Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Propaganda ya kijinga. Kwa nini Ukraine irushe roketi kwa watu wake? Kama inatosha kuamuru treni isiende?? Kinyume jeshi la Ukraine ni wanaume ambao ni wababa na wana wa hao wanawake, watoto na wazee wanaoambiwa kuondoka na kujikoa wasipate Bucha nyingine.
Warusi wanaona itawahamaisha askari wa Ukraine kuchinja watoto nma wake wao??
 
Slovakia, Polandi, Sweden na vitaifa vidogo kabisa vya Baltic vimemuvimbia Urusi na kama mbabe kweli ajaribu kugusa Taifa mwanachama wa NATO hataamini. Urusi mwisho wake umefika anaenda kukolapse completely. Tutegemee kuzaliwa vitaifa vidogo dogo hapo kwenye shirikisho la Rusia.
 

Sahivi wameamua kukimbilia kwenye mauji kwamba Russia anaua raia. Wanaongozwa na baba yao US.
 

Hauna utofauti na jina la ID yako endelea kuwa lost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…