Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Anayo tayar S-550 mrusi sio saizi yao[emoji28]View attachment 2178500
View attachment 2178501
 
Wakati anaamrisha majeshi yake kuivamia Ukraine bwana Putin alidai anataka kuondoa Manazi wanaoiongoza serikali ya Ukraine, hiyo ilikuwa tarehe 24 March, leo ni zaidi ya mwezi hawajaweza kuondoa hata nazi moja pale Kyiv,

Tarehe 19 March mwaka 2003, majeshi ya marekani yalianza kuishambulia Iraq kwa lengo la kumuondoa Rais Sadamu madarakani eti kwa sababu alikuwa anamiliki siraha za maangamizi.

anyway, wote, USA na Russia walitoa sababu za kijinga sana kuvamilia mataifa hayo mawili, lakini wote walikuwa na objective moja, kuangusha tawala za mataifa hayo.

Tarehe 9 April 2003, serikali ya Sadamu ilianguka, ilichukua wiki tatu kwa wamerekani kutimiza lengo.
leo ni zaidi ya mwezi toka Russia waivamie Ukraine, walichofanikiwa ni kubadili malengo ya uvamizi wao

nadhani nimeeleweka nachozungumzia.
 

Marekani walivyo na mbwembwe ndo ingekua habari yao kila gazeti. Wanawadanganya mazuzu
 
Unasemaje uongo mzee na video zilikuwa live kabisa? Bora ingekuwa ni image tu lakini kila kitu kilikuwa wazi
hata video za MOVIES zipo ukizitaka ila bado sio ukweli
ishu iko wazi ufanyike UCHUNGUZI HURU ibainike
kwani shida iko wapi kwenye hilo
 
Asante ila hii hailingani na historia ya vita wala ufafanuzi wake. Kuna mifano mingi ya vita ambako mshindi alisaidia baadaye walioshindwa. Mfano Marekani baada ya vita ya pili, akapeleka chakula Ujerumani na kutoa mikopo mikubwa.
Ahsante ila hii sasa ndio hailingani na niloisema mimi
umesema baadae kwamaana VITA ishaisha yaani kashajulikana mshindi na mshindwa
ila RUSSIA alikua ama mpaka sasa anatoa VYAKULA namisaada mengineyo wakati wamchana USIKU wanaendeleza mapambano
nadhani bado umeiona tofauti MKUU
 
umeeleweka
ila sababu US alienda VITANI wakati RUSSIA alikua anafanya OP
nadhani pia tumeelewana
 
⚡️🇺🇸 Gov. Greg Abbott announced Wednesday that Texas will provide charter buses to send illegal immigrants to Washington DC "where the Biden administration will be able to more immediately address the needs of the people that they are allowing to come across our border."
 
umeeleweka
ila sababu US alienda VITANI wakati RUSSIA alikua anafanya OP
nadhani pia tumeelewana
Naongezea , katika vyote viwili kuna kushinda na kushinda..I means katika op inaweza kushindwa kufikia malengo same to vita.

Shukrani!
 
Unafkiri hawajui kwamba huu sio mgogoro wa kidini? Wanajua vizuri tu sema wanatafuta namna/mahali ya/pa kutoka (scapegoat).

Putin anawapeleka puta huko Ukraine na sisi tunawapeleka puta hapa kwenye huu uzi. Namna ya kupunguza mashambulizi ni kuingiza mambo ya imani na dini huku wakikashifu dini za wenzao. Ni kama Zelensky tu alivyotumia raia wake kama ngao na wao wamekuja na mbinu ya kutumia dini kama ngao.

Wamenzisha thread kibao za kumtukana Putin na urusi jf nzima ila wapi. Kwenye huu uzi hawana hoja zaidi ya propaganda na wanajibiwa kwa fact kila wanapojitokeza.

Wamezidiwa, wanahamisha magoli!

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
nilihisi nimimi tuu ndio niliona kwamba jamaa anatafta pakutokea
Pro west wengi humu wanaona PUT ON kawadhalilisha wanaanzisha nyuzi teleee zisizo maana wanaukimbia uzi mama huu nasasa wanaleta UDINI wabadilishe mada njiani
tunawaambia tu hatuyumbishwi na wala mada hii haihamishwi mpaka kieleweke yaani
RUSSIA sio ZIMBABWE
 
Wewe mwenyewe ulichozungumza hujakielewa!

Ulipoambiwa 'Denazification' wewe ulihisi Putin ataenda pale kiev awashike na kuwaua manazi wa pale si ndio!? [emoji1787]

Alaf sijui kwa nini mnajifanya hamuelewi kwa maksudi. Wiki iliopita karibu siku kibao warusi walikuwa wameizingira kiev wakisubiria green light kutoka Kremlin ila baada ya maongezi ya kidiplomasia kupiga hatua wakarudi nyuma as a sign of good faith. Na sio kiev tu bali miji mingi waliyokuwa wameikalia wliondoka baada ya kuwepo matumaini kwenye diplomatic talks.

On the other hand marekani hakuwa peke yake Iraq. Kulikuwa na coalition ya nchi takribani nne i.e. USa, UK, Australia na Poland. Alafu Iraqi hakuwa na msaada wa taifa lolote kama ambavyo UKr amesaidiwa na NATO na EU, pia wavamizi hawakuwekewa vikwazo na nchi zilizobakia duniani.

Malengo yalikuwa ni matatu au manne
1. Denazify
2. Demiliterize
3. Russia speaking UKRnians
4. Ukr never to join NATO - ijapokuwa hili putin hakulitaja kwenye hotuba yake.
---_
4. UKR wameshaweka wazi hawatojiunga tena NATO acc. To Zele mwenyewe
3. Russian speaking UKRnians wameshakuwa liberated kwenye majimbo ya luhansk na donesk sasa hivi zimekuwa republic na muda si mrefu watafanya referendum kujiunga Russia
2. Demilitarization nafkiri wewe ni shahidi jinsi military infrastructures za Ukr zimeuawa. Kuanzia kambi za kijeshi, maghala ya silaha, maghala ya mafuta kwa ajili ya jeshi, command posts/centres, air force i.e ndege za kijeshi, helkopta, drones, air defences, Navy etc. Na silaha nyingi zimetekwa wikapelekwa DPR na LPR. Na nimesikia tetesi kwenye makubaliano kuna kipengele Russia wanataka kiwepo kwamba baadae kwenye kulirudisha jeshi la UKr kibali kiwe kinatoka Kremlin. Yaani urusi wawe wanamonitor shughuli na ukuaji tena wa jeshi la ukr.
1. Denazify umeona makao ya azov huko mariupol ilivyoanguka. Baada ya vita kitengo hiko cha nationalists ambao ndio manazi sidhani km kitabakia tena kwenye jeshi la ukr.
Mpk sasa ndio kwanza stage ya kwanza ya operation ya kijeshi bado stage ya pili ambayo ndio imeanza sio muda. Remember Putin is Unpredictable.

NB. Hayo yote yamefanyika huku wakati huo kuna humanitarian corridor ziliwekwa kuruhusu raia watoke, na misaada ya kibinaadamu kwa raia ambao bado walikuwepo maeneo ya mapigano. Zingatia pia misaada ya aina zote waliyopewa wakraine na vikwazo alivyowekewa Russia.




Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Haha umenifurahisha mkuu
Anachowafanya Putin huko UKr ndicho tunawafanya sisi hapa. Mwisho wa siku ukweli lzm ubakie.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Matrekta na wakulima wa Ukraine wamepata umaarufu sana kipindi hiki Cha vita🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…