Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,513
Ina inaonekana mmeo hakutii vizuri maana nyege zimekuzidi mpaka zime kupanda kichwani.
Mtu una ulizwa kuhusu mapadiri kurawiti watoto ww unajibu kwa kumtaja putin kwani Putin ndo aliwatuma kurawiti watoto?
Rasmi NATO na US inapeleka ndege zisizo na rubani pamoja na kufunga air defense system vitani Ukraine ,washajua putin nguvu imeisha baada ya vikwazo, ni baada ya kikao cha jana cha idara ya usalama marekani PENTAGONI
Sawa. Lakini tusije kufanya kama vile tunavyoshutumiwa kufanya kule bucha. (Kama ni kweli lakini) zile pic kwa kweli zilinivuruga sana. Japo nipo upande wa Putin. Ule ni unyama. Au ni Azov walifanya hivyo?Tushafika Kharkiv oblast,mji wa IzyumView attachment 2178270
MKUU bado tu huelewi PROPAGANDASawa. Lakini tusije kufanya kama vile tunavyoshutumiwa kufanya kule bucha. (Kama ni kweli lakini) zile pic kwa kweli zilinivuruga sana. Japo nipo upande wa Putin. Ule ni unyama. Au ni Azov walifanya hivyo?
Wapi Sikirimimimasikini ?
Mkuu nipo, sasa hivi vita imepungua, sina cha kuposti tena...Sawa. Lakini tusije kufanya kama vile tunavyoshutumiwa kufanya kule bucha. (Kama ni kweli lakini) zile pic kwa kweli zilinivuruga sana. Japo nipo upande wa Putin. Ule ni unyama. Au ni Azov walifanya hivyo?
Wapi Sikirimimimasikini ?
Kule ni kushindwa vita mzee,hasira unapeleka kwa raiaSawa. Lakini tusije kufanya kama vile tunavyoshutumiwa kufanya kule bucha. (Kama ni kweli lakini) zile pic kwa kweli zilinivuruga sana. Japo nipo upande wa Putin. Ule ni unyama. Au ni Azov walifanya hivyo?
Wapi Sikirimimimasikini ?
Unasemaje uongo mzee na video zilikuwa live kabisa? Bora ingekuwa ni image tu lakini kila kitu kilikuwa waziMKUU bado tu huelewi PROPAGANDA
JAMAA wameadhimia kuipaka matope RUSSIA yaani watafanya kila MABAYA ama kila UONGO halaf waitupie lawama RUSSIA na PUT IN
Wanachokifanya hao jamaa nikuipa jina baya RUSSIA ili ulimwengu uwaone RUSSIA wauaji wabaya nk lakini sivyo ilivyo
Mauaji ya BUCHA kuna mawili eidha wameyafanya wenyewe halaf wakaituhumu RUSSIA ama nimatukio tu yakutungwa nandio maana msemaji wa wizara yamambo ya nje ya UCHINA leo akasema picha zinaogofya ila hawawezi wakalaani ama wakalaumu bila kufanyika uchunguzi
Kwenye mgogoro wa SYRIA jamaa walikuja wakaibua shutma kama ASSAD alitumia silaha za kemikali ili wpate kisingizio na sababu yakumnyoosha walipoambiwa walete ushahidi kwamba ASSAD katumia silaha za SUMU jamaa mpaka leo hawajulikani walipokimbilia yaaani
Mwisho hata IRAQ walisema wana silaha za SUMU sijui NYUKLIA wakapata sababu yakuivamia kijeshi toka mwaka 2003 mpaka leo umeona ushahidi juu ya silaha walizodai zipo IRAQ
Ila kwakua hizi shutma zipo kwa GIANT kama RUSSIA upe muda nafasi yake utakupa majibu ila tukio la BUCHA ni uongo wawaaazi kabisaaaa
Asante ila hii hailingani na historia ya vita wala ufafanuzi wake. Kuna mifano mingi ya vita ambako mshindi alisaidia baadaye walioshindwa. Mfano Marekani baada ya vita ya pili, akapeleka chakula Ujerumani na kutoa mikopo mikubwa.VITA hua unapelekewa moto mwnzo mwisho ila OP ndio kama hii wanayofanya RUSSIA yaani mnapigwa baadae mnapewa kula mnapewa misaada
Mnapigwa baadae mnapewa nafasi muongee au watu munapewa nafasi yakuhama miji OP inasimama kwamuda fulani
Nahisi umeiona tofauti
Hatimaye Rubles imeanza kutumika kama fedha za kigeniView attachment 2178267View attachment 2178268View attachment 2178269
Mataifa Ulaya yapo tayari kununua gasi ya Russia Rubles [emoji28][emoji28]View attachment 2178288View attachment 2178289
Mkuu kitu kimoja inabidi uelewe ni kwamba US na NATO hawapo tayari kushuhudia Ukrane akipiga magoti kwa namna yoyote ile kwa Urussi hata achakazwe vipi.Sawa. Lakini tusije kufanya kama vile tunavyoshutumiwa kufanya kule bucha. (Kama ni kweli lakini) zile pic kwa kweli zilinivuruga sana. Japo nipo upande wa Putin. Ule ni unyama. Au ni Azov walifanya hivyo?
Wapi Sikirimimimasikini ?
Nipigwe ban humu akishindaRUSSIA is still winning
Hilo Kombora limewaumbua na kuwatia aibu kubwa sana... Hawaamini wanachokiona.Marekani waongo mno, baada ya kuona Putin katumia makombora ya haipasoniki kuwatandika Ukraine na kuangamiza ngome za kijeshi na maghala ya silaha ya Ukraine, wamekuja na stori ya kujitia moyo na kutafuta tambo (wasionekane wapo nyuma ya Russia kiteknolojia).
Wanadai eti nao Marekani wametesti kimya kimya kombora la haipasoniki wiki mbili nyuma na likafanikiwa. Wanadai eti walijaribu kimya kimya ili wasilete taharuki na Russia kwa kuwa mahusiano ya Marekani na Russia yalikuwa tayari yako tete...
Hawa wapumbavu wanadhani sote ni wajinga, utesti kombora la haipasoniki (habari ya mjini duniani) halafu setilaiti za Russia na China zisijue kuhusu hilo jaribio lako, wala super power hao wawili wasiliripoti!
Itakuwa walijaribishia kombora hilo chumbani kwa Biden, na halikutoka nje ya kuta nne za chumba chake.
View attachment 2178481