Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hayo mafuta ya US enyewe huko alsaka. Alaska waliuziwa na Mrusi back in the days. Urusi kwa natural resources hajambo

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Atajulia wapi mjomba .... Mnamuonea tu ... Kuna niliwaambia humu kuhusu Mexico American war (Mexican Cession ) wakasema Marekani haikuwapo Wala Mexico haikuwapo... Sasa mtu kama huyo umfanyanje umtwange .... Ndio maana nawajibu tu kitaa kitaaa twende nao sawa maaana Kuna nati zimelegea vichwani mwao mpaka zikaze ndio vitu vitakaaa... Hivihivi unaongea sasa hivi hiki anakuja na data ambazo zinacontradictiana zenyewe... Ni wa kuwaombea tu.
 
Mzee mbona unaleta ujinga. Ninajaribu kukuwekea software za ofsini zinazofahamika hata kwa mazezeta kama wewe made from Russia.
Kama mzee hujui Kaspersky hujui Nginx unataka nikusaidie nini sasa!?
Unateseka tu... Ila una juhudi sana za kuelewesha ... Sijabarikiwa hicho ...nakueleza mara ya 1,2 3 nakuacha Hapo...
 
Huyo jamaa ajapigana na wewe tu nimchochee?
Uzito wa unyoya huyo... Hawezi Ngoma ngumu hizi... Sometimes unatakiwa kushuka level yake Ili upate mafikirio yake halafu ukishamtambua uwezo wake ..unampuuza... Akiwa njema mnaenda sawa ... Sasa wengi wao PRONATOAMERICA wamejikita na vitu minnor mnooo kati uchumi wa dunia na mahusiano .. hawaelewi kabisa transition of power since Ancient/medievalism times sasa umfanyeje umpasue kichwa umuingizie maarifa !!? .... Huyo Marekani alikuwa wapi Medieval ages ambayo ndio imeleta dunia ya Leo !!? ...kulikuwa na kingdom Gani au empire Gani powerful.!!?. kaka nimelipia elimu wakitaka wanilipe ntawaelimisha.
 
Kona zote naona zimefungwa. Mfano hapa nilipo hadi Channel za RT, Sputnik, na Ruptly huko telegram hazipo... View attachment 2172253Ila ni kwa account tu zenye code hiyo. Kwa wengine naona zipo kama kawaida. Hizo ukitaka kuzifungua zinakuonesha hivi View attachment 2172252 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Taarifa za kando issue kuzipata labda kutoka MoD Russia, Intel Slava, ASB Military na baadhi ya Channel zingine...

Huo ndio uhuru wa vyombo vya habari wanaotuhubiri...[emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]
 
Deep deep deep!
 
Hasara waliyopata Russia ni kubwa ikizidiwa tu na ile waliyopata kwenye vita vya pili vya dunia.

Hata ile waliyopata kwenye kile kipigo chao kwa Japan mwaka 1903 na dhidi ya Finland mwaka 1940 na ya Afghanistan mwaka 1979-1989 haijafikia hii. Russia wamepata pigo kubwa sana kwa kweli ambacho hawatakaa wasahau milele.
Hapo unaongea ukiwa Russia ya gongo la mboto,au tandale Kwa tumbo,au Ukraine ya buza Kwa mpalange🤔
 
Hapa sasa naanza kuamini maneno ya Russia defectors kwamba Putin ataondolewa kihuni kama wenzake waliotangulia
 
Air defence ya Urusi mashaka matupu- helicopter za Ukraine zimelipua kituo cha mafuta urusi. Shikamoo ,Marubani wa Ukraine, shambulizi limetekelezwa kwa ustadi mkubwa,

 
Ndio maana nkasema BORA WEWE .... na zama zinabarika .. na katika Mafunzo yote hayo yanakuwa case studies ..mwenye akili nzuri anaweza kupitia studies akatengeneza trap's nyingi na kutafuta namna ya kuziface ... Kapigwa Sanctions zaidi ya 1000 kawapa mbili tu wanahaha unafikiri hakulistudy kabla..... Kwa modern espionage after cold war ... Putin ni namba nyingine mjomba.
 
Tupatie pia hasara waliyopata Ukraine...usitangaze habari za upande mmoja Kama BBC, Aljazeera na CNN
 
Mkuu katika ulimwengu wa sasa wa tekinolojia ni rahisi kwa kiongozi yeyote kuwafatiria maadui zake kila aina ya hatua wanazo piga ,huwezi kulinganisha na kipindi cha nyuma.

Na ndio maana kwa miaka ya hivi karibuni matukio ya viongozi kuawa wakiwa madarakani yamepungua sana.
 
Tatizo hata huo umeme unatumia mafuta
Kuondokana na matumizi ya fossil fuels itachukua angalau miaka 100
 
Mkuu ni kweli wanaondoka huku wanapigana ,hawaondoki kwa makaratasi.
Ndio maana mpaka sasa mapigano yanaendelea sehemu hizo(Majeshi ya Russia yanashambulia pia)
 
Kwenye Commotion yote umeongea ... Haujongelea who started it!!? When !!? And why!!? Who reacted !!? Why!?? ... Umeleta tu insha ndefu Kama kitabu jina la kitabu BARUA NDEFU BY MARIAM BA. Umeleta literature review tu kaka ambayo pia Haina mashiko.
 
Kwahiyo alikuwa anamchimba mbolea....🤣🤣🤣
 
Ukipata muda muangalie huyu Muingereza, alikuwa akiripoti yanayowakumba wananchi wa majimbo ambayo kwa sasa yamejitenga Ukraine jinsi jeshi la Ukraine lilivyokuwa linavyowafanyia miaka 8 iliyopita mpaka leo maeneo ambayo bado jeshi la Zelensky yamebakia kwenye hayo majimbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…