LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
BREAKING: It’s almost daylight on day 4 of the Russian attack and I’m thrilled to report that Volodymyr Zelenskyy is still the President of Ukraine. Remember when Putin said he’d do it 3 hours? Not on Zelenskyy’s watch.[emoji81][emoji81][emoji81]
 
BREAKING: It’s almost daylight on day 4 of the Russian attack and I’m thrilled to report that Volodymyr Zelenskyy is still the President of Ukraine. Remember when Putin said he’d do it 3 hours? Not on Zelenskyy’s watch.
 
Kichapo kinachotembea UKRAINE tuombe mungu tu. Ila Urusi ameamua kuingia mazima maana walisimamisha mashambulizi kwa sababu ya mazungumzo na UKRAINE hawakutokea. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji846] hiki kichapo ni mwamuzi ni MUNGU tu.
Kichapo gani?
 
Unatumia akili au matope, alafu wewe ni mtu mzima kabisa yani unawaza utoto
 
Mbona tunawapangia wa Zanzibar ni cha kufanya. Unajuwa sababu za Rwanda kupigana vita ndani ya Congo unajuwa sababu zake? kwa sababu wapinzani walianzia kule ndani na hata sisi ikitokea siku umesikia wapinzani wanajipanga kupitia Burundi unadhani tutakaa kimya kwa sababu Burundi nchi huru wana haki ya kuamua wanachotaka. USA walifanya nini Cuba? unadhani watakubali Russia aweke makombora yake Cuba. mbona tunajitoa ufahamu.
 
Sasa kama unalijua hili kuwa" kuumia ni sehemu ya maisha",why unashindwa kumwelewa Tsh anapokupa sababu za Wananchi wa Ukraine kusimama na Raisi wao kutetea masalahi ya Nchi yao?
 
kumbe basi kama ni hivyo basi pande zote kuna wanaopinga pia,iwe Ukraine or Russia,nilimuuliza mtoa comment maana naona kajikita kutuletea tu negative issues za Ukraine kana kwamba kule Russia wao wote wanakubaliana na kinachoendelea.
hakuna kinachopendwa nakila mtu wala kuchukiza kila mtu nature ipo hivi
 
BREAKING: It’s almost daylight on day 4 of the Russian attack and I’m thrilled to report that Volodymyr Zelenskyy is still the President of Ukraine. Remember when Putin said he’d do it 3 hours? Not on Zelenskyy’s watch.
Alisema wapi 3 hours?
 
Vita ikiisha mapema inasaidia.
hakika ila vita ambayo haijavuka hata week huwezi sema imechukua muda mrefu nawala hakuna sehemu RUSSIA kasem atachukua muda kumpindua ama kuiangusha serikali yajijini KIEV
 
Reactions: Tsh
Alisema wapi 3 hours?
Huko Media zao tu wanasema Jeshi la Russia halijaanza safari ya kuingia wanaopiga kwa sasa ni kile kikundi kidogo cha jeshi kinachfanya tathmini na kulegeza njia wakipewa green light tu ni moja kwa moja kukibeba kile kijoti.
 
Kwamba zanzibar akitaka jiunga na jumuiya ya kiislamu sawa, akitaka mahakama ya kadhi sawa, akitaka ongoza kwa sharia sawa, awe dola ya kiislamu sawa

Ni kichapo tu yaani nikupe uhuru unao hatarishi uhuru wangu hakuna iyo
 
Huko Media zao tu wanasema Jeshi la Russia halijaanza safari ya kuingia wanaopiga kwa sasa ni kile kikundi kidogo cha jeshi kinachfanya tathmini na kulegeza njia wakipewa green light tu ni moja kwa moja kukibeba kile kijoti.
Haya sasa mahaba na si uhalisia.
 
Mimi wife namzuia mwishoni na hakiharibiki kitu, Yaani kufuata maelekezo ataanzaje kukataaa!
 
Reactions: Tsh
Russia amejidai Ni super power kumbe hakuna kitu
Mpaka Sasa Ukraine imemshinda naona Sasa nato wamemuona Kama karagosi Sasa wameamua kuingia Vita keep msaidia Ukraine na baadaye kumfuata Russia kwake ndyo mwisho wa Russia
Nina mashaka utakuwa James mtamu
 
UKRAINE hata atengewe kiasi gani MKUU itamchukua zaidi ya miaka 10 ku rebuil upya hasara alizozipata ama anazoendela kuzipata
ingawaje atapata unafuu sababu yakusaidiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…