country’s defence ministry says.

The Dutch government will supply 50 Panzerfaust-3 anti-tank weapons and 400 rockets, the ministry said in a letter to parliament.
 
⚡️Russia's military given orders to advance in all directions, MoD states, after "Kiev rejecting the negotiation process".

The Ministry of Defense also re-iterated its earlier statements that the Russian troops are not targeting the residential areas of the Ukrainian cities.

RT
 
Russia amejidai Ni super power kumbe hakuna kitu
Mpaka Sasa Ukraine imemshinda naona Sasa nato wamemuona Kama karagosi Sasa wameamua kuingia Vita keep msaidia Ukraine na baadaye kumfuata Russia kwake ndyo mwisho wa Russia
U supa pawa haupatikani kwa kujiongelesha mdomoni bali ni uchumi.

Source hii hapa 👇

Screenshot_20220226-211954.png
 
Afadhari kama ni kweli,simpendi Putin,natamani huu ndiyo uwe mwanzo wa mwisho wa utawala wake wa ki Dikteta.
Zitaishia kuwekwa Poland....Putin wala hatowagusa nchi za NATO......

#Siempre El Comandante Putin👍
 
wewe bado unaota ehhhh soma hiyooooo

-Berlin to supply 1,000 anti-tank weapons and 500 missiles in U-turn from its policy of banning weapon exports to conflict zones.
Germany will supply Ukraine with 1,000 anti-tank weapons and 500 Stinger surface-to-air missiles from Bundeswehr stocks so it can defend itself against Russia, German Chancellor Olaf Scholz said on Saturday. It’s a major shift from Berlin’s longstanding policy of banning weapon exports to conflicts zone.

Netherlands to supply anti-tank weapons to Ukraine​

The Netherlands will send anti-tank weapons to Ukraine, the country’s defence ministry says.

The Dutch government will supply 50 Panzerfaust-3 anti-tank weapons and 400 rockets, the ministry said in a letter to parliament.
Vita iko field ndugu.

Kwa mikwara na ahadi alizopewa Ukraine ulitegemea VoVa angeamsha jeshi kusogea Ukraine? Hayo ni maneno mepesi tu ya kawaida like kusema.. Tuko pamoja mkuu..

Mwenyewe Rais wa Ukraine kasanda na kuanza kulalamika yuko mwenyewe. Wale waliokuwa wamampa support hawaonekani.

Kumbuka korona iliharibu uchumi wa Dunia. Shughuli nyingi zilisimama. MA stock ya vitu yako ndani.. Wacha uchonganishi utokee watu wauze vitu waamshe uchumi uliodidimizwa Kwa covid. Sio kuendelea kujimaliza kiuchumi Kwa kupigana vita za kipuuzi.
 
Kwa mtu yeyote anaeweza kunisaidia nn chanzo cha vita inayoendelea kati ya Ukraine na Russia, chimbuko lake hasa limeanzia wapi?
Urusi hataki Ukraine ajiunge na NATO maana yuko karibu sana na urusi, akijiunga NATO ataweka makombora yake ambayo yatakuwa karibu sana na Urusi,
Serikali ya Ukraine inaonesha nia ya kujiunga, ko Russia anataka kuitoa madarakani aweke yake
 
Ha haaa mnachekesha washabiki wa urusi , kwamba hao ameokota Tu kitaa , so they are poor and inexperienced , katika jeshi ambalo linatuaminisha lipo imara kuliko US? ... Si walituambia ni full scale military invasion au walikuwa wanatania ?? Anyway kama wanabip Acha wenzao wawapigie
Mzee niko neutral ukija unachekacheka haisaidii, ukisoma mchango wangu popote tangu nijiunge JF sijawahi onesha dalili za kuwa upande wowote acha kukurupuka. Mimi natoa mtazamo wangu, ukitazama wale wanajeshi wanaokamatwa na Ukraine ndio wanajeshi wazoefu? Basi hamna troops pale
 
Mkuu babu Putin ana mbwembwe za kufa mtu ukisikiliza maneno yake wakati vita imeanza utadhani vita ingekuwa ya siku moja now mpaka muda huu kyeiv inamtoa jasho na Netherland Germany now wanawapelekea silaha Ukraine sasa Putin kama ana ubavu aguse hizo nchi. Huku benki mbli kubwa za china nazo zimeanza punguza biashara na Russia maana zinahofia US.

Wakomunisti huwa na mbwembwe sana ni waongo sana na mikwara miiiingi ndiyo maana hata Tz ina viongozi waongowaongo na wenye mikwara mikwara si unamkumbuka marehemu jiwe

Teh teh.. kuwa epuka wakomunistin na ukomnisti ni CHANZO cha MAARIFA. ukomnisti na uwongo ni pacha😂😂
 
Chanzo ni Ukraine kukubali kujiunga na NATO lakini sio hilo tu kingine ni kukubali marekani na NATO kuingiza silaha zao ndani ya nchi ya Ukraine

Kama unavyojua Russia na Ukraine ni majirani na hawezi kukubali kuona silaha za maadui zake NATO na marekani zinakuja karibu
Huko ni kuhatarisha usalama wake
So anajilinda ndio maana anamwambia Ukraine ajiondoe NATO na asiruhusu silaha kuingia Ukraine.

Kingine ni watu wenye asili ya urusi wa majimbo ya Donetsk na luhanski waliopo ndani ya Ukraine wanaotaka kujitenga na Ukraine na kujiunga na Russia
Umekosea, Ukraine hajajiunga NATO, anaonesha nia ya kutaka ila hayupo bado
 
Vita iko field ndugu.

Kwa mikwara na ahadi alizopewa Ukraine ulitegemea VoVa angeamsha jeshi kusogea Ukraine? Hayo ni maneno mepesi tu ya kawaida like kusema.. Tuko pamoja mkuu..

Mwenyewe Rais wa Ukraine kasanda na kuanza kulalamika yuko mwenyewe. Wale waliokuwa wamampa support hawaonekani.

Kumbuka korona iliharibu uchumi wa Dunia. Shughuli nyingi zilisimama. MA stock ya vitu yako ndani.. Wacha uchonganishi utokee watu wauze vitu waamshe uchumi uliodidimizwa Kwa covid. Sio kuendelea kujimaliza kiuchumi Kwa kupigana vita za kipuuzi.
maneno mepesi ehhhh haya NATO ndo wamenza vitendo sasa . Kama Russia ana ubavu awapige basi hao Germany, Netherland, USA, France maana wanamsaidia Ukraine kwa sasa.
 
Back
Top Bottom