NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Do you know what is collateral damage?Yani mtu alipue watu wake kisa na maana wasiondoke, hii inaingia akilini kweli. Punguzeni ushabiki.
Kuna mbinu nyingi za kuzuia watu wasiondoke ila kuwalipua halipo kabisa