NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
ukiwa na habari kuhusu askari wa NATO ndani ya Ukraine - Onyesha!! Karibu sana!! (kama huna cha kuonyesha - basi. Tanzania ni nchi ya imani..)Pole sana na wewe kwa kutokujua kuwa Wanajeshi wa NATO wapo na wamepigana indirect way, kwa mwamvuli wa missionaries, Wewe ukazani hakuna mwanajeshi wa NATO hata mmoja.
Na mataifa karibu kumi kutuma siraha na bado Russia kasimama mwanaume, Haijarishi itakuwaje lakini kawazima na kawaonyesha anaweza kuliko wao.
Kawapiga na kawachia maeneneo tena.
Jaribu kufanya propaanda angalau kwa akili kidogo.
Hakuna aliyesema Urusi hamna chakula.
Ukweli ulikuwa vikosi kadhaa vya jeshi lake vilikosa chakula hivyo askari walianza kuiba kwenye maduka.
Kama umesikia mtu alisema hakuna chkula Urusi: Chanzo tafadhali!!
Kuhusu silaha: macomment mengii niliyoona kwenye media ya "magharibi" yalitabiri eti Ukraine itashindwa baada ya siku chache kwa sababu ya ubora wa silaha za Kirusi.
baadaye wote walishangaa udhaifu wa jeshi la Putin.
(kama hukumbuki jinsi gani hao wa Western walitangaza udhaifu wa Ukraini, soma hapa: Factbox: How Ukraine's armed forces shape up against Russia's)
Acha naye huyo mkuu kama vipi muignore. Analazimisha kueleweka kwa nguvu. Tubakie kwenye thread ila watu design hiyo tuwapitie mbaliYani we mzee, you are just a little as***ole na wazidi kuonesha ulivo ngese, Hili ndilo jeshi lenu linachofanya kwa Raia wake hivi sasa View attachment 2176548 Na hii style ya ufungaji kamba ndio ile ile walioifanya bucha View attachment 2176549 em next time usni'qoute... Angalia watu wengine wa kuelezana hizo pumba zako.
Na wewe huna cha kuonyesha kuhusu madai yenu?Mmeanza kukataana tena na bado mtasema yote
Ongeza juhudi malipo ni mazuri .....Pole sana kaka, lakini nikuambie ukweli: Wewe hujapigana na mtu yeyote, wewe umekalia kiti sijui wapi Bongo.
Hata Urusi haikuanza kupingana na Marekani na wengine. Hadi sasa ilipigana na Ukraine na silaha za mbegani kutoka nchi za NATO..... Haikuona bado silaha kali zaidi, haikumpata bado mwanajeshi 1 wa NATO. Heri wasijaribu, jinsi walivyoonekana hadi sasa...
Ila we jamaaaa ni mwehu sana .... Maiti ya tarehe 21 March ikae Hapo mpaka 2april !!?? Na kichwa Chali kilivyo kibovu unaileta as strong evidence ...aseeee angalia magari yapo mangapi katika ground photo na kwenye satellite photo Kuna gari ngapi ... Na hiyo distance ya gari mpaka gari kwenye ground photo na distance ya satellite ...hakika wewe Toleo jipya la uwehu.Mauaji ya Bucha: Picha zinalinganisha ya mtaa uleule mjini Bucha tarehe 02 Aprili na Machi na 21 Machi. 21 Machi jeshi la Putin lilimiliki Bucha, picha ni ya satelaiti.
View attachment 2176765
Kaweka heshima ?!?!wakati ndo kajiharibia madhaifu alionesha kwenye vita na Ukraine sidhani kama Kuna jirani yake kama atamwogopa tena Sasa hiv Kila mtu anataka kutest battle na Russia...umewasikia Finland? Au mnaongea habar za kwenye kahawaRussia kasafisha jina kwenye vita hiyo, kaweka heshima kiasi kwamba nchi nyinginezo maadui zitakuwa zaogopa kuichokonoa zikijuwa kuwa jamaa wakikasirika huwa wanageuza miji magofu na vifusi....
Halafu pamoja na kichapo chote kile, Russia wao wanaita eti operesheni maalumu ya kijeshi[emoji1787][emoji23][emoji2]