Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Bailiffs initiated enforcement proceedings to recover almost 2 billion rubles from Meta*, according to the data of the Federal Bailiffs Service.

* The activities for the implementation of Instagram and Facebook are recognized as extremist and prohibited in Russia from 03/21/2022.
Galip SV
 
Ww kiongozi wako amekufanyia nn cha kumpendaa awo NATO walichofanya Kwa nchi za wengine hukukiona au mahaba niuwe
 
The Russian ambassador was summoned to the Italian Foreign Ministry, he was told about the expulsion of 30 Russian diplomats, the head of the Italian department said.
Galip SV
 
New package of sanctions against Russia may be adopted on April 6 - Secretary of State at the French Foreign Ministry.
Galip SV View attachment 2176300
what new sanctions bhana?!?!? Waache unafki, Sanctions zote kubwa kubwa zimeisha na hazija work out their way nakama wangekuwa na dhamila za dhati kabisa kuweka sanctions wangeanza na gas, mafuta au mbolea....maisha bila unafki hayaendi ila huu unafki wa sanctions wa mabeberu upo too obvious mpaka unaboa sasa....walete hoja mpya mezani tumechoka porojo za sanctions kila cku, sasahivi wameamia kwenye mauji ya Bucha wanakata kuidrag hii ishu kwa kutake the moral high ground ili wamchafue tu urusi...wameishashindwa kumkabili mrusi kijeshi,kivikwazo vyakiuchumi na kipropaganda pia wameshindwa...wamebaki kupigia kelele tu kama wafuasi wao hapa
 
Ww jamaa nadhani una uchungu na Ukraine kuliko hata rais nchi hiyo maana si kwa povu hili bila shaka vita ikiisha utapewa na uraia kabisa.
 
Ume ulizwa kwann wingereza imekaa kikao cha dharura ili kujadili hilo sakata?
Kama una akili timamu utazitilia mashaka hizi tuhuma.

Hakuna anaye unga mkono mauaji lakini sio kumsingizia mtu ili aonekane mbaya.

Yaan maiti ina siku 4 ila haijaoza wala haina damu?
 
Mbinu za kimedani ukikua utaelewa, Zelesky ni Rais mpaka muda huu Rusia wameishia uwani wakapata walichostahili ndio maana wakarud walipotoka vichwa chini.
 
Asante kwa swali njema
1) maiti inayokaa kwenye baridi haiozi kama hapa kwenye joto. Hata hapa maiti huhifadhiwa kwenye chumba cha jokofu. Hali joto Ukraine iko mnamo 0. usiku chini, machana kidogo juu.
2. Maiti zimeoza, soma taarifa nilizoweka juu. Wanahabari wametoa taarifa wanaona maiti kwa hali tofauti ya kuoza.
Ila kumbuka, ktk mazingira ya baridi kuoza kunaonekana tofauti sana kuliko hapa kwenye joto (au ukraine mwezi wa 7.8)
 
alafu kikao cha Baraza la Usalama liko leo, nasoma. Hakikukataliwa. Usiamini kia propaganda, angalau jaribu kuchungulia kidogo-...
soma
April 4 (Reuters) - Russia's foreign ministry said it would reiterate its request for the U.N. Security Council to meet on Monday over what Moscow called the "criminal provocations by Ukrainian soldiers and radicals" in the town of Bucha near Kyiv.

Britain's mission to the United Nations, which holds the presidency of the 15-member council for April, had said the Council would hold a scheduled discussion on Ukraine on Tuesday, and not meet on Monday as requested by Russia.
 
Kama ni kipindi mbona nguo ni safi hazijachafuka na barafu ?
Hizi habiri zina ulakini kubali ukatae.

Alafu kingine hizi habari za watu kuuawa zimekuja siku 4 baada ya wanajeshi wa
Urusi kuondoka sasa niambie hizi siku nyingine walikuwa vipofu mpaka wasizione siku ya kwanza ila waje wazione siku ya nne?
 
Yani we mzee, you are just a little as***ole na wazidi kuonesha ulivo ngese, Hili ndilo jeshi lenu linachofanya kwa Raia wake hivi sasa
Your browser is not able to display this video.
Na hii style ya ufungaji kamba ndio ile ile walioifanya bucha
Your browser is not able to display this video.
em next time usni'qoute... Angalia watu wengine wa kuelezana hizo pumba zako.
 
Bucha ilikuwa chini ya Urusi....utasemaje wauaji ni Ukrain!!!.............
 

The Fake Bucha Massacre​

Watch this video yourself especially from 0-0:3 and youcan see the dead man move and readjust his arms
The Russian military left the city on March 30, and on March 31 the city's mayor solemnly announced that everything was all right.
Then several The bodies were aligned with no sign of rigor mortis, bodily harmed and with fresh blood on them, they claimed
this people were killed days ago.
 
Kumbe IQ ndogo inakutisha hadi kuingia kwenye matusi? Hata unahitaji matusi ya kigeni? Pole sana.
Hata hivyo, niambie tu : unmasemaje kuhusu mashahidi wa Bucha???
Walioona mauaji yaliyotekelezwa na Warusi?

Menginevyo sina kazi kukataa mauaji yanaweza kutokea pia upande wa Ukraine. Ninajua vema kwamba vita inaamsha unyama ndani ya binadamu.
Changamoto ni nidhamu na uongozi.
Ila: ukijaribu (pamoja na wenzako) kuonyesha jeshi la kirusi kama watakatifu wasio na kosa (tena wasiohusika katika vita, si special operation tu)
ninaangalia pande zote mbili.
Vitani hakuna watakatifu. Binadamu tu, wenye hofu, wenye silaha (ambayo ni mchanganyiko mbaya).
 
Alisema msemaji Abunuwasov. Kwa bahati nzuri wako mashahidi kibao, wakazi wa Bucha na miji mingine ambao walikuwepo wakati wa uvamizi wanaweza kueleza walichoona.
Tusubiri picha za satelaiti . . .
Kama mashahido wapo kibao kwanini UK akimbie kikao wakati ndio sehemu nzuri ya kuwabana Warusi!!!?? Kwenye fuvu humo mna ubongo au makamasi!!??
 
kwa nini nguo zichafuke barafu??? Pasipo na theluji, hakuna mabadiliko.
Nani anasema hawakuona maiti?
Wanahabari wanaleta taarifa mara baada ya kufika.
Taarifa tulizoona zilikuwa za wanahabari.
 
In Germany, the servers of the world's largest Russian-language darknet market, Hydra Market, were closed.

“Bitcoins were confiscated in an amount currently equivalent to approximately €23 million, which relate to the trading floor,” the federal criminal police department said in a statement.

Operators and administrators of the platform are suspected of drug trafficking and money laundering online through the platform. A preliminary investigation is underway.
Galip SV
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…