umesahau kwamba china, india na nchi zingine za america kusini bado wapo na russia. pia, russia pia anavyo vitu ambavyo akiona anaumia kiukweli, anaweza kuwapiga navyo wamagaribi wakaomba poo. muda bado sana, tusubiri kwanza siku ziende. raia ni kweli wataumia, kama wanavoumia waukrain, ila cha muhimu ni kwamba wataumia kwa muda gani? na kuumia ni part ya maisha ili utafute solution ya kudumu siku ingine usiumie tena. kuna uwezekano tukarudi kwenye cold war muda si mrefu, na russia atatumia technolojia na silaha kukomba maadui wa marekani/wamagaribi na block itasimama tena, na yote haya yanatokana na kichwa ngumu ya wamagaribi kumtia kidole kwenye macho wakati alikuwa ametulia.