LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Jana waliachwa ili waingie mazungumzo wakapuuza leo urusi kasema watawapelekea moto mpaka wajute
Kuna swali nimeuliza. Mtu anayepigwa na anayejua kua soon atamaliziwa halafu anayempiga anampa nafasi asimmalizie ila haitaki hiyo nafasi anataka kuendelea kupigana anakuwa anataka nini?
 
ila tu niseme nikipitia pitia Twitter na vyombo vingi vya habari mrusi anasnitchiwa na wanausalama wake wenyew

na warusi wenyew wanasnitchiana
nimeona clip nyingi wanajeshi wa urusi wanashikwa hovyo na ukraine
Kuna warusi wana ndugu Ukraine so mi possible... Kama ile audio ya mawasiliano ya wanajeshi wa Urusi iliyokuwa imeingiliwa... Wakiomba msaada wa mafuta...
 
ila tu niseme nikipitia pitia Twitter na vyombo vingi vya habari mrusi anasnitchiwa na wanausalama wake wenyew

na warusi wenyew wanasnitchiana
nimeona clip nyingi wanajeshi wa urusi wanashikwa hovyo na ukraine
Putin alisema walistisha mapigano kuitikia wito wamazungumzo,
Kumbe hatamangumzo hamna mda huu mrusi anaendelea kurusha kitu kizito.
 
Urusi inasemwa kuwa nchi yenye uwezo wa kupiga nchi zote za nato at the same time.
sasa kinachoendelea pale Ukraine tumeanza ku- question uwezo huo unahubiriwa kwenye social media
NATO ni umoja wa nchi 30 sasa ili azipige zote hizo zenyewe zitakuwa usingizini ama?
 
ila tu niseme nikipitia pitia Twitter na vyombo vingi vya habari mrusi anasnitchiwa na wanausalama wake wenyew

na warusi wenyew wanasnitchiana
nimeona clip nyingi wanajeshi wa urusi wanashikwa hovyo na ukraine
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu ukiona hizo taarifa jaribu kufuatilia kwa kina. Ukweli ni kwamba UKRAINE anakula KICHAPO kizito. Tegemeo la UKRAINE ni RAIA kupewa silaha na kujificha kwenye mgongo wa RAIA wema. Natabiri URUSI watatangaza maafa kwa wote wataoonekana wana silaha na watahesabika ni askari wa UKRAINE, na hapo ndipo mtaona ubaya wa URUSI. Hii vita inaendeshwa sana na HASHTAG ila kwa ground UKRAINE anachapika, afu mbaya URUSI hawana POROJO ni kichapo kwa kwenda mbele. Tuacheni ushabiki na tuombe pande mbili zikae mezani, bila hivyo UKRAINE anakuwa kama LIBYA sasa.
 
Tatizo Hii ni new century young people last time kulikuwa na vita 1945 mwisho wa Hitler .Sasa kuna technology Twitter Facebook simu z mkono ni image zinazoonekana hata mchina anamshangaa.Vijana hawataki tena vita Ukraine rais Miaka 44 na member of parliament vijana .19 century mambo ya vita Hii ni 20centuru modern day war
 
Na raia nao wamepewa silaha kujilinda. Hapo Kiev itakua vita ya kuviziana mtaa kwa mtaa.
 
Kichapo kinachotembea UKRAINE tuombe mungu tu. Ila Urusi ameamua kuingia mazima maana walisimamisha mashambulizi kwa sababu ya mazungumzo na UKRAINE hawakutokea. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji846] hiki kichapo ni mwamuzi ni MUNGU tu.
 
Eukraine hamuwezi Urusi. Mbona hilo lipo wazi? Ilitakiwa sasa hivi iwe imeisha kama Eukraine hana msaada. Kuna kitu kinampa kiburi Eukrane mpaka akakataa mazungumzo au kusarenda.
 
ni waongo, rais wao ni mjinga na comedian tu. anaamini atashinda vita wakati majengo na miundombinu ya nchi yake inaendelea kuteketezwa, anatumiwa kama condom na wamagharibi ambao hata hawamsaidii, ukrain ilikuwa inaelekea vizuri sana kiuchumi, lakini wameamua kuharibu uchumi wao.
 
❗️EU countries to close airspace for Russian airlines -
RT
 
Kwasasa nadhani Urusi ndio ameingia rasmi Ukraine... Chenchen wapo nyuma wanakuja
 
Matokeo hadi Sasa Russia iko ndani ya Ukraine. Asiependa akamtoe huko.
Kuwa ndani sio kushinda vita. Hatua ya kwanza ya ushindi ni Eukraine kuwa chini ya Rusia, Nchi nzima wenye nchi wamekimbia wamekuachia ikulu.
Hatua ya pili ni Russia kufanya anachotaka kukifanya hapo Eukrain kwa 100% then hapo ndipo tunasema Russia ameshinda.

Sasa hatua ya kwanza bado.
 
Kichapo kinachotembea UKRAINE tuombe mungu tu. Ila Urusi ameamua kuingia mazima maana walisimamisha mashambulizi kwa sababu ya mazungumzo na UKRAINE hawakutokea. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji846] hiki kichapo ni mwamuzi ni MUNGU tu.
Putin alisema mazungumzo yatakuwepo tu pale watakapomaliza operation yao, hii ya kusubiri ili kupisha mazungumzo mmeitoa wapi
 
Eukraine hamuwezi Urusi. Mbona hilo lipo wazi? Ilitakiwa sasa hivi iwe imeisha kama Eukraine hana msaada. Kuna kitu kinampa kiburi Eukrane mpaka akakataa mazungumzo au kusarenda.
Kapewa misaada mingi ya vifaa vya kijeshi... Na wengi wamemuahidi... Marekani leo kaahidi pesa kibao... Thea same kwa Germany vifaa alivyotaja kupeleka huko... Wamemtia kiburi
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…